Pole sana. Mateso yakizidi ujue neema inakaribia, mshirikishe Mungu.Jamani mwenzenu tangu nimegraduate 2011, B.A Community Development, tena nina GPA nzuri tu, na ni mtu wa kujituma, lakini sijawahi pata ajira mahali popote, NGOs ni nyingi lakini sijawahi hata kuitwa kwa interview katika NGOs zote nilizoomba. Japo naendelea kupambana na maisha ktk nyanja za kilimo na ufugaji lakini duuuh nikiwaona wenzangu wapo makazini (tena wengine nilikua nikiwabeba kwenye group assignment) napata shida nafsini mwangu to the extent that natamani kuchana vyeti vyangu vyoote nikae kama vile sikuwahi kwenda shule kabiiisaaaa!
Kuna wakati nilitembea maofisini katika ofisi ambazo nafahamu fika wanafanya shughuli zinazohusiana na maendeleo ya jamii nikiomba kujitolea buuureeee kabisa, nauli yangu,unch yangu, wao wanipe kazi tu niwe nazifanya, tena nitazifanya kwa moyo, lakini sikupata hata pahala pamoja! nina mapenzi makubwa sana na profession yangu lakini sasa navunjika moyo, najiuliza nini kinasababisha nisikubaliwe hata pale ninapokua tayari kufanya kazi bure (Volunteering), nimefunga na kuomba kwa kila hali, sasa nimebaki kuhangaika na nafsi tu, nawaza kuchana vyeti vyangu vyote, na mabaki niyachome moto, iwe habari yangu ya shule imeishia hapo!
Lazima ukubali kukosolewa. Kawaida ukijikwaa na degree ya kwanza unabadili uelekeo kwa postgraduate diploma. Kuchana vyeti ni sawa na jamaa alijamba kwa hasira akajinyea. Fikiri ukivichana utakuwa unamkomoa nani?Lucky you!
Mume ninae, na mtoto mmoja ninae, labda niambie jingine! Ahsante kwa kuchangia la moyoni mwako!Siku ukipata kazi utakuja hapa usema hujabarikiwa kupata mume. As siku utakua ulishawaza kuwa ukipata elimu ya degree utafurahi. Binadamu hawezi kuridhika kamwe
Ahsante nitafanya hivyo soon!Tuma cv humu
omwashambwa@gmail.com
Pole sana tatizolako ni kama langu Nina mwaka Niko home kila ninapopeleka siitwii, najitahi najitahidi kufanya ibada ila bado rizk haijafunguka.Ahsante kwa kunitia moyo, amini amini nimewahi hadi kufunga siku 40, nimewashirikisha wachungaji na wanawake wenzangu mpaka nimechoka, yaani wadogo zangu wanaanza chuo 'til wanamaliza, wanapata kazi eti mimi nipo tu! Kuna wakati nalalamika mbele za Mungu namwambia mbona umenipa fumbo kubwa sana, najisikia vibaya sana!
Mdogoangu mpendwa, usijifananishe na mimi tena utajitia mkosi! Kaa kimya! Mwaka mmoja bado sana, endelea kumuomba Mungu, usianze kujifananisha na case ngumu kama yangu classmates wangu huwa wananishangaa sana wakioniona sina kazi hawaamini ati! Mpaka najikuta natengana nao coz najiona si wa class yao tena! Siwafurahii tena as classmates!Pole sana tatizolako ni kama langu Nina mwaka Niko home kila ninapopeleka siitwii, najitahi najitahidi kufanya ibada ila bado rizk haijafunguka.
Ukiona mtu hadi anachanganyikiwa hv ujue mambo hayaendi vile mtu anatarajia. Nalima mahindi tu, nahangaika na ufugaji wa kuku chotara lakini changamoto zimekua nyingi kiasi kwamba zinanivuruga kabisa! Kila nikijitahidi naona narudi nyuma tu! Sijui nimekaliwa na kitu gani!Unajishughilisha na kilimo kipi na unafuga nini? Dada sio razima uajiriwe hata hicho kilimo na ufugaji unawexa kukutoa kabisa, sema labda unalima.huku unamawazo makubwa sana labda ya kuwa by pass hao wadogo wako.
Unaweza fanikiwa kwenye kilimo unacho fanya au ufugaji only kuwa commited na confidence.
Don't do that.....viache tu, Usifanye hivyo.....Unaweza Siku kuhitajika sehemu,ukahitajika upeleke vyeti...alafu ikawa sio.You can count years my dear, wadogo zangu wanaanza vyuo wanamaliza, wanapata kazi mimi nipo nawaangalia tu! I really, feel bad to the extent I don't want to set my eyes on my certificates anymore! Over a long period now I am thirsty of tearing my certificates into smallest pieces and I must make sure they remain only ashes!