Natamani kila mtu aisome namba!

Natamani kila mtu aisome namba!

Sisi wakulima wa TOMATO tushaisoma namba kusawasawaaa,maana BAKHRESA ndo alikuwa mteja wetu mkuu,sijui kachukia nini,hanunui tena nyanya,tuna uza mpaka 500 kwa ndoo wakati mwaka jana niliuza ndoo hadi 35,000 nikanunua NOAH na subaru,sasa tunalisha ng'ombe nyanya
TUNZA SASA HIYO NOAH NA SUBARU YAKO.
 
Kuna mtu anaitaka sasa!
Ahaha basi taratibu usijali, umeshajifunza hapo siku nyingine ukipata pesa ya kununua gari utatazama kigezo cha Oil consumption kwanza! Tunasoma taratibu na kamluzi tunapiga!
 
Ahaha basi taratibu usijali, umeshajifunza hapo siku nyingine ukipata pesa ya kununua gari utatazama kigezo cha Oil consumption kwanza! Tunasoma taratibu na kamluzi tunapiga!
Sinilijua mwaka huu nitauza MANYANYA kwa wingiiii,nikajua mafuta hayatakuwa shida kwangu,KIMENISANUKIA nafugia kuku
 
Binafc no nimeshaisoma karanga chote cha kumchagua huyu baba kimeisha ,mambo yakiendelea hvhv mpk 2020 kumchagua lbd aniletee lumbesa la Pesa ndo walau nitamchagua diwan wao otherwise kura yangu binafc wataisikia kwenye bomba
 
Tuisome namba mara ngapi? Mm kitambo nimeanza kusoma namba tangu april mpaka sasa .
Kwa kweli najuta, pesa hakuna, ajira hakuna yaan shida tupu. Ww unafikiria leo. Wengine tushaanza kusoma kitambo na bado tunaisoma
 
Mk
Duhh,aisee akili nyingine zinahitaji shule sana,maana hata mtoto wa nursery hawezi kuandika namna hii.
Mtaisubiri sana Nchi hii,fanyeni kazi acheni Umama,maisha yapo kawaida,kama mvivu ndio imekula kwako,na kama mpiga dili ndio kabisaa tafuta nchi ya kwenda
Endeleeeni kujifariji
Mkulima naye ahame nchi!?
Mwanafunzi wa chuo!?
Mwalimu graduate!?
Businessmen!?
Akili ndani ya kiboksi hizo
 
Hivi mlivoambiwa mnapaswa kuishi kama shetani hamkutafakari anamaanisha nini?

process za kupeleka watu katika maisha ya kishetani si mchezo ati?

ni kazi ya uwakala wa shetani
 
Kwa kweli umenikumbusha kipindi cha kambi fulani ya magereza askari walifikia kuwa wanauza jezi za kazi na watu mtaani wanazivaa bila wassss dah
Umetisha!!
 
Pia msisahau mmepewa kazi ya kufyatua


fyatua tu

ukiamka fyatua

ukilala fyatua

fyatua tu

shule bureee....hospitali na nguo na chakula na malazi utajua mwenyewe
 
Natamani na haya Mzee John wa matamko aseme kodi ilipwe kwa..!!
  1. Wenye makalio makubwa
  2. Wenye vitambi
  3. Watu wenye miili mikubwa kama Le Mutuz
CCM mbele kwa mbeleeeeeeee...... fyoko fyoko.....mbele kwa mbeleeee......!!
 
Sinilijua mwaka huu nitauza MANYANYA kwa wingiiii,nikajua mafuta hayatakuwa shida kwangu,KIMENISANUKIA nafugia kuku
Hapana usifugie kuku, weka uwe unatoka nayo mara moja kwa wiki, ijumaa kama muumini wa ijumaa, ama jumamosi, ama jumapili, kwenda nayo kwenye nyumba za ibada tu, yale mafuta ya vibaba yatakuhusu lkn.
 
Back
Top Bottom