Natamani kuiona Tanzania yenye wizara 6, inawezekana?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Natamani kuiona Tanzani yenye wanasiasa wachache kkwenye mfumo wa serikali lakini ikijitosheleza kwa wataalamu.Wizara 6 ni hizi Mambo ya Ndani, Mambo ya Nje, Fedha na Uchumi, Ardhi na Kilimo, Nishati na Ujenzi, Elimu na Teknolojia.Kisha Tamisemi na Utumishi ziwe chini ya Waziri Mkuu hapo tutapata tija na kubana matumizi pia.Mdau nini maoni yako!
 
Back
Top Bottom