asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Labda umchonge/umuumbe wewe mwenyewe
habari zenu wanajamvi,
kweli, natamani sana kuwa na mwanaume mwema, mwenye upendo wa kweli, anaejali, na mwenye utu. lakini kulingana na hali halisi ya wakati huu, mawazo hayo ni hadithi. kumpata mwanaume wa staili niitakayo inakuwa ni bahati ya kuzaliwa.
hivyo nimeamua kutazama kama vile natazama mpira uwanjani...! nimewashirikisha tu mawazo na hisia zangu, si lazima kuchangia.

We una gundu aisee ni mara ya pili unaleta tangazo hilo. Nenda kaoge baharini aisee au nenda raha tupu kajianike labda utapata.
Ndukiii naenda kwa kapuya!!
habari zenu wanajamvi,
kweli, natamani sana kuwa na mwanaume mwema, mwenye upendo wa kweli, anaejali, na mwenye utu. lakini kulingana na hali halisi ya wakati huu, mawazo hayo ni hadithi. kumpata mwanaume wa staili niitakayo inakuwa ni bahati ya kuzaliwa.
hivyo nimeamua kutazama kama vile natazama mpira uwanjani...! nimewashirikisha tu mawazo na hisia zangu, si lazima kuchangia.
Hapo kwenye kujali ndo mtihani ulipo. Asipokupa hela utasema hajali.habari zenu wanajamvi,