Dini ni nini mkuu?
Ningezaliwa india,china,Thailand n.k ningekua naamini nini? Kabla haja mzungu na mwarabu babu zetu walikua wanaabudu nini? Of course Mungu yupo, naamini kwenye matendo mema sio madhehebu na dini.
Pia natumia akili yangu vyema kutafakari mambo ya msingi ile hali sikufuru.