Duh wew eunatala ulete balaa
bora ibaki kama ilivyo tusilaumiane
Mita! Aha ha ha ha ha.... Mm nahsi hata hao wanaume wanaonunua hao mabinti nao hawana tofauti. Kama changuduo wote (mwanamke na mwanaume) ni machangudoa, kama ni malaya wote ni malaya! Atakayebisha na abishe!
Ukisikia malaya ni mwanamke, kahaba ni mwanamke, changudoa
ni mwanamke, dada poa ni mwanamke, nyambizi ni mwanamke
siku hizi kuna MJASILIAMWILI ni mwanamke. Hivi ninyi wanaume
tuelezeni hapa kama kungekuwa na kipimo kila uki... kinaonyesha
Mita kadhaa au kilomita........ Kweli mngetamanika......................
Hebu njooni hapa mmoja mmoja zingesomeka mita au kilomita
ngapi? Mkome kutuanzishia majina mabaya.
Tatizo haya majina yanatumika kama sifa wakati yale ya kwetu niUmekosea......... wanaume wasiotulia wana majina yao....
1. Kiwembe
2. Kifagio
3. Kikaango
4. Kibuzi
5. Mla vichwa
6. Kamchape
7. Zungulukee
8. kidume
9. ..............................
10. ............................
Umekosea......... wanaume wasiotulia wana majina yao....
1. Kiwembe
2. Kifagio
3. Kikaango
4. Kibuzi
5. Mla vichwa
6. Kamchape
7. Zungulukee
8. kidume
9. ..............................
10. ............................
na mengine ni hayaUmekosea......... wanaume wasiotulia wana majina yao....
1. Kiwembe
2. Kifagio
3. Kikaango
4. Kibuzi
5. Mla vichwa
6. Kamchape
7. Zungulukee
8. kidume
9. ..............................
10. ............................
ukisikia malaya ni mwanamke, kahaba ni mwanamke, changudoa
ni mwanamke, dada poa ni mwanamke, nyambizi ni mwanamke
siku hizi kuna mjasiliamwili ni mwanamke. Hivi ninyi wanaume
tuelezeni hapa kama kungekuwa na kipimo kila uki... Kinaonyesha
mita kadhaa au kilomita........ Kweli mngetamanika......................
Hebu njooni hapa mmoja mmoja zingesomeka mita au kilomita
ngapi? Mkome kutuanzishia majina mabaya.
Raha yake the more mita yao inasoma the more utamu, unlike us, tunazeeka tukitumika sana