Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
ASANTE SANA, NGOJA NIFANYE IVYOhio inaitwa browser hijacker mtu ameteka browser na asilimia 99 antivirus haiwezi kupambana nao hawa jamaa sababu ulimwengu wa sasa si wa virusi tena.
solution ya haraka
ingia google search malware bytes then download halafu install then scan dk kadhaa tu anatolewa.
kujifunza zaidi
kama unataka kumtafuta mwenyewe taratibu fanya hivi
- nenda kwenye extension/browser addons halafu angalia kitu gani hukielewi elewi na unahisi ni malware kitoe
-nenda add or remove program (sehemu unapo un install program) halafu angalia ni program ipi hujaieka na unahisi ndio yenyewe.
-kill process zake toka task manager
-reset browser
nk
NISHIDA NDUGU YANGUHahaa hii kitu nilikuwa nafanya application za masomo online....aiseee ikabid niagaili maana unaclick hiki unaletewa kile au page inakuwa covered na add Za ajab ajab hadi kero..nikabid niache
kumbuka app gani ulieka ndio hilo tatizo likaanza itoe hio app.
huna shida ya kufuta app unayohisi ndo chanzo sababu app nyingi za free ndo huleta hiz ads ili u click wafanye biasharakumbuka app gani ulieka ndio hilo tatizo likaanza itoe hio app.
pia jaribu kwenda setting halafu application angalia kwenye app zinazorun kama kuna suspicious app
huna shida ya kufuta app unayohisi ndo chanzo sababu app nyingi za free ndo huleta hiz ads ili u click wafanye biashara
download app inaitwaLUCKY PATCHERuki download ifungue na utaziona app zako zote gusa kwa muda iyo app na itatokea setting na utachagua REMOVE ADS itakapomaliza fungua app yako na itakua tayari