Natamani kuifunga jela mifupa yake

Hadi mtu unafikia unataja mifupa ya mtu aliyelala!!

Oooh!! Mwenyezi Mungu, wewe ndiye uliyetuumba. Sasa nakuomba unipe subira. Nifanye nipate ujasiri wa kutabasamu tu na kunyamazia matusi ya X-Paster, nipe ujasiri huo sasa.
Hivi unaelewa maana ya matusi, au nawe unakurupuka tu.
 
Hivi wewe unaongea lugha gani. Twambie shule uliyosoma wakati wa mkoloni na hukulipia? Watu walikuwa wanakimbizwa kama vimburu kulipa kodi ya kichwa itakuwa karo za shule? Wacha majungu kijana!
Watu walikuwa wanakimbizwa kweli kwa ajili ya kulipa kodi ya kichwa, na wapo ambao walikuwa wanakimbiza watoto zao wasiende shule. Na si kwa sababu shule zilikuwa za kuwalipia.
 
Ama kweli Mujahidina wameazimia kummaliza Baba wa Taifa hadi kaburini! Tatizo lako huna upeo wala weledi wa kufanya upembuzi yakinifu wa mazuri na mabaya ya Nyerere. Kazi hiyo waachie waliosomea Political Science, siyo kutuletea insha zako uchwara za level ya Form 2 kwa vile tu unajua utapata audience. Hizo Bible quotes zako hazi-impress wala kubabaisha mtu, na isitoshe hazifichi ukweli kuwa motivation pekee iliyokufanya uandike huu utumbo ni udini. Wewe kazania hiyo misahafu na mizizi yako bro! Haya madudu mengine yana wenyewe.
Kaka shukrani sana kwa kunipa cheo kikubwa kama icho, MUJAHIDINA.

Kuondoka kwa mtu duniani hakumfanyi watu wasimkumbuke...! Ila huwa binafsi na haswa Watamzania na dunia nzima haina pengo kumkosa Nyerere bali inapumua kwamba mwiba mguuni umeondoka...! Unaonaje?

Ni kweli sina upeo wala upembuzi yakinifu na hata huo weledi unao sema yawezekana sina... Hiyo level ya Form mbili ndio level gani kaka, maana mimi elimu yangu mimi ni madrasa tu, sasa ukinipeleka uko kwenye ma-level 2, unaniwacha mbali sana mkuu.

Aaah! Hizo quote za bible nimeazima tu kaka, aliyenipa labda nimuulize tena zina maana gani, kuhusu udini sina uhakika sana, inawezekana kwa asilimia zote kuwa haupo sahihi, ila kuhusu misahafu ni kweli naahidi kuwa nitakazania sana sana.

Kuhusu hayo madudu, hapo kidogo naomba msaada, ndio una maanisha nini mkuu.... Wenyewe ndio kina nani?

Nimefurahi sana kwa kile cheo cha Mujahidina.

senki yuu.
 
Sawa bro. Kwa mtaji huu, we endelea kusoma misahafu yako na kuchimba mizizi on the side. Haya mengine waachie Wasomi kama kina Shivji et al. Inaitwa division of labor, bro.
 
Watu walikuwa wanakimbizwa kweli kwa ajili ya kulipa kodi ya kichwa, na wapo ambao walikuwa wanakimbiza watoto zao wasiende shule. Na si kwa sababu shule zilikuwa za kuwalipia.

Another galasha try again!
 
Sawa bro. Kwa mtaji huu, we endelea kusoma misahafu yako na kuchimba mizizi on the side. Haya mengine waachie Wasomi kama kina Shivji et al. Inaitwa division of labor, bro.
Mkuu nitajitahidi sana kufuata ushauri wako kaka wa division of labor...! Maana mimi elimu yangu ni kutoka shule za kata tu, tena darasa la pili na nusu.

Hila hii ya kuchimba mizizi, ndio sifahamu... ndio kitu gani kaka.
 
Bro, naona Muanzishaji Maada mwenyewe umetoka nje kabisa ya maada yako hadi kukufanya usahau lengo la wewe kuanzisha maada hii.

Nisikupoteze sana muda bro, ila si vibaya kukufahamisha kuna Mwarabu Mikocheni anatafuta Mkata Michongoma mwenye "ilim" ya msahafu kama yako. Mshahara majadiliano. Haya endelea kuburudisha watu na utumbo wako bro.
 
Nadiriki kusema huyu bwana anamapungufu ktk uelewa wake au ana chuki binafsi na mzee nyerere, nasema haya kwa msingi kwamba, kama anakumbuka vizuri political form ambayo Tanganyika ili opt ilikuwa ni socialism na baadae ikahamia kwa Cummunalism ambayo iliasisiwa na China, kwa kupitia mifumo hii miwili Tanganyika ilisonga mbele, lakini ikumbukwe socialism ili kuwa ni compitator wa Capitalism iliyokuwa inatumika Magharibi, so wamagharibi walihakikisha kwa juhudi zote wanaziondoa ktk ramani ya siasa nchi zote zilizo opt socialism, Hayakuwa malengo ya nyerere kufail ktk strategies zake bt ni mfumo uliomsukuma, ikumbukwe zile 5 years development plans, walizokuwa nazo Warusi na hata Wachina, Nyerere nae alizichukua, challenge zilizoikabili Tanganyika ya kipindi kile zilikuwa nyingi na hii nikutokana na idadi ndogo sana ya wasomi.
Tujiulize leo 40years baada ya uhuru tuna asilimia 10 ya watanzania wenye degree ya kwanza? Je kama leo hatuna wakati ule ilikuwa ngapi? nini msingi wa UPE? Nini msingi wa Elimu ya Bure! tukipata majibu hatutamlaumu mwalim kamwe.
 
Kama yule charlatan 'minister\ Luis Farakhan anavopenda kusema ile mistari yake:

'..you are weak, coward and spineless'

Hawa ndio watu wanaomuandama maiti..they are spineless and cowards kwamba pamoja na kuwa Nyerere aliondoka madarakani na kuishi nje ya safu za uongozi kwa zaidi ya miaka 10 kabla ya umauti, hawa jamaa al Qaeda walikuwa bado wameficha mikia yao katikati ya miguu yao..lol..sasa eti ameshafariki eti ndo wanaibuka na insha ndefu kama hizi.. baada ya kuona kwamba ameshakufa! kwi kwi kwi..
 
Daah! Hapo utakuwa unampigia mbuzi gitaa bro. Intellectual level ya Muanzisha Maada haijafikia upeo huo. Yeye anatumia zaidi trivial, obscure anecdotal stuff za enzi zile mfano fukuza fukuza za Operesheni Nguvu Kazi mitaani na foleni za sukari na unga Ugawaji, kama sababu tosha za kumlinganisha Nyerere na "Shaytan". Hivyo kwake ni vigezo "halal" na tosha kabisa.
 
Bro, naona Muanzishaji Maada mwenyewe umetoka nje kabisa ya maada yako hadi kukufanya usahau lengo la wewe kuanzisha maada hii.

Nisikupoteze sana muda bro, ila si vibaya kukufahamisha kuna Mwarabu Mikocheni anatafuta Mkata Michongoma mwenye "ilim" ya msahafu kama yako. Mshahara majadiliano. Haya endelea kuburudisha watu na utumbo wako bro.
Ni wewe unaye jitahidi kutoka nje ya mada kwa kushindwa kumtete baba yako wa taifa na hizo ilim zako...! Oooh misahafu, mara mizizi mara mkata michongoma, ooh mwarabu anatafuta mkata michongoma, sasa sijui kazi imekushinda ya kukata michongoma unatafuta msaidizi?

Pole sana.
 
Kama yule charlatan 'minister\ Luis Farakhan anavopenda kusema ile mistari yake:

'..you are weak, coward and spineless'

Hawa ndio watu wanaomuandama maiti..they are spineless and cowards kwamba pamoja na kuwa Nyerere aliondoka madarakani na kuishi nje ya safu za uongozi kwa zaidi ya miaka 10 kabla ya umauti, hawa jamaa al Qaeda walikuwa bado wameficha mikia yao katikati ya miguu yao..lol..sasa eti ameshafariki eti ndo wanaibuka na insha ndefu kama hizi.. baada ya kuona kwamba ameshakufa! kwi kwi kwi..

Kama Nyerere alikosea, na tukasema kuwa amekosea inawauma nini?

Makosa ya mtu ni makosa hata kama mwenyewe kafa.

Na huu ndio wakati mwafaka kabisa wa kujiuliza kwa nini alikuwepo, na hata sijui dunia yetu ilipata faida gani kuwa na mtu kama yeye.

Tanzania na dunia nzima haina pengo kumkosa Nyerere bali inapumua kwamba mwiba umetutoka mguuni.
 
Mimi kinaniuma nini umeambiwa kuna kitu kinaniuma? we taahira nini?
 
Nadiriki kusema huyu bwana anamapungufu ktk uelewa wake au ana chuki binafsi na mzee nyerere, nasema haya kwa msingi kwamba, kama anakumbuka vizuri political form ambayo Tanganyika ili opt ilikuwa ni socialism na baadae ikahamia kwa Cummunalism ambayo iliasisiwa na China, kwa kupitia mifumo hii miwili Tanganyika ilisonga mbele, lakini ikumbukwe socialism ili kuwa ni compitator wa Capitalism iliyokuwa inatumika Magharibi, so wamagharibi walihakikisha kwa juhudi zote wanaziondoa ktk ramani ya siasa nchi zote zilizo opt socialism, Hayakuwa malengo ya nyerere kufail ktk strategies zake bt ni mfumo uliomsukuma, ikumbukwe zile 5 years development plans, walizokuwa nazo Warusi na hata Wachina, Nyerere nae alizichukua, challenge zilizoikabili Tanganyika ya kipindi kile zilikuwa nyingi na hii nikutokana na idadi ndogo sana ya wasomi.
Tujiulize leo 40years baada ya uhuru tuna asilimia 10 ya watanzania wenye degree ya kwanza? Je kama leo hatuna wakati ule ilikuwa ngapi? nini msingi wa UPE? Nini msingi wa Elimu ya Bure! tukipata majibu hatutamlaumu mwalim kamwe.

Elimu ya UPE iliuwa misingi ya elimu Tanzania. Wewe umeona wapi mtu anamaliza elimu std 7 akawe mwalimu... wa wapi wewe.

Nyerere aliwanyima Watanzania haki ya kuyatoa mawazo yao. Enzi za Nyerere hakuna mtu ambaye aliweza kusema au kukosoa serikali, na waliojaribu walikiona cha moto.

Hivi wale wote leo wenye kuweza kupanua vinywa vyao na kuwasema viongozi wa serikali na chama tawala, enzi ya Mchonga wangethubutu?
 
The fact that unamwandikia marehemu insha ndeeefu na kutembea mikoani kumshambulia maiti mnaonesha jinsi mlivo WEAK, COWARDS & SPINELESS. alipokuwa hai mlikuwa wapi? lol
 
Kwani uoni jinsi unavyo foka? Inawezekana kweli uyasemayo.
The only platform ya kumshambulia JK wa ukweli ni baada ya kifo chake maana mnajua angekuwa hai angewashinda kwa hoja kwa urahisi tuuu, maana he was more intelligent than y'all brainwashed fanatics combined.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom