Natamani kungekuwa na mita ya wanaume!

Mcharuko

JF-Expert Member
Sep 25, 2011
209
171
Ukisikia malaya ni mwanamke, kahaba ni mwanamke, changudoa
ni mwanamke, dada poa ni mwanamke, nyambizi ni mwanamke
siku hizi kuna MJASILIAMWILI ni mwanamke. Hivi ninyi wanaume
tuelezeni hapa kama kungekuwa na kipimo kila uki... kinaonyesha
Mita kadhaa au kilomita........ Kweli mngetamanika......................
Hebu njooni hapa mmoja mmoja zingesomeka mita au kilomita
ngapi? Mkome kutuanzishia majina mabaya.
 
Duh! hiyo mita kiboko mcharuko Kweli Mungu katunusuru
lakini hata kwenu si ingekuwepo? Mimi ingesomeka 0 sm.
Kuna watu wanatoka nje ya ndoa ina maana wakirudi
nyumbani distance inakuwa imesogea...... Mh hii kali.
 
Mita! Aha ha ha ha ha.... Mm nahsi hata hao wanaume wanaonunua hao mabinti nao hawana tofauti. Kama changuduo wote (mwanamke na mwanaume) ni machangudoa, kama ni malaya wote ni malaya! Atakayebisha na abishe!
 
Duh wew eunatala ulete balaa
bora ibaki kama ilivyo tusilaumiane

Mita! Aha ha ha ha ha.... Mm nahsi hata hao wanaume wanaonunua hao mabinti nao hawana tofauti. Kama changuduo wote (mwanamke na mwanaume) ni machangudoa, kama ni malaya wote ni malaya! Atakayebisha na abishe!

Ingekuwa safi sana maana hata watumishi, wachungaji, Maustadhi na mashehe wangeonekana!
 
Duh! hii kali binti labda kitengenezwe hicho kifaa na wataalamu wetu wa
Hospitali. Ha ha haaaaaaaa we inaelekea una wivu sana!
 
Ukisikia malaya ni mwanamke, kahaba ni mwanamke, changudoa
ni mwanamke, dada poa ni mwanamke, nyambizi ni mwanamke
siku hizi kuna MJASILIAMWILI ni mwanamke. Hivi ninyi wanaume
tuelezeni hapa kama kungekuwa na kipimo kila uki... kinaonyesha
Mita kadhaa au kilomita........ Kweli mngetamanika......................
Hebu njooni hapa mmoja mmoja zingesomeka mita au kilomita
ngapi? Mkome kutuanzishia majina mabaya.

Umekosea......... wanaume wasiotulia wana majina yao....
1. Kiwembe
2. Kifagio
3. Kikaango
4. Kibuzi
5. Mla vichwa
6. Kamchape
7. Zungulukee
8. kidume
9. ..............................
10. ............................
 
Tatizo haya majina yanatumika kama sifa wakati yale ya kwetu ni
kashfa!
 
Umekosea......... wanaume wasiotulia wana majina yao....
1. Kiwembe
2. Kifagio
3. Kikaango
4. Kibuzi
5. Mla vichwa
6. Kamchape
7. Zungulukee
8. kidume
9. ..............................
10. ............................

Kizunguruka moto
Pichu mkononi etc
 
Always wanaume huwa wanapenda sana kujisafisha as if wao uzinzi ni halali yao! Sasa sijui hao wanawake wanaoitwa malaya na machangudoa hiyo ngono huwa wanafanya peke yao? Na zingekuwa zinasoma kilomita nakwambia wote wanaodiriki kumuita mwanamke hayo majina wangefyata mkia na kujihukumu wenyewe!
 
Mi nafikir zingekuwa zinata sugu, za kina dada wengine zingekuwa km msasa/brash
 
Umekosea......... wanaume wasiotulia wana majina yao....
1. Kiwembe
2. Kifagio
3. Kikaango
4. Kibuzi
5. Mla vichwa
6. Kamchape
7. Zungulukee
8. kidume
9. ..............................
10. ............................
na mengine ni haya
1.fataki
2. mzee wa bluetooth
 
ukisikia malaya ni mwanamke, kahaba ni mwanamke, changudoa
ni mwanamke, dada poa ni mwanamke, nyambizi ni mwanamke
siku hizi kuna mjasiliamwili ni mwanamke
. Hivi ninyi wanaume
tuelezeni hapa kama kungekuwa na kipimo kila uki... Kinaonyesha
mita kadhaa au kilomita........ Kweli mngetamanika......................
Hebu njooni hapa mmoja mmoja zingesomeka mita au kilomita
ngapi? Mkome kutuanzishia majina mabaya.

na ukisikia haya pia ujue ni wewe mwanamke ambaye hujatulia
1.guberi
2 bluetooth
3.kurumbembe
4. Nungayembe
5. Jelofaster
6.chawote
7. Tax bubu
8.magotti
9.charger ya kobe
10.MCHARUKO
 
Raha yake the more mita yao inasoma the more utamu, unlike us, tunazeeka tukitumika sana

Una akili wewe blackberry! umejuaje lakini? Na ndio maana huwa hamchelewi kulia mkigundua mmesalitiwa, si mnajua kuwa huo ndo mwanzo wa kukutana na mdunguaji mwingine, na mwingine...... ni kama safari moja inaanzisha nyingine!! hahahaaaaaaaaa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom