Natamani kumuacha ila namhofia mwanangu

Natamani kumuacha ila namhofia mwanangu

Siku ukiwa unataka mzigo mwambie mapema leo nataka nikulenge

Halaf mama wa nyumbani anashindwaje kukupa tendo wakat mchana muda mwingi anapumzika tu?!
Hilo pia nami huliwaza sana anachoshwa na nn?
 
Hata mimi nilikua na changamoto kama yako miaka mitatu iliyopita, nikampeka QT akafaulu na sasa hivi nasubiri ya F4 .Na nimempeleka vikozi vidogo vidogo vya upishi wa cake, maandazi ,chapati na computer ili ajiajiri. Nashukuru mungu sasa hivi anatengeneza cake za harusi na bites tofauti tofauti na duka la vyakula , na amekua active sana .
Usimuacha sio solution hebu mtengeneze unavyotaka wewe awe itamsaidia yeye na familia yako.
 
Pole kumtenga sio suluhu hata kumuacha pia,, jitahidi kumuandaa kwa sms ukijua unataka mzigo kuhusu maendeleo mtafutie kikozi hata computer ili kimchangamshe you never know hata baadae ukaamua kumfungulia stationary office maisha yakaendelea
Noted mkuu, hilo la kumuandaa nmejaribu sana ila mambo bado mlima
 
Kwa hiyo sasa hivi ndo unajua eti ni form four failure? Una lako jambo kama sio ushapata was kikazikazi... Mwendeleze na acha ujinga was kumdhalilisha mwenzio
Umenielewa vbaya mkuu, zero nmeizungumzia kama qualification yake na sio tusi wala dhihakka.
 
Aisee ukisita kwa sasa baadae itakugharimu sana nakushauli fanya maamuzi mapema.
Hata mwenyewe ninae maenza ambae tulibahatika kupata mtoto hata kabla ya ndoa baada ya hapo akaanza matatizo
Akiingia ndani utafikiri umekosea umepita Lugalo jeshini au utafikiri ndio umeingia kituo cha polisi
Mwanaume nikasema yasiwe makubwa nikajiweka pembeni
Piga chini kama anaonyesha dalili mapema
Hizo ni dalili tosha kua kakuchoka
Halafu hawa wanawake wakuzaa nao kabla ya ndoa ni tatizo sana....watu wakiona wanaume wamewaterekeza wanawahukumu.wanaume..lkn hamna wazinguaji kama hao.
 
mkuu huwezi kupata yote......angalau unamtoto na pia anafanya domestic work mshukuru mungu kumbuka wakati unamuoa hukutafuta bussiness partner ulotafuta mke kwahiyo ridhika nae.
Hapana mkuu hili ni zito usiambiwe
 
Mmh kwa Matokeo yake tu ya form four napata picha m'mke wa type gani ulienae. My brother that's not ure type. Lasivyo mrudishe shule, na kwa kiwango cha matokeo aliyopata usishangae ndio maana ht mawazo chanya ya maendeleo hana.. Yeye anawaza kula, kulala na kupika tu yeye hapo ndio anajua maisha kamaliza.. Japo si wote wako hvyo
 
[emoji23] [emoji1]
We "Johnson" ndiyo umeamua kuja kumtangaza mdogo wangu humu Jf,
Sasa si umrudishe kwao halafu washirikishe wazee ila mtoto mchukue wewe....
Hahaaaaa mkuu yamenifika hapaaaa kwa wazaz nmeshtakia hadi nmechoka
 
Aisee ukisita kwa sasa baadae itakugharimu sana nakushauli fanya maamuzi mapema.
Hata mwenyewe ninae maenza ambae tulibahatika kupata mtoto hata kabla ya ndoa baada ya hapo akaanza matatizo
Akiingia ndani utafikiri umekosea umepita Lugalo jeshini au utafikiri ndio umeingia kituo cha polisi
Mwanaume nikasema yasiwe makubwa nikajiweka pembeni
Piga chini kama anaonyesha dalili mapema
Hizo ni dalili tosha kua kakuchoka
Mkuu nadadavua hapa ila sasa huyu kiumbe wangu namuonea iman sana
 
Alikuvumilia na ukapuku wako ushapata kazi sasa ndio unamuona sio level zako, wanaume bwana!!!

Mvumilie tu mkuu, si mnasema hao wasio na elimu ndio wake bora.
 
Habari zenu wakuu
Natumaini mu wazima wa afya, kama kichwa cha habari hapo juu kilivojieleza kwa ufupi. Nina mwenza ambae kwa sasa nmemweka ndani japo si kwa ndoa, tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka saba japo umekua ni uhusiano wa magomvi kila mara ila kwa nguvu za MUNGU tukapenya, nikiwa mwaka wa tatu chuo nilimpa mimba na mwaka jana tukapata mtoto wa kiume ambaye amekua ni baraka sana kwangu japo nilimpata kipindi kigumu ndugu wakanitenga lakini namshukuru MUNGU kijana wang amekua faraja kubwa sana na mwaka huu mwanzoni nikapata kibarua baada ya miezi mitatu kujiweka sawa nikaona nisiishi mbali na mwanangu ni muda wa kufaidi jasho la baba yake,bas nikaenda kwa wazaz nikatoa pesa kidogo nikaomba niondoke na mke wangu,tukakubaliwa tukayaanza maisha ndipo nimekuja kugundua ugumu wa kuishi na huyu kiumbe, kwanza yy ni mama wa nyumbani hana kazi elimu yake kidato cha nne na alipata zero,anachonishangaza hana msaada wwte wa mawazo ya kimaendeleo wala hawaz kujishughulisha na kitu chochote kila nikitoa mawazo ya biashara hana muitikio chanya, kubwa kuliko yote yy anajua ndo ni kufua, kupika na kumlea mtoto suala la kushiriki tendo la ndo ni mvivu mno kila siku analala kabla yangu ko nikihitaji bas nimuamshe hapo ntakumbana na sababu lukuki,,, hili tatzo linanifanya niwe mwenye hasira sina raha nae na anasema simpendi kwa kua nmekua tofauti na hata nikmweleza kua anankwaza anasema namuonea kisa hana kazi hakika natamani nimrudishe kwao ila mtoto wangu nahofia kurudi kwenye msoto kwan sasa ana mwaka na miezi kumi.

Nawasilisha!
Hata mimi nilikua na changamoto kama yako miaka mitatu iliyopita, nikampeka QT akafaulu na sasa hivi nasubiri ya F4 .Na nimempeleka vikozi vidogo vidogo vya upishi wa cake, maandazi ,chapati na computer ili ajiajiri. Nashukuru mungu sasa hivi anatengeneza cake za harusi na bites tofauti tofauti na duka la vyakula , na amekua active sana .<br />Usimuacha sio solution hebu mtengeneze unavyotaka wewe awe itamsaidia yeye na familia yako.
 
Halafu hawa wanawake wakuzaa nao kabla ya ndoa ni tatizo sana....watu wakiona wanaume wamewaterekeza wanawahukumu.wanaume..lkn hamna wazinguaji kama hao.
Aisee ilifikia hatua nampa fedha nyumbani nanua kila kitu nikisafiri nikienda kazini hata kama nimemwachia laki mbili ndani ya siku tatu anaanza kupiga simu japo nae anafanya kazi,.
Kumugegeda tu ikawa taabu ratiba kali akitaka kulala anajipiga lamimation kwenye strong room utafikiri mitihani ya kidato cha nne inavyo lindwa
Bahati mbaya kanikuta namie akili mbovu napiga mpaka miezi miwili simuulizi
 
muda wote hukujua ni form failure? kwaiyo angekuwa na degree ungesemaje? mtaumizwa sana kwa nyodo zenu na kama hauko romantic acha akubanie tu
 
Mke wangu ni form IV, nashukuru Mungu tunapendana na kuthamiana bila kuangalia kiwango chake cha elimu. Nakuomba Mungu unilindie ndoa yangu ili nisiwe na majivuno mbele yake maana familia bora ni kushauriana na kuwa mipango inayofanana.
 
KUHUSI TENDO.....
jaribu kuangalia nn tatizo ..kama unataka umgegede kila siku ... Lazima abane.
Pia ,,Jaribu kumwandaa mapema kiakili ndo umle mzigo.

Tatizo ,,nipale hujamwandaaa hata kwamaneno ya utani utani alafu unakuja kumshtukiza nabado Hutomasi wewe unataka kula tuuu .....Anaumia.

Pili ,,Wewe ni mkolon mnooo alafu unaonekana unasifa za ki NARCISSIST...watu waaina yenu huwa inahitajika akili yaziada sana kwamwanamke kuishi nawewe.

TATU NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA ILI UNIELEWE.

ACHA MADHARAU YAKO YASOKUA NAMSINGI ,,, ET ZERO ,, KWAN ULIPOMTONGOZA MPAKA UNAMZALISHA HUKUWA UNAJUA ALIPATA ZERO ????? ULICHUKUA HATUA GANI KUMSAIDIA ??? ULIMSHAURI KURUDIA MASOMO ???? NKM ULIMSHAUR ,,MTOTO WAKO ANHEMWACHA NANAN???? SWMBUSE KUMPA MIMBA TU NDO AKAMUA KUKATA TAMAA YASHULE ,,, SEMBUSE KUKULEA MTOTO WAKO TU NDO KILIMFANYA ASIRUDI SHULE .... SEMBUSE WEWE NDO ULIKUA UNAMUIZA *** baby nikimaliza chuo nitakuoa tulee mtoto Wetu**** BINTI WATU UKAMPA MATUMAIN MENGI ,,SEMBUSE UMEMCHPUKA SANAAAA,,, SEMBUSE BINTI WAWATU HAJAWAH KUKUSALITI...

LEO UMEMUOA ,,UANZE KUMLETEA VISA ,KISA ELIMU YAKE ???? AU KISA UNAONA MTOTO KESHAKUA MTU MZM ???¿?? NADEMU UMECHOKA ????.

!
!
!
AISEEEE NMEONGEA KWA HASIRA UTAZAN MIMI NI KAKA WAUYO DADA .....ILA NIKUAMBIE KITUUUU.

HUYO DADA HAJASOMA NAWALA HANA AKILI ZABIASHARA ,LKN AMIN NAKUAMBIAA HUYO MWANAMKE NDIO CHANZO CHA MAFANIKIO YAKO ,,UWAPO KAZIN HUWAZI CHAKULA UTAKUTA AU ??/HUWAZI NYUMBA ITAKUA CHAF AU ???/HUWAZI MTOTO KALA AU KAOGA AU ANAUMWÀ ??????.. HUJUI TUUU KIASI GAN HUYO MWANAMKE ANAKUOMBEA KIMYA KIMYA ILI MUNGU AKUBARIKI .....


!
!
! AISEEEEEEEE SIJALI WEWE NDO UMEOA AU MIMI SIKUJUI AU UNANIJUA ,SIJALI SIJUI MMETOKA WAPI AU MNAENDA WAPI ???. .... KWAUFUPI SIKU UKIMWACHA HUYO MWANAMKE ,,JIANDAE KUA NAMAISHA YATABU MAGUMU YASOELEWA NAMWISHO MTOTO ATAKUA CHOKOLAAAA ....


AISEEEEE UZI WAKO UMENIUMIZA SANAAAA ....HAYO NIMAMBO YAKUKAA MNAYAONGEA TUU KWA UPENDO ,,JARIBU KUMCHUKUA NAKUMPELEKA KWA MARAFIKI WAKO WAKIKE WANAOJISHUGULISHA NA BIASHARA ..UTAONA MWENYEWE ANAJAWA NA HAMU YA KAZI ...UTAONA WENZAKE WAKIMPA NGUVU YA KUFANYA KAZI.


TENDO LANDOA ,,JARIBU KABLA YA KWENDA KITANDANI UNAMWANDAAAA HATA KWA MASTORI...

UPO KAZIN NAUNAJUA LEO UNATAKA MZIGO....MTUMIE MESEJI TUUU ***** baby Leo pika mapema ,ninahamu sana naww , naitaji Leo nikutombeee mnooo*** .....AISEEEEE UTARUDI OM UNAKUTA MWANAMKE ANAZUNGUKA NA KANGA TUUU BILA CHUP.

NAISHIA HAPA.
Kaka niseme ahsante kwa muda wako na ushauri, sijamzalisha akiwa shule na pindi alivokua shule nilikua namsisitiza sana kuhusu shule ila since namfaham alikua amekata tamaa ya shule so alkua anafanya ushahidi,,,,,my attention ilkua kumuandaa kuwa mjasilia mali ni kila nikijaribu kumfundisha hayuko interested,,, kinachokera ni kila nikijaribu kumueka sawa anakua mkali hatumii tone nzuri inaniwia vigumu sana hadi ufanis kazin unashuka
 
MKUU ,,SIKUJUI AISEEE ,,,ILA NMEJIKUTA NAKUONA NDUGU ..... MTU ASIKUDANGANYE KUMUACHA MWANAMKE WAKO KWAVISABABU ULIVYOTOA HAPOOOO ..NISABABU ZAKAWAIDA NAZAKUBEBEKA ,,NIZAUBINADAM NAAMBAZO ZINASAWAZIKA ......

MWANANGU KM KUNA LINGINE LIWEKE HAPA ,,KAMA ANAKUSALITI WEKA HAPA .....LKN IVI VIMIKWARUZO ULOLETA HAPA ...MTU ASIKUDANGANYEEEE MAN ,,UTAINGIA CHAKIKE KABISAAAAA ....

KATAAA IYO ROHO INAYOKUFANYA UMUONE MZIGO KATAKAAA ..

WENGINE HUMU WANAWAONA WAKE ZAO MIZIGO SABABU WAO WANACHEPUKAA SANAAA NJE YANDOAA SASA WANATUMIA NJIA YA HASIRA KUJILINDA ..

TULIZA AKILI MKUUUU .... UTARUKA MKOJO UKANYAGE MAVI ,,UTAPATA MSOMI ,ALAFU KUDADEKI NIBONGE LA MATATIZO MPAKA UTAAMUA KUOKOKA TU.
Kaka putin nakuelewa sana
 
Back
Top Bottom