Ahahahaaaah!!! Unataka afe???Me natamani ufe sasa hivi,sijui nikuletee sumu au nikusagie chupa unywe,au kamba ujinyonge.
Mnaompa moyo huyu kimada bila kumwambia kakosea hamsaidii?
nlishangaa sana kuona jina lako eti kimada,tena ZING unachotaka kufanya angalia Mungu asikurudi kwanza unafamily wewe??? au unam........ kimada?
Halaf we kimada unajua kama unakose kwann uombe tusikutukane?Huyo mwenye ndoa wacha akutukane hadi ufe.
Naona umesahau alichokiunganisha MUngu..............................................................................
NUNGAYEMBE MKUBWA WEWE!!!!!! na utahangaika sana.
Wana sifa ya kuitwa mke. wana potential ya kulea familia...
Tabia zao....
Sijui wanawake sometimes mnakuwa na akili za namna gani mtu unaambiwa pale kuna shimo utadumbukia lakini bado hausikii unazidi kwenda tu cha ajabu zaidi kwa vile umejijua wewe ni KIMADA umeamua kujipa na ID ya KIMADA hivi unataka tukushauri nini? Unataka tukushauri uendelee kumegana na mume wa mtu kwa vile unajifanya umekufa sana juu? Kama unasema ulikuwa unampagawisha iweje leo kakuacha na karudi kwa mkewe?
Wakisema wanawake hamjithamini mnaona mnaonewa hivi unataka kuniambia haujaona wanaume wengine kwa umri huo ulionao au ndio kusema sikio la kufa halisikii dawa au ndio kichwa cha mwendawazimu saa zingine mnakuwa mnajitafutia mikosi tu maana kutembea na mke/mme wa mtu ni kujiletea nuksi na mikosi, haya labda ni kitu gani ambacho unaweza kujivunia kwa kutembea na mume wa mtu nachoona hapo ni kwamba kakutumia kama vile chupa maji baada ya kukata kiu unatupa kwenye dustbin. Saa zingine fungua macho vitu vingine mnalaumu wanaume wakati viko ndani ya uwezo wako sasa hapo utamlaumu nini mwanaume wakati wewe aliishakwambia kuwa ana mke na wewe bado ukaendelea kujenga msingi. Tafuta maisha yako mwenyewe wanaume wako chungu nzima unajitia najisi kung'ang'ania mume wa mtu.
NB: Halafu wanaotaka kujiua huwa hawasemi you just do it. Halafu ukijua unakuwa umempunguzia mume wa mtu matatizo.
Apart from yule bwana wa Tunisia sidhani kama kujiua kulishawahi kuwa solution ya jambo lolote...........
Ushauri?, kama kweli unahuitaji tafuta wakwako ambaye hana mtu, alafu jifunze kumpenda.
Mhh asante nilikuwa ninacomittment nyingi sana na nilishakuwa addicted na JF nikaamua nijipige BAN kidogo lakini it seems i cant stay away from JF; Afrodenzi and all the good people at JFDahhhh ulienda wapi jamini??
Mzima lakini??
Mhh asante nilikuwa ninacomittment nyingi sana na nilishakuwa addicted na JF nikaamua nijipige BAN kidogo lakini it seems i cant stay away from JF; Afrodenzi and all the good people at JF
Mhh it feels good to be home.....
I really Miss u Guys
miaka 32 na bado unataka kuendelea kuwa kiburudisho? Pole sana kwa uelewa wako finyu juu ya wanaume! Wanaume siku hizi hatupagawi na uzuri wa mwanamke bali kujieshimu kwake na mchango wake kwa maendeleo, hivi unadhani atamuacha mke wake msomi na mwenye kazi nzuri afuate uzuri wako? Hah hah hah we endelea kujiona mzuri na hongera kwa kujaliwa uzuri...hivi unasubiri nini hadi leo una miaka 32 na bado unataka kuwa kimada? Umesema ulimpagawisha sana ina maana ulimpa tiGO? mwisho na kushauri utekeleze usemi wako ulioandika kwenye headline ya thread hii.. Maana ufahi, wanawake wanzio wanawaza kujiendeleza kielimu kimaisha we unawaza kujiua kisa unataka kuwa kimada wa mtu na umekataliwa?Habari zenu wana Jamii Forum. Mimi ni mgeni humu. Ila si mgeni ki hivyo nimekuwa natembelea bila kuwa member. Nimeamua kujiunga ili nipate kushauriwa kwani shida niliyonayo siwezi kushare na mtu ninaye mjua. Mimi ni mdada wa miaka 32. Ni mrembo sana yaani wale mnaoita 8 figure. Sijisifii ila hilo nimeona nilitamke ili muweze kuielewa vizuri mada yangu. Nilitokea kumpenda sana kijana mmoja na kuja kugundua baada ya miezi miwili kuwa ni mume wa mtu. Kaka ni muislamu hivyo havai pete na kwa kuwa ni kijana sikuweza kudhania kuwa ni mume wa mtu na kwa kweli ningejua nisinge mpa moyo wangu. Tatizo niligundua kuwa kaoa wakati nimeshampenda. Na ni yeye mwenyewe alinitamkia kuwa nina mke baada ya kujua sitaweza kumwacha kwani nilikuwa nimekolea. Tumekaa kwenye uhusiano kwa muda wa mwaka na nusu sasa mpaka pale mkewe alipokuja kugundua. Mimi mkewe nilikuwa nimeshamjua. Ni mdada msomi na ana kazi nzuri sana ila ni wa kawaida na aniingii hata nusu kwa uzuri kwa hiyo nilijua tu kuwa mumewe atakuwa ananipenda mimi zaidi na labda kuna siku nitakuwa mke wa pili kwani ni muislamu. Tatizo limeanza miezi miwili iliyopita. Jamaa alinipigia simu akanambia mkewe amejua kuwa tuna uhusiano, kwa hiyo mimi na yeye basi kwani hataki kuvunja ndoa yake. Nimeumia sana imagine mwaka na nusu na nimeshampenda sana. Nimejitahidi kumfuata ofisini kwao secretary wake ananambia jamaa kasafiri wakati gari naliona nje ya ofisi. Nimempigia simu simpati naona amebadili namba. Hivi kweli wanaume mnaweza kuwa wakatili hivi? Kibaya zaidi mkewe kutwa ananipigia simu na kunitisha kuwa atanifukuzisha kazi. Mimi sijali kufukuzwa kazi kwani ninampenda sana huyo mwanaume. Nishaurini nifanyeje kwa wale wenye uzoefu wa kuwa vimada na wale wenye nyumba ndogo. Msinitukane jamani. Mimi sijawahi maishani mwangu kutembea na mume wa mtu zaidi ya huyu na sikuwahi kuwaza kuwa yatanikuta. Hivi nyie wanawake wa kwenye ndoa uwa mnawaroga wame zenu? Iweje mtu niliyekuwa nampagawisha the other day leo aseme sitaki kukuona tena kisa tu mkewe kajua? Na huyu mkewe nimfanyeje aache kunifuata fuata. Maana amekuwa ananipa vitisho kila kukicha mpaka nahofia uhai wangu. Mumewe mwenyewe kesha niacha na yeye bado analeta mikwara wakati nikimwangalia hata ngumi moja namuua.
Thanks a million niliwamiss sana........Du! kamanda ulipotea kweli, good to see you around!!..Welkam baki!
Mhh asante nilikuwa ninacomittment nyingi sana na nilishakuwa addicted na JF nikaamua nijipige BAN kidogo lakini it seems i cant stay away from JF; Afrodenzi and all the good people at JF
Mhh it feels good to be home.....
I really Miss u Guys
Mhh asante sana you make feel special..., lakini ukweli ni kwamba hapa ni home away from home..., watu wazuri kama nyie mnanionyesha maybe i was crazy to be away from JF even for a short time,i ingawa tulikuwa hatucommunicate you were still in my heart..., asanteni sana and thanks again....
Karibu ......
Pole sana na karibu tena
We miss you big time..