Natamani angekua pekeake

Hivi hivi ndiyo maana nakata tamaa ya kuoa mm, hivi lakini unapata wapi nguvu ya kujisifu kwa huu ufuska bro! Acha kuwaharibia wake za wenzako bwana, ebu mwonee huruma huyo dad, ona kashajiridhisha anataka mpaka ukajitambulishe kwao. Kweli? Acha hizo bwana🤔
 
Unafeli sana bro ukiwa umeoa hutakiwi kabisa kuweka kambi kwa manzi ingine...lengo lilikua ni kula papuchi ushakula tembea mbelee.

Hivi huo moyo wakuweka kambi hua mnaupata wapi?
 
Uzuri wa mke wangu ana kiburi,jeuri na mambo mengi lakini sio malaya..hiko ndo kikubwa nnachoshukuru..
😅😅 endelea kuota, hivi unajua malaya anaoa/kuolewa na malaya? Maana ndiye mtu aliye kwenye cycle yako .

Kingine kama haukuikuta bikra kitu possibility ni 98% kwamba haukuikuta basi jua aliyeivunja ndo anarekebisha njia sasa.



N.b
Sijasema mke wako ni malaya
 
Naona umepanga kumuumiza kihisia. Muweke wazi kuwa unamke hata akiamua kuendelea na wewe uwe huru na familia yako, utajificha Kama nywele za kwapa siku mkeo akijua mgogoro unaanzia hapo
 
Maisha hayajawi kuwa na formula rasmi maisha Ni fumbo maisha Ni kitendawili maisha yako very complicated


Maisha tunaishi lakini asilimia 40 ya maisha tunayoishi huwa hatufurahii maisha tunayoyaishi '''

Kuna waliokuwa na ndoto za kuwa watu fulani ama kufanya kazi fulani lakini Hawa kufanikiwa kutimiza ndoto hizo

Kuna waliokuwa na ndoto za kwenda kuishi nchi fulani lakini hawakufanikiwa kutimiza ndoto hizo

Kuna waliowahi kutamani kuoa /kuolewa na watu fulani lakini mpaka Leo katika maisha Yao imebaki kuwa history na mioyo yao Bado imebeba chembe chembe za upendo dhidi ya watu hao lakini ndio hivyo maisha yameshindwa kuwapatia kile walichokuwa wanakitaka ..


Maisha yako hivyo so tuishi tu wadau ... Na tujifunze kuridhika na kuthamini vile ambavyo dunia imetubariki baada ya kukosa vile tulivyokuwa tuna tamani kuwa navyo au kuvipata
 
Yaani hiyo kauli ungenitamkia Mimi hata Kama nakupenda vipi ningekubali tuachane kwa amani.

Raha ya ndoa mpendane, mfurahiane na mridhiane.

Kuishi na mtu umeshajua hakuhitaji ni ngumu Sana aiseee. Huyu mkeo kweli mvumilivu
Unadhani hata mimi sikujua kuwa hiyo kauli sio nzuri? Nilijua lakini mpaka niliamua kuongea nilikuwa nimekwazika sana. Mimi ndio mvumilivu kwenye hii ndoa yangu kama nisingekuwa mvumilivu nadhani saizi ningekuwa nina watoto wengi kwa mama wengi. Kumbuka kuwa sio kitu chepesi mwanamke unayempenda kumtamkia maneno kama yale.
 
Back
Top Bottom