Ibanda1
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 728
- 1,140
Habari zenu wakuu
Natumaini mu wazima wa afya, kama kichwa cha habari hapo juu kilivojieleza kwa ufupi. Nina mwenza ambae kwa sasa nmemweka ndani japo si kwa ndoa, tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka saba japo umekua ni uhusiano wa magomvi kila mara ila kwa nguvu za MUNGU tukapenya, nikiwa mwaka wa tatu chuo nilimpa mimba na mwaka jana tukapata mtoto wa kiume ambaye amekua ni baraka sana kwangu japo nilimpata kipindi kigumu ndugu wakanitenga lakini namshukuru MUNGU kijana wang amekua faraja kubwa sana na mwaka huu mwanzoni nikapata kibarua baada ya miezi mitatu kujiweka sawa nikaona nisiishi mbali na mwanangu ni muda wa kufaidi jasho la baba yake,bas nikaenda kwa wazaz nikatoa pesa kidogo nikaomba niondoke na mke wangu,tukakubaliwa tukayaanza maisha ndipo nimekuja kugundua ugumu wa kuishi na huyu kiumbe, kwanza yy ni mama wa nyumbani hana kazi elimu yake kidato cha nne na alipata zero,anachonishangaza hana msaada wwte wa mawazo ya kimaendeleo wala hawaz kujishughulisha na kitu chochote kila nikitoa mawazo ya biashara hana muitikio chanya, kubwa kuliko yote yy anajua ndo ni kufua, kupika na kumlea mtoto suala la kushiriki tendo la ndo ni mvivu mno kila siku analala kabla yangu ko nikihitaji bas nimuamshe hapo ntakumbana na sababu lukuki,,, hili tatzo linanifanya niwe mwenye hasira sina raha nae na anasema simpendi kwa kua nmekua tofauti na hata nikmweleza kua anankwaza anasema namuonea kisa hana kazi hakika natamani nimrudishe kwao ila mtoto wangu nahofia kurudi kwenye msoto kwan sasa ana mwaka na miezi kumi.
Nawasilisha!