Natamani Kujifunza programming, naomba msaada

Natamani Kujifunza programming, naomba msaada

Haha! hii thread naona imefika mbali, mi nlibishana na deejay nikagive-up mapema sana baada ya kuona hatutafika popote...
Sasa wengine wamekuja na mapya humu mara stopwatch computer.. hahaha!! quite interesting

deejaywillzz still #winning ,a true modern day one man army. ub16 naye alienda amerudi tena lakini I think there's only going to be one winner here,since mr dj is just parking the bus and playing counter attack.

Tumeshamsahau jamaa aliyeuliza swali but I guess ameshapata jibu wamebaki wakubwa wanalumbana(sijui ni kulumbana au kurumbana, kiswahili nacho saa nyingine hata hakielewek).
 
Last edited by a moderator:
Wadau mm ni mdau wa I.T, nahitaji kujiajiri kwa kianzio 20mil.niko arusha, ninacho omba kwenu ni ushauri, nina wazo la kwenda kutafuta maisha dsm au nibaki arusha, ila cjajua ni wapi naweza kutoka kimaisha.na kama ni dsm cjajua nuka settle mtaa gan, pia kama kuna wazo lingine naombeni wadau.
Anzisha thread mpya. kuvamia hii iliyopo hakutakusaidia!
 
Haha! hii thread naona imefika mbali, mi nlibishana na deejay nikagive-up mapema sana baada ya kuona hatutafika popote...
Sasa wengine wamekuja na mapya humu mara stopwatch computer.. hahaha!! quite interesting

Whats even funnier kuna WannaBes humu ambao honestly wanajua tu kua kuna kitu kinaitwa programming ila ni wabishi, tufanye hackathon moja basi tufanye projects za maana sio kupigizana kelele zisizo na msingi hadi tunaanza kudanganyana sasa...

Hahaha katika point ulizoongea kwenye thread hii nakuunga mkono 100% wala sitabisha chochote
 
Course Objectives

This is a fast-paced introductory course to the C++ programming language. It is intended for those with little programming background, though prior programming experience will make it easier, and those with previous experience will still learn C++-specific constructs and concepts.
By the end of this course, you should be able to:


  • Understand and use the basic programming constructs of C/C++
  • Manipulate various C/C++ datatypes, such as arrays, strings, and pointers
  • Isolate and fix common errors in C++ programs
  • Use memory appropriately, including proper allocation/deallocation procedures
  • Apply object-oriented approaches to software problems in C++
  • Write small-scale C++ programs using the above skill

Nitoe tongo tongo, bado niko darasa la kwanza hapa sijaelewa Mwalimu
 
Mwambie aanze na Python...

Naona anaulizia lile swali mashuhuri la Lugha nyepesi ya kuanzia kupiga code. Sema tatizo hapa hata kiswahili cha kuombea msaada kinampiga chenga sasa mascript ya code yatapanda kweli ?

Hebu njoo na maelezo yaliyoshiba kidogo tujue pa kuanzia kukusaidia.
 
Fish in the net …
Hahaha:laugh: I had my rage face on when I wrote that comment

at first I was like

841e0.gif

and then I was caught...some comments here are just toxic
 
Ivi mkuu assume you were a lecture on a certain famous University where Algorithm is tought before Programming Language n one of your Masters student post question like this --> https://www.jamiiforums.com/tech-ga...kuhusu-floating-top-menu-using-css-xhtml.html

how would you going to feel ?

I would feel very proud of my student, Sababu ana uwezo wa kutafuta another opinon. MFICHA UCHI HAZAI

Ndio maana software development huwa inafanywa kama team work, sio kama haiwezekani mtu mmoja ku develop software. And for the record did ur famous university teach you that CSS/XHTML are programming languages??

SO I WILL STILL BE PROUD OF MY STUDENT, GOOD TEAM WORK
 
No! They are not

Exactly what I thought...soo many battles are going on here I saw some stopwatches being thrown, some fancy University names and courses its really hard to keep track whats going on.

My advice kwa mtoa maada before you start coding in any programming language inabidi ufikirie kama programmer kuna njia nyingi za kujifunza mimi nilianza na kujifunza algorithms kwa kuandika pseudocodes na kuchora flowcharts.

Pseudocode-kwa lugha rahisi haya ni maelezo ya hatua program yako inazopitia ili kutimiza kazi yake.

Mfano wa Pseudocode kujumlisha namba 2

1.START
2.Enter Number 1
3.Enter Number 2
4.Add the numbers together
5.Display Sum
6.END

Flowchart-kwa lugha rahisi hii ni picha ya hatua zitakazofuatwa na programu yako kutimiza kazi yake.

Mfano wa Flowchart Kujumlisha namba 2

flowchart_to_add_two_numbers.jpg

Unaweza kufanya majaribio na kutafua mifano mbali mbali kama kujumlisha odd numbers, even numbers less than 20 etc.

Ukiweza kupata hizo basic concepts ndio unaweza kuanza kutumia programming languages kama Python,C++ etc

Angalizo inahitaji uvumilivu kwa kuanza kujifunza utatengeneza vitu vidogo sana usitake kuimbilia kutengeneza mambo makubwa, ukiwa na fundamental concepts kwa kweli the sky is the limit.

Mimi nilifuata njia hiyo na mpaka sasa kujifunza lugha mpya ya programming haijawahi kunitatiza maana zote zinafuata basic concepts nilizoeleza hapo juu kinachobadilika ni maandishi/maneno yanayotumika.
 
I would feel very proud of my student, Sababu ana uwezo wa kutafuta another opinon. MFICHA UCHI HAZAI

Ndio maana software development huwa inafanywa kama team work, sio kama haiwezekani mtu mmoja ku develop software. And for the record did ur famous university teach you that CSS/XHTML are programming languages??

SO I WILL STILL BE PROUD OF MY STUDENT, GOOD TEAM WORK

Very hypocrisy
for a serious professor s/he will going to profile a student as extremely unintelligent, stop bitching your self by going off topic, where i've sayed that CSS/xHTML are programming language....

Stop being inept on the whole thread as you eloquent your self.

Cannabis usipoteze muda wako kubishana na Programmer snipa. amebobea kwenye CSS language na XHTML language
 
Last edited by a moderator:
Now I'm going to sit back relax and watch how things unfold, this is pure entertainment for the geeks:ranger:
 
I am busy doing cool stuf, hacking with my android device. Thax 2 shell scripting, c and c++


I guess you were 5yrs "2012" as you've sayed earlier now you're 8 years n doing such shitty of redirecting Noob tools to Hallburton website..
 
I guess you were 5yrs "2012" as you've sayed earlier now you're 8 years n doing such shitty of redirecting Noob tools to Hallburton website..

I don't know what u're talking about
 
Back
Top Bottom