nipigie kwa 0764556760
Nimebaki mwenyewe tu bonge la bwana wengine wote matapeli!!
kila mwanaume ni mkweli ila sema nyie wanawake ndio hamtaki kuambiwa ukweli. akikwambia nataka kukugegeda mnasema kwamba eti hananikosea heshima au kuniona malaya.
Hahahaaaa... We mbona mawazo yako yameenda fasta hapo kwenye......??
Hunifikii mimi. Ni zaidi ya wote. Ni PM nikupe sifa zanguNimebaki mwenyewe tu bonge la bwana wengine wote matapeli!!
habari zenu wanajamvi,
kweli, natamani sana kuwa na mwanaume mwema, mwenye upendo wa kweli, anaejali, na mwenye utu. lakini kulingana na hali halisi ya wakati huu, mawazo hayo ni hadithi. kumpata mwanaume wa staili niitakayo inakuwa ni bahati ya kuzaliwa.
hivyo nimeamua kutazama kama vile natazama mpira uwanjani...! nimewashirikisha tu mawazo na hisia zangu, si lazima kuchangia.
Mmm at 35! labda waliofiwa au kuwa mke wa pili.
Afu we umeona kwa jicho lingine.. kudos!
Hahaaaaaa,ngoja ntakujaribu nione
nipigie kwenye 0755 99 39 30
Besti...
Ndo kusema hujamuona mchumba au??
Kamata fursa mtu wangu!