Natamani CCM ishinde kesi Dhidi ya Lema (MB) Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani CCM ishinde kesi Dhidi ya Lema (MB) Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bramo, Oct 30, 2011.

 1. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 8,908
  Likes Received: 1,838
  Trophy Points: 280
  Natamani CCM ishinde kesi dhidi ya Lema, Nataman uchaguzi urudiwe, Nataman Magamba warogwe wa atempt kuchakachua Kura,for real ukombozi utaanzia Arusha...
  Hii kila Mwana Arusha na M Tanganyika Yeyote mwenye Mapenzi Mema na Hii Nchi ataungana nami kwenye Kufunga na kusali ili hili litokee.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  Wasiwasi wangu ni kwenye kampeni je CCM watachinja chinja kama walivyo fanya kule Igunga...lakini kwenye masanduku Chadema itashinda zaidi ya ya mwaka jana...
   
 3. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 593
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Arusha wakichinja itakuwa balaa maana ccm Arusha sasa hivi inajikongoja hamna mwenye hamu nayo.
   
 4. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 8,908
  Likes Received: 1,838
  Trophy Points: 280
  Yah,najua Magamba lazima wa atempt kuchakachua,na hii itaamsha zaid hasira aetu wan Arusha, Magamba hawjui tu kuwa Ksei waliyofungua Arusha ndo anguko lao
   
 5. S

  STIDE JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 998
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja, ila naogopa watakaouliwa bila hatia!! Pia magamba yataongeza safari za Nigeria na Songea ili kufinish watakaosalia!! Ni maoni tu...!!
   
 6. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika huo uchaguzi naombea mgombea wa chadema hawe DR. Wilbroad SLAA
   
 7. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,959
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Wanajua Kwa Sasa Bado Wana Hali Ngumu Sana Hawawezi Kushinda Hiyo Kesi, Zaidi Watazungusha Watu Weee Mwishowe kesi ipotee.. Hata wenyewe wanaiogopa Arusha Na Tanganyika Kwa ujumla, mwamko Ni Mkubwa.

  Lakini Nataman Hata Mimi Wajichanganye Kidogo Waone Moto
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Magwanda mnawaza vurugu tu.
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,828
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  CCM wanaujua ugumu wa uchaguzi na hasa eneno kama Arusha .Wata haribu hata sifa ya jiji la Arusha na sijui kama wanaweza kampen dhidi ya watu walio amua kuongoka na kuachana na shetani CCM .
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 10,465
  Likes Received: 1,571
  Trophy Points: 280
  Magamba mnawaza wizi tu.
   
 11. IGUDUNG'WA

  IGUDUNG'WA JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 817
  Trophy Points: 280
  kama uchaguzi ukirudiwa mara hii mpaka HB wa magogoni atapiga kampeni halafu zomeazomea ndio zitamuumbua
   
 12. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Noooooooooooooooooooooo

  Chaguzi zinatumia pesa nyingi mno ona hadi watu hawajapata mishahara yao kisa uchaguzi Igunga Naomba Uchaguzi mwingine ufanyike 2915 na siyo katikati
   
 13. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,889
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Arusha mstakhabali wake ni mgumu sana na umegubikwa na wingu zito. Tangu hawa jamaa CDM waingie hawajaweza kuonyesha nini wanaweza kuwapatia wanaArusha na kama ikitokea chance ya kurudia ama kweli CCM inaweza kurudi kwa kishindo. Downside ni kwamba WanaCDM ni wapiganaji wazuri ila wengi si wapiga kura kwa kuwa hawajajiandikisha. Hifikiria katika ndoto kama hatua ya kwanza ya mabadiliko. CCM wameshapita stage hii. Wao wanajua ushindi ni kwenye box tu.

  Sijui ila it is gonna be very touch indeed for CDM.
   
 14. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kama itatokea Lema akashindwa uchaguzi na akazuiwa kugombea, natamani CDM imweke mgombea anayekubali na mwenye ari ya kweli ya maendeleo lazima atashinda
   
 15. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Ikitokea hivyo basi A-town itakuwa Benghazi harakati za ukombozi zitaanzia hapa.
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,588
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Kichenchede!
   
 17. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  turudie tu!
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Kwa kauli za Nape uchaguzi unaweza kurudiwa. Hata Lema asipopiga kampeni lazima chadema waibuke kidedea! Kamanda Lema ni lulu ya Arusha mjini, na Tanzania kwa ujumla.
   
 19. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6,067
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  box la uchakachuzi?
   
 20. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Mimi nataka kianzie kunukia Arusha ili moto usambatie watu waheshimiane.
   
Loading...