Natamani angekua pekeake

Natamani angekua pekeake

Mambo ya duniani Ni shughuli...mwanamke kuishi nae huwezi..kumuacha huwezi kuoa mke mwingine huwezi.....kumwambia mchepuko kuwa umeoa huwezi...unaogopa kumpoteza...

Khalas

Mwenyezi Mungu aliyajua haya ndo maana akawaruhusu muoe wake wanne

Huyo GuDume angemuoa TU huyo Mangi masikini...kabla hajawa single mother...nakuvurumushiwa matusi Kama yoote
..
 
I used to be very judgyy kwenye mambo ya mahusiano...ila kadri muda unavyoenda ndio nnavyojifunza kuwa things can get really complicated at times. Ukiacha wale ambao ni tabia yao kucheat day in day out....kuna watu hawakupaswa kuwa kwenye mahusiano na wenza wao kabisa!!

Anyway...pole sana ila ulikosea kuoa mtu ambae hukuwa unafurahia kuwa nae toka mwanzo.

Alafu if I may ask....nani aliyeoa?? Nani anaeishi na mkeo??? Wazazi au wewe?? Fanya maamuzi yako binafsi na mwenzie ili kuepushiana maumivu zaidi.
Kiongozi acha tu wahenga walinena kua uyaone nadhani nimeshayaona na bado ntaendele kuyaona. Nimefikiria sana kuhusu kuachana na mke wangu lakini nimesema hapana kila nikiwatazama watoto wangu nashindwa kabisa kumwacha mama yao. Mara kadha nimeshamwambia kuwa yeye hakustahili kuolewa alitakiwa azalishwe alafu abaki kuishi kwao..... Naendelea kuvumilia Mkuu maana ujana nao una mwisho naogopa kuzeeka vibaya.
 
"kwa jinsi nilivyokutana na mke wangu kwa mara ya kwanza hadi tunaoana kwa tabia zake, sijawahi kabisa kufurahia mapenzi yake wala kuhusi na kuamini kuwa nimepata mwenzi wa maisha yangu"

MKUUU KUOA NAPO ULILAZIMISHWA NA WAZAZI?
Mkuu kitu mapenzi iache kama ilivyo kama umeoa/olewa nadhani utaelewa kama bado utakuja kuelewa siku moja......Unaweza kufanya jambo pasipo shurutishwa badae ukija kutafakari uonaona haukuwa sawa......Cha msingi ni kuomba Mungu akukutanishe na mtu sahihi utafurahia maisha ya Dunia hii.
 
Duuh ni atar lakn Mwambie ukweli utamsadiaa kumuweka hulu, kuliko kumualibia future yakee
 
Kiongozi acha tu wahenga walinena kua uyaone nadhani nimeshayaona na bado ntaendele kuyaona. Nimefikiria sana kuhusu kuachana na mke wangu lakini nimesema hapana kila nikiwatazama watoto wangu nashindwa kabisa kumwacha mama yao. Mara kadha nimeshamwambia kuwa yeye hakustahili kuolewa alitakiwa azalishwe alafu abaki kuishi kwao..... Naendelea kuvumilia Mkuu maana ujana nao una mwisho naogopa kuzeeka vibaya.
Yaani hiyo kauli ungenitamkia Mimi hata Kama nakupenda vipi ningekubali tuachane kwa amani.

Raha ya ndoa mpendane, mfurahiane na mridhiane.

Kuishi na mtu umeshajua hakuhitaji ni ngumu Sana aiseee. Huyu mkeo kweli mvumilivu
 
Wallahi Mimi Ni bora uniambie ukweli...Mimi nimeshaamua kuwa mkweli katika maisha yangu.... Sasa tunadanganywa to the extent huelewi huyu mtu kwanini afanye hivi...

Wanao waroga nawawaroge TU....shwain kabisa
Acha tamaaa zako
 
Tatizo mnaoa bila kumshirikisha Mungu akupe mke Mwema
Unakimbilia kuoa mke wa mwenzako
Nan alikuambia huyo ni mkeo????
Pambana na hali yako mzee
 
Huwa Nashangaa Sana mtu anampondanganya na kucheza na hisia za mwenzake namna hiii...

Aiseee.... You guys don't know how it hurts kuwaste someone's time.
Naona umejitahidi kubadili username lakini wapi. Naiona ileile ya zamani
 
Umesema kitu kikubwa sana Kiongozi. Nimeoa na nina watoto watatu wawili kwa mke wangu na mmoja alinikuta nae, kwa jinsi nilivyokutana na mke wangu kwa mara ya kwanza hadi tunaoana kwa tabia zake, sijawahi kabisa kufurahia mapenzi yake wala kuhusi na kuamini kuwa nimepata mwenzi wa maisha yangu. Kuna kipindi tulitaka kuachana kabisa kama sio wazazi hasa wazazi wangu kutusihi tusifanye hivyo. Nilivumilia mengi sana lakini kuna siku nilimweleza mke wangu kuwa kwa matendo anayonifanyia nalazimika kutafuta mwanamke mwingine nimwoe kwani sioni mwisho mzuri Kati yetu. Basi nikaanza kunusanusa taratiiibu nilikutana na mwanamke mmoja kwa kweli ni aina ya mwanamke ambaye mimi namhitaji katika maisha yangu. Nikawa nae kwenye mahusiano kwa miezi mingi kidogo lakini ilikuwa ngumu kumwoa kwa sababu nina mke tayari na wazazi wamesimamia uamuzi wao wa kutomwacha mke wangu yaani niliumia sana...Wewe mwanamke Nakupenda sana nakuombea kila lenye heri.

Hii haina tofauti kabisa na maisha yangu yalivyo na jinsi nilivyopitia..mimi kiukweli huyu mwanamke ntamuoa..labda asikubali yeye mwenyewe..maana nyumba yangu chungu sana..
 
Wallahi Mimi Ni bora uniambie ukweli...Mimi nimeshaamua kuwa mkweli katika maisha yangu.... Sasa tunadanganywa to the extent huelewi huyu mtu kwanini afanye hivi...

Wanao waroga nawawaroge TU....shwain kabisa

Wewe unachohitaji si kupendwa na kutimiziwa mahitaji yako? Au kuna lingine
 
I used to be very judgyy kwenye mambo ya mahusiano...ila kadri muda unavyoenda ndio nnavyojifunza kuwa things can get really complicated at times. Ukiacha wale ambao ni tabia yao kucheat day in day out....kuna watu hawakupaswa kuwa kwenye mahusiano na wenza wao kabisa!!

Anyway...pole sana ila ulikosea kuoa mtu ambae hukuwa unafurahia kuwa nae toka mwanzo.

Alafu if I may ask....nani aliyeoa?? Nani anaeishi na mkeo??? Wazazi au wewe?? Fanya maamuzi yako binafsi na mwenzie ili kuepushiana maumivu zaidi.

Sio kila situation itakuruhusu wewe kumuacha mke wako..saa zingine ni kweli mtu unakua humpendi lkn huwezi kuachana nae ata kidogo..ukiwaangalia watoto utawaingiza kwenye janga la msononeko unaona bora maisha yaendelee tu..vile vile kuachana sio kitu kizuri,,hamna mtu aliezoea msiba..kuachana ni msiba kwa lugha nyengine...
 
Mambo ya duniani Ni shughuli...mwanamke kuishi nae huwezi..kumuacha huwezi kuoa mke mwingine huwezi.....kumwambia mchepuko kuwa umeoa huwezi...unaogopa kumpoteza...

Khalas

Mwenyezi Mungu aliyajua haya ndo maana akawaruhusu muoe wake wanne

Huyo GuDume angemuoa TU huyo Mangi masikini...kabla hajawa single mother...nakuvurumushiwa matusi Kama yoote
..

Ntafanya maangamizi adi nimuweke ndani..tena kizuri anajitambua mangi wa watu na anajua thamani yake..
 
Kiongozi acha tu wahenga walinena kua uyaone nadhani nimeshayaona na bado ntaendele kuyaona. Nimefikiria sana kuhusu kuachana na mke wangu lakini nimesema hapana kila nikiwatazama watoto wangu nashindwa kabisa kumwacha mama yao. Mara kadha nimeshamwambia kuwa yeye hakustahili kuolewa alitakiwa azalishwe alafu abaki kuishi kwao..... Naendelea kuvumilia Mkuu maana ujana nao una mwisho naogopa kuzeeka vibaya.

Nakuelewa sana mkuu..situation yako na yangu haipishani hata kidogo..
 
Huyu Kama kampenda KWELI amuoe hata huko bomani...japo sijui Sasa kanila lake litasemaje..

K

Mangi kasema yupo tayari kubadilisha dini..na sitajali mke wangu atasema nini,nakua kwa mke wangu hawezi kuniacha,,suala apo ni kumficha mangi na ntamuoa akiwa hajui lolote nahakikisha
 
Duuh ni atar lakn Mwambie ukweli utamsadiaa kumuweka hulu, kuliko kumualibia future yakee

Haaribiwi future mtu..future huaribiwa na factors nyingi sana ukiacha mapenzi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom