Natamani kumuoa binti wa Kinyarwanda

Natamani kumuoa binti wa Kinyarwanda

Wale wa kigari Ni noma
Kwanza inabid ujue Kama huna hela atakukimbia haraka Sana ( hawataki shida kabisa)
  • Ukipata mtoto wa Kinyarwanda uwe tyari kula chakula Cha kawaida Sana ,Walio wengi hawajui kupika kabisa
  • Ukimuoa wengi wanakua Ni wamama wa nyumbani yeye anajua kupendeza tu kila mda

Ya mwisho wanapenda maziwa Sana kwa hyo jitahdi kila siku una litre za kutosha ndani ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani umeeleza vyema kwa sisi tuloishi nao alafu ni wavivuuu
 
Wadau mnisaidie, niko katika umri ninaotakiwa kuoa. Lakini siku zote nimekuwa na ndoto ya kuoa mwanamke wa Kinyarwanda na hasa awe Mtutsi.

Navutiwa kwa urembo wao ila sijui tabia zao. Anayewajua anijuze. Vipi tabia zao za jumla? Nitawapataje ilhali Niko Dar? Msaada tafadhali.
Inabidi ujipange sana. Uwa wasumbufu na wanapenda starehe sana!

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Mimi Nakuelekeza Hao Wapo Wengi Sana Kigoma
Kama Upo Dar es salaam, Panda Bus Hizi

Adventure, Saratoga, Arizona, Ntomola Mpaka Kijiji Kinaitwa Mpeta Hapo Telemka.

Nenda Kijiji Kinaitwa Katoto Kipo Kwenye Bonde Hapo Watuts Tele Wanaishi Kazi Yao Kubwa Ufugaji
Ukifika Unajizolea Ni Shape Kweli Kweli
Wana Mizigo Ile Aliyosema Sheikh Kipoozeo
 
Mkuu, unaeza kuwa na namba ya mmoja wao?
 
Back
Top Bottom