Natamani kumnyang'anya vitu nilivyo mpa

Natamani kumnyang'anya vitu nilivyo mpa

jamani wakuu nimeshindwa kutoa ushauri kabla ya kukimbilia jamvini.
Kuna jamaa yangu tuko nae hapo chuoni alikuwa na mpenzi wake ambaye wamedumu naye kwa mda wa miezi minne. Jamaa alikuwa kamfanyia vitu vingi mpenzi wake. Ikiwemo kumpa simu ya Huwawei Y-300 na pesa ya mavazi pamoja na kufanya nae starehe za kiuanafunzi.jamaa alikuwa hajafanya mapenzi na huyo demu ila relation yao ilikuwa ile ya friend with benefits. So juzi bidada akamfungukia rafiki yangu na kumtaka waachane kwa sababu eti bidada anampenzi wake kwao. Jamaa kachanganyikiwa na kutaka kumpokonya bidaa simu na kumdai gharama zote alizohudumia kaja kuomba ushauri kwangu. Nimemwambia anipe mda nifikire, ndio maana nimekuja jamvini kuomba ushauri wana ndug ushauri wenu tafadhali.
If you have nothing to contribute please pass free and don't insult.remember you are grown up enough to be wise.
Bossman, Kutoa ni moyo. Tenda wema then unachapa lapa na ku-move on.
Kudai hivyo vitu ni kujidhalilisha tu. Mwanaume lazima uchunwe banaaa
Cheers!
 
Tehtehtehtehhh....makavu laivu......
Mambo mengine muwe
munayamaliza wenyewe huko nyie si wanaume? au wanaume suruali? Wanaume
wawili mnashindwa kutatua jambo dogo kama hilo? Mnatuaibisha
bhana.....agrrrr aaah poor men.
 
Alikuwa snajipendekeza kwa bidada,cha msingi hapo aachane naye kwani huwezi lazimisha kupendwa,ila si kuna rafiki zake bidada yupo ambaye alikuwa anatamani uhusiano wao ili aumie.Bora kupendwa kuliko kupenda!!!!
 
Mambo mengine muwe munayamaliza wenyewe huko nyie si wanaume? au wanaume suruali? Wanaume wawili mnashindwa kutatua jambo dogo kama hilo? Mnatuaibisha bhana.....agrrrr aaah poor men.

hatujashindwa mkuu lakini sometimes you have to think whether the feedback you are giving is relevant.ishu si kufanya maamuzi ila je maamuzi hayo ni sahuhi?
 
jamani wakuu nimeshindwa kutoa ushauri kabla ya kukimbilia jamvini.
Kuna jamaa yangu tuko nae hapo chuoni alikuwa na mpenzi wake ambaye wamedumu naye kwa mda wa miezi minne. Jamaa alikuwa kamfanyia vitu vingi mpenzi wake. Ikiwemo kumpa simu ya Huwawei Y-300 na pesa ya mavazi pamoja na kufanya nae starehe za kiuanafunzi.jamaa alikuwa hajafanya mapenzi na huyo demu ila relation yao ilikuwa ile ya friend with benefits. So juzi bidada akamfungukia rafiki yangu na kumtaka waachane kwa sababu eti bidada anampenzi wake kwao. Jamaa kachanganyikiwa na kutaka kumpokonya bidaa simu na kumdai gharama zote alizohudumia kaja kuomba ushauri kwangu. Nimemwambia anipe mda nifikire, ndio maana nimekuja jamvini kuomba ushauri wana ndug ushauri wenu tafadhali.
If you have nothing to contribute please pass free and don't insult.remember you are grown up enough to be wise.
;

Yaani anataka kum'Clement' mhhh napita!
 
Mbwa huyo chukua mazaga falawewe Nani kasema kichuochuo kuna ma loveee?
 
naifaham mkuu jamaa alikuwa anafukuzia sana lakini anazungushwa so he had to be patient

Huijui usiwe mbishi.
FWB ni marafiki hata mabest, lkn hawana commitment ya mapenzi ila wanaweza kufanya sex bila commitment. Sex ndio Benefit.
 
naifaham mkuu jamaa alikuwa anafukuzia sana lakini anazungushwa so he had to be patient

Basi hiyo relationship ilikua potentially friends with benefits..maana kidesign haija qualify hivi maana FWB's lazima wawe wameshashiriki na hiyo haina kufukuzia wala kupigiana misele refer to FWB movie aliyo act justin timberlake..Over..!!
 
Haya kwa ushauri. Muulize kinachomuuma ni kumkosa mdada au gharama ya vitu alivyompa?
Na pia ana mapenzi kiasi gani kwa huyo mdada, maana akimdai ndio anapoteza hata chance ya urafiki wa kawaida licha ya benefits.
Halafu akishajua nini anataka na madhara yake afamye uamuzi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom