Natamani kufa

Status
Not open for further replies.
dada inatosha naomba mabishano yaishe au niwaombe mods waifunge hii thread na kwa post hii unastahili ban on the spot lakini sipendi ikutokee hivyo na sina upande kwenye malumbano yenu.

Wewe nae unahangaika na watoto wa kike.
 
dada inatosha naomba mabishano yaishe au niwaombe mods waifunge hii thread na kwa post hii unastahili ban on the spot lakini sipendi ikutokee hivyo na sina upande kwenye malumbano yenu.
Matola naomba uende siasan huku paachee tunapoteza mawazoo
 
Last edited by a moderator:

Kama unamjua live si umuibukie mkakisanue kuliko kunukishana jasho humu???!!![/QUOTE]
kaka angu ndo maana mi sitakagi marafiki wa kike ni wanafki sana kitu kidogo hawashindwi kukuangamiza,my boy my friend thats all,mpenzi wangu ndo rafiki angu the rest nooooooooo,plus my family baasiiii
 
za jioni? pole na huu mtanange!

Shogaa mtanange wa jana umechoma watuuuu wanakujaa na waooo sasaaa hahaa ww utakua upande upi wa msibaaa?kuna mtu hapa anataka kufaa katutaarifuu kabisaaa
 
mmmmh! Mbona napata wivu? Hvi ni dadii kweli huyo jamaa?

Hahahaaaa we nae... wivu utamwoneaje Shemeji yako... Dadiiiiii Excel dont leave me here... l am so lonly without dadiiiii...
 
Last edited by a moderator:
Jamani mtanange ndo umeisha loh picha hatujaona wala namba msirudie tena
 
Kama unamjua live si umuibukie mkakisanue kuliko kunukishana jasho humu???!!!
kaka angu ndo maana mi sitakagi marafiki wa kike ni wanafki sana kitu kidogo hawashindwi kukuangamiza,my boy my friend thats all,mpenzi wangu ndo rafiki angu the rest nooooooooo,plus my family baasiiii[/QUOTE]

Anamjuaa wapii huyu kidampa kama vidampa wengine malaya kama malaya wenginee anaujua ushuzi wake anaouachiaa atupishee hapa hana lolotee umaskini wa mabwana unamsubuaaa hamjui evelyn wala nini anatafuta bwana humuu huyu hujamjua tu
 
Nakushauri, badili thread uulize kuwa ni njia gani faster ya kumkaribisha yule malaika wa mauti? Weye wa ajabu hivi? Unatuuliza kuwa tukuchagulie yule umpendaye, kwani tutafaidi nini kwako? Ati waume za watu wanakupapatikia, pole zako kwa kujisifu vya watu.
Kuna siku, nawe vyako vitaliwa tuone utasemaje.
 
Shogaa mtanange wa jana umechoma watuuuu wanakujaa na waooo sasaaa hahaa ww utakua upande upi wa msibaaa?kuna mtu hapa anataka kufaa katutaarifuu kabisaaa

afu hasira kali mweeee!!!!!!!!! navyoona msiba utakuwa dar mbagala rangi tatu kama uko nje ya dar anza safari au muulize watasafirisha?
 
afu hasira kali mweeee!!!!!!!!! navyoona msiba utakuwa dar mbagala rangi tatu kama uko nje ya dar anza safari au muulize watasafirisha?

Walaa usikondee akishafwarikiiii we pm tu fast jet fastaaa nipo dar kumbe omukagame anaishi mbagala aisee kanicheleweshaaaaaa mieeee
 
Last edited by a moderator:

mimi kesho sina kazi na natamani kuzunguka ,bagala sikujui nitapata mayai ya kienyeji uko????naomba unipeleke kwa kina evelyn kwan yeye mwenyewe anajua nampenda,nilipanga kumfata mwanza kumbe yupo hapo mbagala kwsho twende,au why usiweke namba kama picha uweki honey??maana si busara kumfata mtu bila taarifa au nakosea?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…