Natamani kumuacha ila nashindwa

Meaningful idea
 
Achana naye...huyo atakufanya usifikie malengo? Uko mwaka wa ngapi dogo? Piga shule ujiweke sawa kwanza!! Jiwekee malengo ya kupata GPA ya 5.0 uone kama utapata muda wa kupoteza!!
Mwaka wa pili
 
Hongera, hii ni dalili ya ujauzito, baada ya miezi kadhaa tegemea kupata mtoto tena atakua wa kiume sababu anakuchukia sana.

Ongeza upendo, tumia boom vizuri . kuwa na hekima na ujiandaye kwa malezi.
 
Tatizo sio kumuhudumia mkuu
Utamhudumiaje bila sababu za msingi?
Kwani yeye....au basi tubu.
 
Tafiti zinaonyesha kwamba 90% ya wanavyuo wa siku za sasa wanaconcentrate zaidi kwenye maisha ya mapenzi na ujinga ujina bila kusahau na u-social networking usio na mbele wala nyuma.

wanadhani kuoa na kuolewa ni jambo la kukurupuka, wanadhani watazaa na kuishi humo hostel kwenye maji na umeme wa bure bila kusahau room ya TZS 41,500/4month.
 
Endelea naye mkuu mpaka pale utakapokomaa kiakili, maana seems wewe na yeye wote bado watoto.
 
Sio kweli
 
Af juz tu,ulituambia unasoma ordinary diploma,,,ukawa unaomba notes za adv Mathematics.
Vp diploma kumbe mnachukua bumu as usual?
 
Nikitazama mbele kidogo..!
Naona kuna mmoja atakuja kuumizwa sana baadae kuliko ilivyo sasa hivi.
Na wewe ndio upo kwenye hatari kubwa.
 
Pole sana mkuu.....
Jaribu kumsahau kila kitu kinawezekana ni maamuzi tu binafsi.
Haijalishi ataumia kiasi gani ? Au wewe utaumia kiasi gani ?
pia ameshajua udhaifu wako kwamba huna msimamo kwa jambo ulisemalo, kama umesema utamuacha wewe muache kweli fanya mambo yako, ukimsamehe kila mara anajua udhaifu wako.

Kila kitu kinawezekana jaribu kufanya maamuzi sahihi bila kuyumbishwa na huyu mwanamke.

Ukizingatia wewe ni mwanaume na baba bora wa kesho, kuwa na maamuzi sahihi katika kila jambo ufanyalo
Waza mambo ya msingi na punguza mapenzi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…