Natamani kila mtu aisome namba!

Natamani kila mtu aisome namba!

Mkuu umeshabebeshwa mfyatuo...kwa maana umetii agizo la mkuu wako la kufyatua? right now ungepaswa kuwa unalea pregnancy dada...unafanya nini huku jf?
Wewe ndiyo wale mashetani mliotaka kutuingiza kingi ya kuchagua mfuasi wa shetani freemasoni
 
Wewe ndiyo wale mashetani mliotaka kutuingiza kingi ya kuchagua mfuasi wa shetani freemasoni


Mkuu wako amesema anataka watu waishi kama mashetani

hilo tu hulioni kuwa yeye ni Proven "WAKALA WA SHETANI"?

Pia hujasema ...ushabebeshwa mfyatuo?
 
Mkuu wako amesema anataka watu waishi kama mashetani

hilo tu hulioni kuwa yeye ni Proven "WAKALA WA SHETANI"?

Pia hujasema ...ushabebeshwa mfyatuo?
Wakala wa shetani ni mamvi na Dj na wewe mnaokataa kulipa kodi. Ni nyie mnaoshinikiza na kuhonga hela watu waandamane ili wafe
 
Hapana usifugie kuku, weka uwe unatoka nayo mara moja kwa wiki, ijumaa kama muumini wa ijumaa, ama jumamosi, ama jumapili, kwenda nayo kwenye nyumba za ibada tu, yale mafuta ya vibaba yatakuhusu lkn.
Aisee kila gari lina status yake ya uendeshaji,yaani kama umepauka kuendesha subaru ni kujichora ni sawa na kuvaa suti alaf upande boda boda
 
Wakala wa shetani ni mamvi na Dj na wewe mnaokataa kulipa kodi. Ni nyie mnaoshinikiza na kuhonga hela watu waandamane ili wafe


hahahahha...mkuu mbona unatafuta mawakala wa shetani kwa tochi

na wakati mfytuaji mkuu ameshajisema kuwa yeye ni wakala wa shetani katika kuwafanya watu waishi kishetani

Dada...ushetiwa kitu cha mfyatuo?
 
Habari wanajamvi!

Naam, Tunako elekea sasa kisiasa na kiuchumi ndiko hasa niliko kuwa naomba tufike! Ngoma kaipata kenge maji yote timbwitimbwili.Na bado.

Natamani kila mtu aisome namba.Walimu waisome namba, wauguzi waisome pia, wasanii waisome namba tena usiku na mchana, wale wanaojifanya kutaka kufanya usafi siku ya Ukuta waisome tena kwa herufi kubwa! Wakulima wazisome namba zoote ili wajue tulikuwa hatudanganyi kuwa kule ni walewale!!

Natamani aendelee hivihivi na asitokee mtu wa kumshauri.Natamani chama cha migomba waisome namba kwani wao walimpenda wenyewe bila shuruti. Napenda arudie tena kuwaudhi akina maalimu! Atuudhi wote! Natamani apige marfuku wanaume tusiongee mchana!! Aongee peke yake! Natamani kodi ipande mpaka peni tununue kwa shilingi Laki sita.

Natamani wanafunzi waisome namba mpaka wajute. Natamani wanawake waisome namba mpaka kujipaka mafuta iwe ni anasa!

Halafu uchaguzi ndio uje 2020.Tutakapo waambia chama kile ni walewale watatuelewa.Tutakapo waambia chama kile mkiwapa tena watatoa teuzi kwa ukanda watatuelewa. Tutakapo waambia wanavunja katiba watatuelewa.Tutakapo waambia kuwa wanavinyongo watatuelewa. Karibu 2020.
Magufuli mpaka 2025 na atutafutie mtu mbabe kama yeye nchi za kiafrika kuongozwa kama unavyotaka subiri baada ya sherehe za miaka 100 ya Uhuru wa Tanganyika I hope its 2061
 
Wanaotakiwa kuisoma namba ni mikoa yote ambayo haina mbunge hata mmoja wa upinzani
Hii inatakiwa waisome namba kisawasawa hata huruma nao hua sina kabisa
 
  • Thanks
Reactions: J C
Back
Top Bottom