Natamani Diamond Platinumz afikie umaarufu wa Michael Jackson

Leo nilikuwa natazama documentary moja kumhusu huyu king of pop , nikiri jamaa alikuwa anakubalika. Kuanzia New york hadi Moscow. Au Munich mpaka Tokyo jamaa alikuwa akifika kwenye hayo majiji shughuli zilikuwa zinasimama .

Na hapo ni ametua tu na ndege bado haja perform. kama kuna watu humu wanasema eti jamaa nyimbo zake zilikuwa za kawaida sana, mara sijui ni freemason wamempa umaarufu na conspiracy theories nyingi ilimradi kumchafua .

Ila kwa wanaojua mziki wake huko duniani haswa live concerts Jamaa alikuwa kwenye ligi ya peke yake. Ogopa watu hususani watoto wa kike walikuwa wanazimia tu kwa kumuona , wengine kububujikwa na machozi kama luka wa magogoni.

Itoshe kusema jamaa alikuwa anajua na anaujua mziki. Sasa mimi natamani Mondi afike level za huyu jamaa yaani mfano kama mondi atue pale Arusha ,shughuli zote zisimame na awe na msafara unaomsindikiza tu akitua Airport zisipungue gari 100. Na mfano Watoto wa kike watoroke shule kwenda kumuona. I wish bro Mondi afikie hii level ya Fame.
View attachment 3420869

View attachment 3420872
View attachment 3420870
Bro jiombee wewe kwanza
 
Sawa bwana ningekupa mfano wa soka ndo ungenielewa. Mfano zamni jezi za delima zilikuwa nyingi tanzania kuliko kezi za joseph kaniki hivyo kulimfanya delima ajulikane sana tanzania kuliko hata watanzania wenyewe. Leo hii jezi za mayele ni nyingi kuliko za cr7. Yaani hakina asiyemjua mayele tanzania ila wapo kibao wasiomjua messy. Kwakuwa na sisi tuna soka letu hivyo ufuatiliaji wa soka la nje ni mdogo sana. Leo hii kama una ukumbi wa mpiira. Daby ya london inazidiwa na mechi ya simba na azamu kwa uingizaji wa watu
Acha basiii 🤣🤣🤣 Kuna mtu asiyenjua Messi ambaye ni Modern human!? Labda wahadzabe mkuu na wale wasukuma wanaoishi vijijini ndani ndani huko wale wanaovaa mpaka sketi
 
1000007110.jpg
 
Umaarufu wa Michael Jackson akiwa kwenye peak yake hata Cristiano Ronaldo hagusi
 
Sawa bwana ningekupa mfano wa soka ndo ungenielewa. Mfano zamni jezi za delima zilikuwa nyingi tanzania kuliko kezi za joseph kaniki hivyo kulimfanya delima ajulikane sana tanzania kuliko hata watanzania wenyewe. Leo hii jezi za mayele ni nyingi kuliko za cr7. Yaani hakina asiyemjua mayele tanzania ila wapo kibao wasiomjua messy. Kwakuwa na sisi tuna soka letu hivyo ufuatiliaji wa soka la nje ni mdogo sana. Leo hii kama una ukumbi wa mpiira. Daby ya london inazidiwa na mechi ya simba na azamu kwa uingizaji wa watu
We jamaa ni mpuuzi kwamba et mayele amzidi umaarufu Messi kisa jezi zake ziko nyingi😂😂 aisee kweli we ni mpuuzi
 
Back
Top Bottom