fuvu la paka
Senior Member
- Mar 29, 2015
- 133
- 76
Hebu tujaridili watanzania wenzangu na nn suluhisho lake?
Hapo akibaki msomeshaji namba pekee kwamba yeye ndo hasomi HATAKUWA SALAMA... maana kama hata walinzi wake wataisoma unategemea nini..???Habari wanajamvi!
Naam, Tunako elekea sasa kisiasa na kiuchumi ndiko hasa niliko kuwa naomba tufike! Ngoma kaipata kenge maji yote timbwitimbwili.Na bado.
Natamani kila mtu aisome namba.Walimu waisome namba, wauguzi waisome pia, wasanii waisome namba tena usiku na mchana, wale wanaojifanya kutaka kufanya usafi siku ya Ukuta waisome tena kwa herufi kubwa! Wakulima wazisome namba zoote ili wajue tulikuwa hatudanganyi kuwa kule ni walewale!!
Natamani aendelee hivihivi na asitokee mtu wa kumshauri.Natamani chama cha migomba waisome namba kwani wao walimpenda wenyewe bila shuruti. Napenda arudie tena kuwaudhi akina maalimu! Atuudhi wote! Natamani apige marfuku wanaume tusiongee mchana!! Aongee peke yake! Natamani kodi ipande mpaka peni tununue kwa shilingi Laki sita.
Natamani wanafunzi waisome namba mpaka wajute. Natamani wanawake waisome namba mpaka kujipaka mafuta iwe ni anasa!
Halafu uchaguzi ndio uje 2020.Tutakapo waambia chama kile ni walewale watatuelewa.Tutakapo waambia chama kile mkiwapa tena watatoa teuzi kwa ukanda watatuelewa. Tutakapo waambia wanavunja katiba watatuelewa.Tutakapo waambia kuwa wanavinyongo watatuelewa. Karibu 2020.
Mimi natamani atumbue wafanyakazi wote kabisa abaki peke yake ili roho yake ifurahiYaani tukose wote au tutumbuliwe wote?
Na bado! Natamani wakulima wote kabisa waisome namba! Wanaume kwa wanawake waisome namba, wanaomsifia na kumpaka mafuta kwa mgongo Wa chupa waisome namba, Ccm waisome namba na tarakimu zote! Ndio ikifika 2020 tukiwaambia jambo watatuelewa. Tuliwaambia huyu hajawahi hata kuwa mwenyekiti Wa tawi Nazi hii kubwa haiwezi mkatubishia.Sisi wakulima wa mbaaz tayar tumeisoma namba
Itakua ww umeolewa tuulize sisi wanaume tunaotafuta mtaani.Usione bwana ako anarudi na unga robo pengine huwa tunakopa msije kutusaliti.Duhh,aisee akili nyingine zinahitaji shule sana,maana hata mtoto wa nursery hawezi kuandika namna hii.
Mtaisubiri sana Nchi hii,fanyeni kazi acheni Umama,maisha yapo kawaida,kama mvivu ndio imekula kwako,na kama mpiga dili ndio kabisaa tafuta nchi ya kwenda
Endeleeeni kujifariji
Yaani natamani kila mtu aisome namba.Maisha yawe magumu kama ilivyo pata kutokea Mwaka 1983 hadi 1985! Viongizi Wa dini waisome namba mpaka wachanganyikiwe ndio wataacha unafiki.
Punguwani wengine bhana n chanzo cha nchi kuwa masikini.Haya tuambie nani kakwambia mfumo wa nchi umebadilika? Mambo ya kukaa kisikiliza watu wanapiga umbea na kutuletea humu ikome.Kuna watu naona mnaamua kujiondoa uelewa. Hivi swali, kipindi kile si mlikuwa mnalalamika mifumo mibovu ya nchi? Sasa inarekebishwa tena hamtaki. Mfano huo wa waalimu, nyie ndiyo mlikuwa wa kwanza kuilamu serikali kuwa hilipi malimbikizo kumbe kulikuwa na udanganyifu mkubwa wa wafanyakazi hewa, na sasa serikali inarekebisha tena hamtaki, je nyie chandomo mnatoka sayari gani?
Haikuhusu we unataka ile nini kama sio wese?Hivi unajua jinsi subaru inavo kule wese????
Namba isome wewe na familia yako, mpaka unyooke maaaaaabake!! 2025 ukifika na afya yako basi ubarikiwe, watu kama nyie lazima muisome namba barabaraaaaa!!Yaani natamani kila mtu aisome namba.Maisha yawe magumu kama ilivyo pata kutokea Mwaka 1983 hadi 1985! Viongizi Wa dini waisome namba mpaka wachanganyikiwe ndio wataacha unafiki.
Hiyo hatari mkuu.Mimi natamani atumbue wafanyakazi wote kabisa abaki peke yake ili roho yake ifurahi
Daaa kweli we maamumaaaaaaaaKuna watu naona mnaamua kujiondoa uelewa. Hivi swali, kipindi kile si mlikuwa mnalalamika mifumo mibovu ya nchi? Sasa inarekebishwa tena hamtaki. Mfano huo wa waalimu, nyie ndiyo mlikuwa wa kwanza kuilamu serikali kuwa hilipi malimbikizo kumbe kulikuwa na udanganyifu mkubwa wa wafanyakazi hewa, na sasa serikali inarekebisha tena hamtaki, je nyie chandomo mnatoka sayari gani?
NotedHabari wanajamvi!