Salanga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 364
- 44
Habari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake(kama anayo). Ni mtu anayetoa hoja ambazo mara nyingi zimenivutia. Akiniruhusu kubadilishana naye mawazo ni bonge ya furaha kwangu. Nifanyeje?