Kashindi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 349
- 250
jamani wakuu nimeshindwa kutoa ushauri kabla ya kukimbilia jamvini.
Kuna jamaa yangu tuko nae hapo chuoni alikuwa na mpenzi wake ambaye wamedumu naye kwa mda wa miezi minne. Jamaa alikuwa kamfanyia vitu vingi mpenzi wake. Ikiwemo kumpa simu ya Huwawei Y-300 na pesa ya mavazi pamoja na kufanya nae starehe za kiuanafunzi.jamaa alikuwa hajafanya mapenzi na huyo demu ila relation yao ilikuwa ile ya friend with benefits. So juzi bidada akamfungukia rafiki yangu na kumtaka waachane kwa sababu eti bidada anampenzi wake kwao. Jamaa kachanganyikiwa na kutaka kumpokonya bidaa simu na kumdai gharama zote alizohudumia kaja kuomba ushauri kwangu. Nimemwambia anipe mda nifikire, ndio maana nimekuja jamvini kuomba ushauri wana ndug ushauri wenu tafadhali.
If you have nothing to contribute please pass free and don't insult.remember you are grown up enough to be wise.