Natamani awe rafiki/mshauri wangu.

Mhhh,

Kumbe kuna raha sana haueni kumalizana na haya mambo ya watoto.....!!

Ngoja tukacheze na wajukuuu!

Babu DC

Mwezi mtukufu huu yakhe... Afu ujue kloro alinipa kazi ya kuwa body guard wako eeh?? Mi nakuangalia tu na huyo Salanga wako, !..
halafu unajua haya maneno yako yatanivunjia ndoa kwa salanga!
Kwanza kloro ndio nani? Mi namjua salanga tu ulimwengu mzima. Salanga bebiiiiii.,..

Mhhh,

Kumbe kuna raha sana haueni kumalizana na haya mambo ya watoto.....!!

Ngoja tukacheze na wajukuuu!

Babu DC

babu mbona umeingia bila hodi wajukuu tunavaa jamani!!

halafu unajua haya maneno yako yatanivunjia ndoa kwa salanga! Kwanza kloro ndio nani? Mi namjua salanga tu ulimwengu mzima. Salanga bebiiiiii.,..
Hayo ndo mambo my wangu Husn wasitake kututengansha. Naona tuingie ndani tupange mambo yetu,lakini hapa jamvini tuwatafute wasimamizi ili tuhalalishe kabisaaaaaaaaaaaaaaa, Usijali kuhusu mwezi kwani tutasubiria mpaka ifungwe au?

Husninyo & Salanga..
Hongera sana..

Husn ndo muda muafaka wa
Kuonyesha kwanini una PHD..

Take care :)

Husninyo & Salanga..

Hongera sana..

Husn ndo muda muafaka wa

Kuonyesha kwanini una PHD..

Take care

hahaha! Tena sio phd ya kupewa. Kitu original. Sante sana. Lol.

hahaha! Tena sio phd ya kupewa. Kitu original. Sante sana. Lol.

Nitaona kama hiyo PHD ni original kweli ,lakini nahisi Im lucky!!!!!!!!!!

Kuna ka-mchezo zamani kalikuwa kanaitwa ..."Sandakalawe.....(Amina)... mwenye kupata....(Apate)..mwenye kukosa..(Akose)...

Husny na ujanja woote ule... nilijua wee hunasagi, kumbw janja yako Salanga....lol So proud of you...

Habari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake(kama anayo). Ni mtu anayetoa hoja ambazo mara nyingi zimenivutia. Akiniruhusu kubadilishana naye mawazo ni bonge ya furaha kwangu. Nifanyeje?
The truth shall set you free. Kama una kifua basi usiogope mkuu just toa lililoko moyoni mwako. Kukosa na kupata yote ni matokeo

Similar Discussions

Back
Top Bottom