Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

Ukitaka kumtambua mzaramo popote duniani muangalie mdomo wa juu unakua umebinuka halaf unakuta unacheza cheza kila baada ya dakika kadhaa....hawa mi hawanipi shida kabisa wazaramo na wandengereko nawajua vizuri sana....
Ukikimbia Nchale ukisimama Nchale!!!!!!
 
Haya tuwekee wewe picha za jana usiku kwenye hiyo shoo,zikionyesha watu pamoja na jukwaa,ili tuone picha halisi ya hali ilivyokuwa,OLE WAKO USHINDWE KUFANYA HIVYO,NA UTATUAMBIA KWANINI UNAKOSOA BILA YA WEWE KUWEKA ZA KWAKO ULIZOZIPIGA.
Niache kulala niende kwenye kulipa 30000 si bora huo mda ningeenda kulala na watoto wasiojiweza nikawafarij nakuwap zawad ya xmass kuliko kuharbu pesa kweny sin like that
Sina pic yyte so natolea maelezo ya upgwaj wa hzo pic
 
Basi hustahili kubishia cha wenzio wakati cha kwako unachodai ndicho sahihi huna.
 
acha taarabu ww mi nasema ukweli najua kazi ya uphotographer and also videographer so kaa kmya cjasema ka edit kitu ila ujajua namna upigaji wa picha ww rudi shule 4m 3 kasome
Kazi ya uphotographer? Ukiwa na maana kazi ya u'mpiga picha' sio? And yet unamwambia jamaa arudi shule. NINA MASHAKA NA VYETI MR. MPHOTOGRAPHER.
 
Kazi ya uphotographer? Ukiwa na maana kazi ya u'mpiga picha' sio? And yet unamwambia jamaa arudi shule. NINA MASHAKA NA VYETI MR. MPHOTOGRAPHER.
Arud ckul 4m 3 akajifunze kwanz aina za picha na namna zinavopigwa ndo aje hapa nyie watu hamkusoma Geography au
 
Jaman nauliza kama beach zimefungwa kipindi hiki. Nataka nikaogelee peke yangu nitoe ukurutu wa maji ya DAWASCO
 
Back
Top Bottom