Natamani Diamond Platinumz afikie umaarufu wa Michael Jackson

Natamani Diamond Platinumz afikie umaarufu wa Michael Jackson

watu kibao wenye nguvu kuliko Diamond wamaeshajaribu kuwa mj au hata kufanania imeshindikana,yule bwana kama ungedai muziki ni dhambi basi ndiye alikuwa shetani mwenyewe,Hii nyota ya wanaume(sio wanawake tu) kumlilia mond anapokuwa sehemu jamaa alikuwa nayo mara hata 50 yake,lingekiwa jambo la kawaida kabisa MJ kutua gaza na wale jamaa kusahau kwa muda kwamba wako vitani tena wana majonzi.
kiumbe peke ambaye wanasema kwa ukaribu alilingania nguvu aliyokuwa nayo kwa ushawishi ni Princess dianna,huyu mama nayeye alikuwa tatizo.

mondi energy anayo,ila shida yuko nchi zetu hizi za chini,na kule anakojaribu kupanda,ana watu kibao wa kuanza kujilinganisha nao kwanza kabla afikirie huyo jini ambaye kashindikana.
Ninekupata mdau.
 
Aura ya Michael ilikua level nyingine.

Huyu mchizi alikua akitokea jukwaani madem chupi zinaloa na wengine wanazimia kabisa.

View: https://youtube.com/shorts/rhlhU_y33YM?si=VcA_5tlhF4HflBxT

Imagine huyu hapa chini ni demu wako.

View: https://youtube.com/shorts/4Zmt4R3nTNM?si=R6PQaBIPgKJ6DJar

Mwingine Bob(tuff gong) huyu jamaa alipangiwa kupiga show usiku, nchi fulani ulaya ila mapokezi yake yakafanya serekali iingilie kati kubadili ratiba ikabidi mchizi apige show mchana kweupeee peee. Waliogopa kama atafanya show usiku kungetokea gharika.
 
Aisee ni wachache sana kwenye industry ya muziki wamefanikiwa kufikia hii level.
 
MJ na nyimbo zake afanane na mondi wa kqa mpalange na kwa bibi nyau aaahhh wee usitutanie
 
CB mwenyewe anatamani hata angekuwa 1/8 ya yule jamaa.
ukiona mtu napendwa sana na watoto ujue ana nguvu kubwa sana.wwtoto humpenda mtu kwa nguvu aliyo nayo sio kwa sababu yeye ni nani.
Kweli kabisaa.
 
Michael ni uwekezaji mkubwa tangu akiwa mtoto na pia alikua ana kipaji halisi na ubunifu mkubwa. Pia lugha inaeleweka duniani kote. Diamond njaa imempa motisha ya ubunifu ila kipaji zero ndo maana ni mzee wa drama na nyimbo za ajabu ajabu amabazo hazijawahi kutusua nje ya africa
Katika Sanaa,,,Ubunifu Unabebwa Na Kipaji...
 
Pamba alizopiga MJ enzi hizo hata sasa hivi wasanii wengi hawavai,baada ya miaka 10 Diamond apige bei nguo zake zote kama ataingiza hela hata ya nusu ya bukta ya MJ
 
Hutonielewa najua. Zamani ulitakiwa uliteke soko la mziki la marekani tayari unakuwa umeteka dunia. Sasa hivi hata ukiteka soko la marekani bado dunia haikutambui kama zamani. Kwakuwa kila nchi ina wanamziki wake. Inamaana hatujui hata anayetisha marekani ni nani tulioko huku tanzania.

We Jamaa ni TakaTAka
 
Back
Top Bottom