Natamani Kujifunza na Kuufahamu Uchawi

Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,060
Likes
17,544
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,060 17,544 280
Wapendwa Wapwa zangu,
Nimepitia historia nyingi za kikwetu (Afrika), zinaonekana kuwa Wazee wetu walikua na Kitu kinaitwa NGUVU UHAI ambayo iliwasaidia sana katika maisha yao ya kila siku kwa nia njema hasa kupigana na maadaui zao. Nilipokuwa mdogo nilisimuliwa sana habari za Ndugu Paulo, Osale Otango na wengineo wengi na nikabahatika kwenda kupaona mahali ambapo Osale Otango alikua akijificha. Nimesoma vitabu vya Fasihi za Kiswahili na zile za Kigeni, nyingi ya hizo zinazungumzia na kutaja nguvu uhai hii. Leo hii naamini hii kitu haipo kabisa na kama ipo basi haitumiwi kwa manufaa waliyoyatumia watangulizi wetu.

Ombi langu; naombeni msaada ni wapi naweza kwenda kujifunza taaluma hii ili nipambane na udhalimi uliokithiri kwenye jamii yetu? Iila kama itawezekana nataka iwe modernized sitaki hii ambayo naskia kuna kuuwana, no. Mfano, mwana siasa anaoongopa jukwaani basi kwa kutumia hii njia anajikuta tu anakuwa bubu kwa muda, kama kuna mtu anaibia Taifa au wanachi basi tunamfuatilia na hatimae anajikuta tu amerudisha hizo fedha na mali......Nisaidieni jamani kwa nia njema kabisa
 
Malyenge

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Messages
5,979
Likes
2,289
Points
280
Age
49
Malyenge

Malyenge

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2012
5,979 2,289 280

Mkuu kwanza I salute you!!!!
Ukitaka kujifunza uchawi kwanza ni lazima ujitolee haswa...Nasema hivyo kwa maana....Kwamba imani yako uliyonayo katika dini ni lazima uitoe kabisa......Pili unapojifunza uchawi ni lazima ufute imani potofu......Mfano watu wanaamini mtu anaweza kupaa kwa ungo kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine....Uzitoe kwanza hizo imani potofu ingawa ungo unatumika katika uchawi lakini si kama ambavyo imekuwa ukisimuliwa.
Tatu, elimu ya uchawi inapatikana baada ya kuwa umehudhuria madarasa kumi na saba (17) ambapo kila darasa linachukua miaka mitatu (3). Ukizidisha mara 17 unapata miaka 51.......(keep in mind ndo maana wachawi wote huwa wana umri wa uzee ni kwa sababu hii......). Then utafundishwa nyanja nyingi sana....Isipokuwa nikupe hint tu kwamba watu wanasema ili uwe mchawi imara ni lazima umtoe mwanao, mama yako ama baba yako......Hizi ni propaganda za kuupakazia uchawi tu. Hakuna kitu kama hicho na wala hakihusiani na elimu ya uchawi.
Malipo ya uchawi ni kutunza siri....Ukiwa msiri hata kwa mkeo (mumeo) uchawi utakukaa mpaka watakuita konkod....Sumu ya uchawi ni kuropoka na kutishia watu. Na mchawi aliyesomea huwa hana hasira ama kinyongo......Zingatia hilo.
Waalimu wa uchawi wako wengi isipokuwa ni wa umri mchanganyiko. Kuna wanaokufundisha kutengeneza radi (lazima awe mzee ama anayezidi miaka 45) na kuna wanaokufundisha kuiba katika mabenki (ni lazima awe ni kijana wa kiume akishirikiana na bibi kizee). Kumbuka uchawi wa kuiba benki unatakiwa kufanywa mchana na si usiku!!!!! Masharti yake ni kwamba unakwenda uchi kuanzia nyumbani kwako mpaka benki na njiani ama benki unatakiwa usigusane na mtu yeyeote yule. Kimsingi watu ndani ya benki hawakuoni ila wewe unawaona lakini sharti lake ni kugusana tu!
Wacha niachie na wengine wachangie.....
 
Area 254

Area 254

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Messages
324
Likes
4
Points
33
Area 254

Area 254

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2013
324 4 33
Mkuu kwanza I salute
you!!!!
Ukitaka kujifunza uchawi kwanza ni lazima ujitolee haswa...Nasema hivyo
kwa maana....Kwamba imani yako uliyonayo katika dini ni lazima uitoe
kabisa......Pili unapojifunza uchawi ni lazima ufute imani
potofu......Mfano watu wanaamini mtu anaweza kupaa kwa ungo kutoka
sehemu moja kwenda sehemu nyingine....Uzitoe kwanza hizo imani potofu
ingawa ungo unatumika katika uchawi lakini si kama ambavyo imekuwa
ukisimuliwa.
Tatu, elimu ya uchawi inapatikana baada ya kuwa umehudhuria madarasa
kumi na saba (17) ambapo kila darasa linachukua miaka mitatu (3).
Ukizidisha mara 17 unapata miaka 51.......(keep in mind ndo maana
wachawi wote huwa wana umri wa uzee ni kwa sababu hii......). Then
utafundishwa nyanja nyingi sana....Isipokuwa nikupe hint tu kwamba watu
wanasema ili uwe mchawi imara ni lazima umtoe mwanao, mama yako ama baba
yako......Hizi ni propaganda za kuupakazia uchawi tu. Hakuna kitu kama
hicho na wala hakihusiani na elimu ya uchawi.
Malipo ya uchawi ni kutunza siri....Ukiwa msiri hata kwa mkeo (mumeo)
uchawi utakukaa mpaka watakuita konkod....Sumu ya uchawi ni kuropoka na
kutishia watu. Na mchawi aliyesomea huwa hana hasira ama
kinyongo......Zingatia hilo.
Waalimu wa uchawi wako wengi isipokuwa ni wa umri mchanganyiko. Kuna
wanaokufundisha kutengeneza radi (lazima awe mzee ama anayezidi miaka
45) na kuna wanaokufundisha kuiba katika mabenki (ni lazima awe ni
kijana wa kiume akishirikiana na bibi kizee). Kumbuka uchawi wa kuiba
benki unatakiwa kufanywa mchana na si usiku!!!!! Masharti yake ni kwamba
unakwenda uchi kuanzia nyumbani kwako mpaka benki na njiani ama benki
unatakiwa usigusane na mtu yeyeote yule. Kimsingi watu ndani ya benki
hawakuoni ila wewe unawaona lakini sharti lake ni kugusana tu!
Wacha niachie na wengine wachangie.....
usije ukaishiwa nguvu zako,maana umeshatoa siri zenu.(JUST JOKING MKUU)
 
Malyenge

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Messages
5,979
Likes
2,289
Points
280
Age
49
Malyenge

Malyenge

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2012
5,979 2,289 280
usije ukaishiwa nguvu zako,maana umeshatoa siri zenu.(JUST JOKING MKUU)
Siri nilizozisema si zile .......Kutoa siri ni kama vile kusema uliingia buchani ukaiba mguu wa ng'ombe. Inatakiwa iwe siri yako!!!
 
pmwasyoke

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2010
Messages
3,725
Likes
394
Points
180
pmwasyoke

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined May 27, 2010
3,725 394 180
Mkuu kwanza I salute you!!!!
Ukitaka kujifunza uchawi kwanza ni lazima ujitolee haswa...Nasema hivyo kwa maana.....
Bila shaka wewe ni moja wa wachawi au mwanafunzi wa uchawi!
 
Malyenge

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Messages
5,979
Likes
2,289
Points
280
Age
49
Malyenge

Malyenge

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2012
5,979 2,289 280
Bila shaka wewe ni moja wa wachawi au mwanafunzi wa uchawi!
Uchawi ni elimu kama zilivyo elimu zingine tu. Kama unashangaa mchawi kusafiri kwa ungo kwa nini usishindwe kushangaa zaidi maandishi haya niyaandikayo kusafiri kupitia waya au hewa? Nani ni mchawi wa kumshangaa zaidi kati ya mtembelea ungo na msafirisha mawasiliano kwa njia ya waya ama hewa????? Think big or if you do not like think it critically!!!!
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
11,268
Likes
1,387
Points
280
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
11,268 1,387 280
Yesu akurehemu.
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
11,268
Likes
1,387
Points
280
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
11,268 1,387 280
Mkuu kwanza I salute you!!!!
Ukitaka kujifunza uchawi kwanza ni lazima ujitolee haswa...Nasema hivyo kwa maana....Kwamba imani yako uliyonayo katika dini ni lazima uitoe kabisa......Pili unapojifunza uchawi ni lazima ufute imani potofu......Mfano watu wanaamini mtu anaweza kupaa kwa ungo kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine....Uzitoe kwanza hizo imani potofu ingawa ungo unatumika katika uchawi lakini si kama ambavyo imekuwa ukisimuliwa.
Tatu, elimu ya uchawi inapatikana baada ya kuwa umehudhuria madarasa kumi na saba (17) ambapo kila darasa linachukua miaka mitatu (3). Ukizidisha mara 17 unapata miaka 51.......(keep in mind ndo maana wachawi wote huwa wana umri wa uzee ni kwa sababu hii......). Then utafundishwa nyanja nyingi sana....Isipokuwa nikupe hint tu kwamba watu wanasema ili uwe mchawi imara ni lazima umtoe mwanao, mama yako ama baba yako......Hizi ni propaganda za kuupakazia uchawi tu. Hakuna kitu kama hicho na wala hakihusiani na elimu ya uchawi.
Malipo ya uchawi ni kutunza siri....Ukiwa msiri hata kwa mkeo (mumeo) uchawi utakukaa mpaka watakuita konkod....Sumu ya uchawi ni kuropoka na kutishia watu. Na mchawi aliyesomea huwa hana hasira ama kinyongo......Zingatia hilo.
Waalimu wa uchawi wako wengi isipokuwa ni wa umri mchanganyiko. Kuna wanaokufundisha kutengeneza radi (lazima awe mzee ama anayezidi miaka 45) na kuna wanaokufundisha kuiba katika mabenki (ni lazima awe ni kijana wa kiume akishirikiana na bibi kizee). Kumbuka uchawi wa kuiba benki unatakiwa kufanywa mchana na si usiku!!!!! Masharti yake ni kwamba unakwenda uchi kuanzia nyumbani kwako mpaka benki na njiani ama benki unatakiwa usigusane na mtu yeyeote yule. Kimsingi watu ndani ya benki hawakuoni ila wewe unawaona lakini sharti lake ni kugusana tu!
Wacha niachie na wengine wachangie.....
Hakuna uchawi wala uganga utakaoinuka katika Israel. (Hesabu 23:23)
 
Fabian the Jr

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
747
Likes
649
Points
180
Fabian the Jr

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2012
747 649 180
Uchawi ni elimu kama zilivyo elimu zingine tu. Kama unashangaa mchawi kusafiri kwa ungo kwa nini usishindwe kushangaa zaidi maandishi haya niyaandikayo kusafiri kupitia waya au hewa? Nani ni mchawi wa kumshangaa zaidi kati ya mtembelea ungo na msafirisha mawasiliano kwa njia ya waya ama hewa????? Think big or if you do not like think it critically!!!!
u are a great thinker!
 
VUVUZELA

VUVUZELA

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2010
Messages
3,105
Likes
25
Points
135
VUVUZELA

VUVUZELA

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2010
3,105 25 135
Kamwone mbunge wa Korogwe vijijini yule dr Maji Marefu aah sorry ni Profesa
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,060
Likes
17,544
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,060 17,544 280
Naona watu hawajanielewa, sijifunzi uchawi ili niwe mchawi bali niweze kutumia kwa matumizi tajwa hapo juu na sio suala la shetani hapa maana naona nshaanza kukemewa.....try to understand Mpwa kabla ya kunichonganisha na Muumba wangu
 
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,415
Likes
264
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,415 264 0
Na Mungu wetu mwenye rehema na upendo usiokuwa na marefu, kina wala mapana, akusamehe kwa maana hujui ulisemalo
Hahahahaa, Hata mchawi ni mtu wa mungu, huenda Watumishi wa Mungu hawapendi mtu ajue uchawi asije kuwa na uwezo wa kutumia nguvu za universe na kuweza kufanya mambo makubwa. Ni sawa na mkoloni hakupenda mwafrika aelimika kwa kuogopa kuwa atajitambua na kuweza kufanya mambo makubwa pengine kumzidi yeye!
 
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
7,415
Likes
264
Points
0
CYBERTEQ

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
7,415 264 0
Mkuu kwanza I salute you!!!!
Ukitaka kujifunza uchawi kwanza ni lazima ujitolee haswa...Nasema hivyo kwa maana....Kwamba imani yako uliyonayo katika dini ni lazima uitoe kabisa......Pili unapojifunza uchawi ni lazima ufute imani potofu......Mfano watu wanaamini mtu anaweza kupaa kwa ungo kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine....Uzitoe kwanza hizo imani potofu ingawa ungo unatumika katika uchawi lakini si kama ambavyo imekuwa ukisimuliwa.
Tatu, elimu ya uchawi inapatikana baada ya kuwa umehudhuria madarasa kumi na saba (17) ambapo kila darasa linachukua miaka mitatu (3). Ukizidisha mara 17 unapata miaka 51.......(keep in mind ndo maana wachawi wote huwa wana umri wa uzee ni kwa sababu hii......). Then utafundishwa nyanja nyingi sana....Isipokuwa nikupe hint tu kwamba watu wanasema ili uwe mchawi imara ni lazima umtoe mwanao, mama yako ama baba yako......Hizi ni propaganda za kuupakazia uchawi tu. Hakuna kitu kama hicho na wala hakihusiani na elimu ya uchawi.
Malipo ya uchawi ni kutunza siri....Ukiwa msiri hata kwa mkeo (mumeo) uchawi utakukaa mpaka watakuita konkod....Sumu ya uchawi ni kuropoka na kutishia watu. Na mchawi aliyesomea huwa hana hasira ama kinyongo......Zingatia hilo.
Waalimu wa uchawi wako wengi isipokuwa ni wa umri mchanganyiko. Kuna wanaokufundisha kutengeneza radi (lazima awe mzee ama anayezidi miaka 45) na kuna wanaokufundisha kuiba katika mabenki (ni lazima awe ni kijana wa kiume akishirikiana na bibi kizee). Kumbuka uchawi wa kuiba benki unatakiwa kufanywa mchana na si usiku!!!!! Masharti yake ni kwamba unakwenda uchi kuanzia nyumbani kwako mpaka benki na njiani ama benki unatakiwa usigusane na mtu yeyeote yule. Kimsingi watu ndani ya benki hawakuoni ila wewe unawaona lakini sharti lake ni kugusana tu!
Wacha niachie na wengine wachangie.....
Mkuu Malyenge, nashukuru sana kwa kutoa mwanga japo haujampa ushauri ndugu Elli kulingana na hoja au shida yake ya kujifunza uchawi. Maelezo yako ni mazzuri, japo kuna mambo kadhaa siafikiani nawe. Suala la dini sidhani kama linaingiliana na uchawi, uchawi si dini, uchawi ni taaluma tu kama uhunzi au udaktari...hivyo basi hauingiliani na dini ya mtu, wapo wachawi wakristo na wanahudhuria vizuri makanisani, wapo wachawi waislam na wanakwenda kwenye ibada kila mara na wanaendelea na taaluma zao za uchawi kwa muda wao. Suala la umri pia si kweli mkuu kwa sababu kuna wachawi watoto wadogo wa shule ya msingi wenye uwezo mkubwa katika taaluma hiyo, si kweli kabisa kuwa wachawi wote wana umri wa uzee, kuna wachawi vijana wengi, na hata watoto. Kama unamfahamu mwalimu mzuri wa dawa ya invisibility naomba unifahamishe kwa PM mkuu, kuna mmoja niliwahi kuelekezwa kule Rwanda lakini kwa bahati mbaya nilipoteza mawasiliano ya mtu anayemjua wakati wa vita ya wenyewe kwa wenyewe!

Pamoja Mkuu.

NB: Ieleweke wazi kuwa UCHAWI ni taaluma kama taaluma zingine. Ni kweli kuwa kuna wachawi watenda maovu, lakini ni kweli pia kuwa asilimia tisini ya wachawi ni watu wema wasiotumia taaluma zao vibaya. Kama ilivyo udaktari, kuna madaktari wengi wauwaji, kuna maaskari wengi majambazi na kuna mapadri wengi wazinzi, lakini matendo ya wachache hayaqualify kuhalalisha uharamu wa taaluma.
 
Forum statistics

Threads 1,273,088
Members 490,268
Posts 30,470,878