Kaka niseme ahsante kwa muda wako na ushauri, sijamzalisha akiwa shule na pindi alivokua shule nilikua namsisitiza sana kuhusu shule ila since namfaham alikua amekata tamaa ya shule so alkua anafanya ushahidi,,,,,my attention ilkua kumuandaa kuwa mjasilia mali ni kila nikijaribu kumfundisha hayuko interested,,, kinachokera ni kila nikijaribu kumueka sawa anakua mkali hatumii tone nzuri inaniwia vigumu sana hadi ufanis kazin unashuka
Aaahhhh sasa ndugu yangu ,,, kumbe mbona katatizo kenyewe nikadogooooo sana Man [emoji23] [emoji23] [emoji23] imenibidi nichekee kwanza ,,ona Embu kwanza chekapo nawewe mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] Alafu tucheke mimi nawewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Wacha nikuambie Mkuu...... Hapa duniani Zunguka kote HUTOPATA MKAMILIFU ......tena matatizo yahawa viumbe hutofautiana mmoja namwingine....
Jiulize km leo umefuma ??? Jiulize km Leo angekudharau kiasi cha kukutukana ?? Jiulize km Leo angekuchanganyishia MAFAILI KM AMBAVYO WENZAKO WANALETA NYUZI HUMU ZAKUKATA TAMAA !!!.
BADO NASISITIZA MKUU......kaa tafakar ,,Tafuta tatizo liko wapi ???? HUWEZI KUPATA AMANI YA MAHUSIANO AU MWAFAKA WAMAUSIANO KM HUJUI TATIZO LIPO WAPI.
je wewe ndo tatizo ??????.
Je unamsalit na amejua ????
Je amefuma MESEJI za kimapenzi?? Anaogopa kukuuliza sababu ya ukali wako matokeo yake ameamua kupiga KIMYA ??????
Je nisababu ukimpa kitu (pesa au huduma ) unampa kwa masoro ,,CHUKUA IYO HELA ,,MIMI NDO NAKULISHA KM MTOTO ,,NAKUVALISHA KM MTOTO ,,KWENU NAWAHUDUMIA ????.
JE UNAMKALIPIA KWA MANENO MABAYA AMBAYO MWANZO UKIWA CHUO HAYAKUWEPO ????.
Je anakusaliti ??? Au keshapata mshikaji ??? ( lazima awe najeuri na asifurahie mgegedo naww ikiwa anagegedw nje vzuri ).
Je kuna mahali umepungua ??? Zaman haukua ivo
KWAUFUPI kuna maswali MENGI yakujiuliza.
KUHUSU MGEGEDO.
Narudia kukuambia MWANAMKE AKIWA KICHWAN HAYUPO SAWA KUKUPA UCHI NISHUGULI ,NAAKIKUPA ,HAWI NAHISIA ,, ANAFANYA TUUU ILIMRADI LKN MARA NYINGI ANAKWEPA .
NIJUKUMU LAKO KUMSAIDIA MWANAMAMA ....
NAUKUMBUKE ...KAMA MWANAMKE HAFURAFII TENDO LANDOA ,BASI UJUE FIKA HATA MAMBO MENGINE +BIASHARA HAWEZI KUJII ENGAGE KABISAAAAAAAA .
mkuuuu ndo ukweli.
Je