Ishakuwa kipengele tayari

knows

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,403
2,006
Habar wana jf

Natamani wote ni wazima

Wazee hii kwangu ishakuwa kipengele nilikuwa na mwanamke tulipendana sana na kutambulika kwa wazazi wetu kuwa tupo pamoja na huyo mwanamke ila baadae zilitokea Ups and down ila wazazi walikuja kutuweka sawa life ikaendelea tukawa good sana ila maisha ya mahusiano ya mambo mengi ups en down hazikwepeki tulikuja kukosana na niliamua kumpiga chini but it’s was be a hard situation for us coz kuachana na mtu ambae wote mnapenda kweli but nilisha take decision.

Tulikaa wiki ndo wazazi wakajua kinachoendelea sababu walikuwa hawatuoni wote ikawashtua na kujua ukweli kiukweli mamaangu aliumia sana kuachana kwetu na kunilaumu Kwanini nimeamua kumuacha huyu mwanamke Kwani Alikuwa anampenda sana ila nilimwambia mama ishatokea bhas nikaendelea na maisha mengine mbaka nilipokutana na mwanamke mwingine ambae tuliamua kuwa na mahusiano mbka akabeba ujauzito wangu na nilikwenda kuwataarifu nyumbani na wakalipokea vizur.

Sasa juzi nipo home kwangu nikapigiwa simu namba ngeni nikapokea naskia sauti ya mwanamke but Mtandao ulikuwa unasumbua hatukuelewa ila aliniuliza ukowap simu ikakata nikataka kumpigia akapiga tena akaanza kuongea lakin akili inakawa inajiuliza nani nikamuuliza nani? lakin kabla hajajibu nikajikuta nimelitaja jina lake tukajikuta wote tupo excited na yeye hakuamini akaniuliza umejuaje kuwa ni mimi nikamwambia nimejikuta tu nakutaja ila sauti yako haiwezi futika akilini mwanangu kiukweli alikuwa yule mwanamke wangu tulieachana.

Kiukweli tulikuwa na furaha sana wote iyo juzi baada ya kunitafuta huyu mwanamke tuliongea sana but mwisho aliniomba sana Tuyaache yaliotokea yapite tuendelee na maisha mengine kwani bado ananihitaji na anamiini hata mimi bado ninamuhtaji but to be honest huyu mwanamke hisia zake kwangu hazijawah kufa hata akae miaka 20 akirudi yaan kama ndo tumekutana kweli true love never die kiukweli tu niseme tumerudiana.

Sasa kipengele home bado hawajui kuhusu kurudiana na mwanamke wangu ambae mama alimpenda sana sasa nawaza itakuaje na huyu mwenye mimba yangu kwamba nimchane ukweli huyu mwanamke tulio rudiana au niache kwanza mbaka mtoto azaliwe then baadae ndo nije kumwambia ukweli kuwa nina mtoto na je akija gundua before sijamwambia ukweli siitaleta tena tafrani

NOTE: mwanamke mwenyew ujauzito wangu kiukweli hatukuwa na malengo ya kuoana hata alibeba mimba tulikaa chini na kukubalia kuwa sawa umebeba mimba yangu but ishu ya ndoa kwangu bado now siko willing ila mimba nitalea na mtoto wangu nitamuhudumia kwa kilakitu akakubali na kuelewana vizur tu na maisha yanaendelea japo mzee wangu aliniambia na kunishauri tu nijekumuoa awe wife lakin mama nae bado hajajua kuwa nimerudiana na huyo mwanamke naakijua sjui atafanya nini
 
77323370-675e-4bcb-b756-b53eda39aa54.jpg
 
Asa huyo mwenye ujauzito akaolewe na nani?

Oa mwenye ujauzito ukimuaacha unamuharibia future, direction, her respect and reputation

Hatukukubaliana hivyo mimi na yeye tatizo
 
Kila mwanamke unamapeleka home....

Anyway, muoe huyo unaempenda

Hapana mkuu huyu mjamzito nilimpeleka kwasababu ya situation iliotokea ya yeye kuwa na mimba tu bhas si vyema wazazi kutokujua
 
Back
Top Bottom