Natamani Diamond Platinumz afikie umaarufu wa Michael Jackson

Natamani Diamond Platinumz afikie umaarufu wa Michael Jackson

Uchache wa wanamziki tu ndo ulimbeba. Hata wasanii wa kimarekani wa sasa hawavumi kama zama za kina 50cent. Hata wazaire wa sasa hawavumi kama akina pepe kale. Hata wacheza sinema wa sasa wa ki nigeria hawavumi kama akina aki na ukwa. Kwa nini? Kila nchi imekuwa na sanaa zake. Saida karoli angeimba leo nyimbo zake zisingevuka hata mikoa mitatu kutoka bukoba
 
Michael Jackson hata akifufuka leo hii kwenye hii generation yenye wasanii kibao Bado hakutakua wa kumfikia kwa umaarufu kwa hela hata kwa dhambi.
 
Uchache upi unao uongelea wewe !? Wakati zamani industry ya music ya USA Ndio ilikuwa na wasanii kibao miaka ya 70s mpaka 90s USA And Uk ilikuwa na wasanii wengi Sana labda kama wewe ni mgeni ktk sekta ya music industry
.Sasa hivi ndio industry ya music USA ime collapse imeshindwa kuzalisha majina mapya makubwa , lakini miaka Ile wasanii walikuwa ni wengi mnooo na walikuwa Wanafanya vyema Sana nikianza kuwataja hapa tutakesha
 
Michael Jackson hata akifufuka leo hii kwenye hii generation yenye wasanii kibao Bado hakutakua wa kumfikia kwa umaarufu kwa hela hata kwa dhambi.
Kitakachompa umaarufu ni huko kufufuka tu. Ila kama atatokea msanii mwingine kama huyo kwa sasa hatajulikana kama yule. Kwakuwa dunia ya sasa kila eneo lina wasanii wake. Siyo kisanaa tu hata kimiundo mbinu na tecnology miaka ya nyuma kila aliyekunywa soda alikunywa coca. Leo hii coca kuna matawi yao yana5aka kujifunga wa kukosa wateja. Huku mwanza tuko na jamkaya. Huko zanzibar wana azam
 
Michael ni uwekezaji mkubwa tangu akiwa mtoto na pia alikua ana kipaji halisi na ubunifu mkubwa. Pia lugha inaeleweka duniani kote. Diamond njaa imempa motisha ya ubunifu ila kipaji zero ndo maana ni mzee wa drama na nyimbo za ajabu ajabu amabazo hazijawahi kutusua nje ya africa
Kwanini madam
 
Uchache upi unao uongelea wewe !? Wakati zamani industry ya music ya USA Ndio ilikuwa na wasanii kibao miaka ya 70s mpaka 90s USA And Uk ilikuwa na wasanii wengi Sana labda kama wewe ni mgeni ktk sekta ya music industry
.Sasa hivi ndio industry ya music USA ime collapse imeshindwa kuzalisha majina mapya makubwa , lakini miaka Ile wasanii walikuwa ni wengi mnooo na walikuwa Wanafanya vyema Sana nikianza kuwataja hapa tutakesha
Hutonielewa najua. Zamani ulitakiwa uliteke soko la mziki la marekani tayari unakuwa umeteka dunia. Sasa hivi hata ukiteka soko la marekani bado dunia haikutambui kama zamani. Kwakuwa kila nchi ina wanamziki wake. Inamaana hatujui hata anayetisha marekani ni nani tulioko huku tanzania.
 
Mzee sidhani kama kuna msanii kwa dunia ya sasa anaweza fika level za MJ.
Na kumbuka enzi zile hakukua na mitandao ya kijamii ila jamaa anatambulika mpaka kesho.

Conspiracy theories kumuhusu bado ziko hai na zinafatiliwa, jamaa hakua wa kawaida aisee.
Kama cr7 angekua msanii angemfikia mdau
 
Hutonielewa najua. Zamani ulitakiwa uliteke soko la mziki la marekani tayari unakuwa umeteka dunia. Sasa hivi hata ukiteka soko la marekani bado dunia haikutambui kama zamani. Kwakuwa kila nchi ina wanamziki wake. Inamaana hatujui hata anayetisha marekani ni nani tulioko huku tanzania.
Hao wanaotisha marekani now days wako normal sana , so hawawezi kufika ktk level ya Mj ,
.Aliye kuambia kuwa zamani nchi nyingine hazikuwa na wasanii nani palikuwa na kina Yvonne Chaka Chaka Kwa SA , Yondo sister congo
Tanzania kina chidumule Mbaraka mwinshehe,

Kilicho tokea now Kwa USA wame fail kuzalisha vipaji halisi na mziki wao umekuwa ni bubble gum sio mziki haswaa kama ule uliokuwa unafanywa na kina Cyndi luper minirapton ,

Wasanii wamekuwa na drama zaidi kuliko talents
 
Leo nilikuwa natazama documentary moja kumhusu huyu king of pop , nikiri jamaa alikuwa anakubalika. Kuanzia New york hadi Moscow. Au Munich mpaka Tokyo jamaa alikuwa akifika kwenye hayo majiji shughuli zilikuwa zinasimama .

Na hapo ni ametua tu na ndege bado haja perform. kama kuna watu humu wanasema eti jamaa nyimbo zake zilikuwa za kawaida sana, mara sijui ni freemason wamempa umaarufu na conspiracy theories nyingi ilimradi kumchafua .

Ila kwa wanaojua mziki wake huko duniani haswa live concerts Jamaa alikuwa kwenye ligi ya peke yake. Ogopa watu hususani watoto wa kike walikuwa wanazimia tu kwa kumuona , wengine kububujikwa na machozi kama luka wa magogoni.

Itoshe kusema jamaa alikuwa anajua na anaujua mziki. Sasa mimi natamani Mondi afike level za huyu jamaa yaani mfano kama mondi atue pale Arusha ,shughuli zote zisimame na awe na msafara unaomsindikiza tu akitua Airport zisipungue gari 100. Na mfano Watoto wa kike watoroke shule kwenda kumuona. I wish bro Mondi afikie hii level ya Fame.
View attachment 3420869

View attachment 3420872
View attachment 3420870
Hana nidhamu, amemwambia Diva, nanukuu: " Ningekukaza usingeniongelea vibaya kama unavyoniongelea" mwisho wa kunukuu. Sasa kwa Uyawani huu anawezaje kuwa kama MJ?
 
Hao wanaotisha marekani now days wako normal sana , so hawawezi kufika ktk level ya Mj ,
.Aliye kuambia kuwa zamani nchi nyingine hazikuwa na wasanii nani palikuwa na kina Yvonne Chaka Chaka Kwa SA , Yondo sister congo
Tanzania kina chidumule Mbaraka mwinshehe,

Kilicho tokea now Kwa USA wame fail kuzalisha vipaji halisi na mziki wao umekuwa ni bubble gum sio mziki haswaa kama ule uliokuwa unafanywa na kina Cyndi luper minirapton ,

Wasanii wamekuwa na drama zaidi kuliko talents
Sawa bwana ningekupa mfano wa soka ndo ungenielewa. Mfano zamni jezi za delima zilikuwa nyingi tanzania kuliko kezi za joseph kaniki hivyo kulimfanya delima ajulikane sana tanzania kuliko hata watanzania wenyewe. Leo hii jezi za mayele ni nyingi kuliko za cr7. Yaani hakina asiyemjua mayele tanzania ila wapo kibao wasiomjua messy. Kwakuwa na sisi tuna soka letu hivyo ufuatiliaji wa soka la nje ni mdogo sana. Leo hii kama una ukumbi wa mpiira. Daby ya london inazidiwa na mechi ya simba na azamu kwa uingizaji wa watu
 
Mimi huwa ninaamini diamond ni kama Michael Jackson kwa Tanzania yaani yupo on peak hapa tz and may be east Africa.
Lakini yupo chini sana kwa Africa. Jina la Tanzania limeshindwa kumbeba kama akina davido na burna boy wanavyo bebwa na Nigeria and may be Michael Jackson alivyo bebwa na Marekani.
 
Hutonielewa najua. Zamani ulitakiwa uliteke soko la mziki la marekani tayari unakuwa umeteka dunia. Sasa hivi hata ukiteka soko la marekani bado dunia haikutambui kama zamani. Kwakuwa kila nchi ina wanamziki wake. Inamaana hatujui hata anayetisha marekani ni nani tulioko huku tanzania.
Unataka kunambia mondi marekani inamtambua
 
watu kibao wenye nguvu kuliko Diamond wamaeshajaribu kuwa mj au hata kufanania imeshindikana,yule bwana kama ungedai muziki ni dhambi basi ndiye alikuwa shetani mwenyewe,Hii nyota ya wanaume(sio wanawake tu) kumlilia mond anapokuwa sehemu jamaa alikuwa nayo mara hata 50 yake,lingekiwa jambo la kawaida kabisa MJ kutua gaza na wale jamaa kusahau kwa muda kwamba wako vitani tena wana majonzi.
kiumbe peke ambaye wanasema kwa ukaribu alilingania nguvu aliyokuwa nayo kwa ushawishi ni Princess dianna,huyu mama nayeye alikuwa tatizo.

mondi energy anayo,ila shida yuko nchi zetu hizi za chini,na kule anakojaribu kupanda,ana watu kibao wa kuanza kujilinganisha nao kwanza kabla afikirie huyo jini ambaye kashindikana.
 
Back
Top Bottom