Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
kama ni kweli basi you give me reasons to give you that thing you said you want!
Ananipa hasira huyu evelyn ni anatongoza my boyfrnd kakataliwa ananfata fata y ?
Ananipa hasira huyu evelyn ni anatongoza my boyfrnd kakataliwa ananfata fata y ?
Unahitaji kupumzika kwanza dada ndo uje humu la sivyo hutapata ushauri mzuri kwa huu mwendo..
Ha ha ha ha goodbye nisije kukosa raha za jf bure make bado sijafungua new idHahhhahhhahahhhahhhahhha uwiiiiiiiiiii boyfriend yupii wa Insta au watsapp or viber??au Facebook
jiandae kuingiliwa kinyumeWakubwa heshima kwenu!
Kama mnakumbuka nilikuja hapa kuomba ushauri kuhusu kuolewa na mpenzi wangu ambaye ni muslim na mie ni mkristo!
Nimefikiria sana nimeona ni bora niachane nae sababu baba yangu amesema kama nikiikana imani yake nitakuwa nimemkana na yeye tatizo ni kwamba huyu mkaka jamani nampenda sana sana nafikiria nitaolewa na nani sababu kuna wanaume kama 10 wananitaka lakini wenye uwezo wa kifedha wote ni waume za watu,vijana wanaontaka unakuta wengine wanachuo n.k ntaishije bilaa mpenzi?nitadate na waume za watu?nitaipata wapi furaha nliyokuwa naipata?siwezi kudate na mtu mwenye maisha ya chini ni kosa kabisa kwa wazazi wangu wanataka mtu msomi tena mtu maarufu!!nafikiria hata kufa niachane na haya maisha
Ushauri tafadhali
Mara hii umekuwa na boyfrend yupi sasa accountancy au huyu wa leo mchana tajiri ulio tafuta nae?
ha ha ha ha aseeee I ll be burned soon
jioni njema ukifa rest in peace
hebu muanike hapa huyo sweetboy nimuone ili nimtongoze kiukweli
Ha ha ha ha goodbye nisije kukosa raha za jf bure make bado sijafungua new id
Basi kama wataka tuyaanze ya kwa block funga mudomo yako akay!other wise nitakushangaza soon!
Wakubwa heshima kwenu!
Kama mnakumbuka nilikuja hapa kuomba ushauri kuhusu kuolewa na mpenzi wangu ambaye ni muslim na mie ni mkristo!
Nimefikiria sana nimeona ni bora niachane nae sababu baba yangu amesema kama nikiikana imani yake nitakuwa nimemkana na yeye tatizo ni kwamba huyu mkaka jamani nampenda sana sana nafikiria nitaolewa na nani sababu kuna wanaume kama 10 wananitaka lakini wenye uwezo wa kifedha wote ni waume za watu,vijana wanaontaka unakuta wengine wanachuo n.k ntaishije bilaa mpenzi?nitadate na waume za watu?nitaipata wapi furaha nliyokuwa naipata?siwezi kudate na mtu mwenye maisha ya chini ni kosa kabisa kwa wazazi wangu wanataka mtu msomi tena mtu maarufu!!nafikiria hata kufa niachane na haya maisha
Ushauri tafadhali
Mchana umekuja kumsifia mmeo jioni umerudi hujaolewa
una matatizo gani mwanamke???
I hope hauwasingizii wazazi!
Kwa vile umekuja kuomba ushauri hapa kutimiza tamaa yako ya kifo nakushauri fanya hivi; chukua mpira wa maji, uwe mpana kiasi pia uwe mrefu kiasi, nendda nyuma ya gari yako/au ya baba yako kauchomeke huo mpira, uhakikishe ume kaa vizuri, upandewa pili pitisha huo mpira kwenye dirisha juu ya kioo, ingia kwenye gari funga milango pandisha vioo, washa gari piga acelerator kidogo kwa sekundekadhaa, washa muziki weka taarabu kisha uanze kunywa juice ya bariiidi!