X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,810
- Thread starter
- #61
Mlivo wangapi, wewe vipi, mbona unaanza kuchanganyikiwa.The fact that unamwandikia marehemu insha ndeeefu na kutembea mikoani kumshambulia maiti mnaonesha jinsi mlivo WEAK, COWARDS & SPINELESS. alipokuwa hai mlikuwa wapi? lol
Haya basi kama unataka nimsifu Nyerere wako, basi nitamsifu. Mchonga alikuwa Kiongozi na tena Mtawala wa Watanzania.
Na tukamwita aambiliki, na ndio Sifa yake, Katika hili Nyerere alikuwa Kiongozi hasiye ambilika.