Natalia nisaidieni kaka zangu wana jamii mwanangu wangu nimtahiri au ?

Wa kwanza ulizaa ukiwa haki elimu! Yani una mamburula matatu!!! Kiruu, huyo ze mumeo ameongeza mang'aa kwenye ukoo wake!

Utajibeba na lundo la watoto kila mmoja na babake! Mkate na sime la kimasai awe na rungu ya kimasai.

Watoto wangu wote baba Yao mmoja .ila swala la wanangu Mimi ndio mama Yao na na walea kiafrika wanangu.
 
mtoto awe kama baba yake
baba yake si hajatahiriwa?
why umlazimishe mtoto?

Kwa mujibu wa maelezo yake itakuwa baba mtu kautoa mfuko sweta na sasa anataka mwanae atahiliwe.......
Ushauri,,Mtahili mwanao kwani mademu wa siku awarrrambi koni ikiwa na ndomu la asili
Wewe vp isije kuwa umetahiliwa uakazani uchung ule ndio huu?
Angalia usije kumkosehsa raha mwanao kwa upumbavu wako.Siku hizi watoto wanatahiliwa baada ya siku tatu yuko freash
 
Seriously yaani madaktari wa Huku wananiambia it's my choice . Please nisaidieni .mume wangu ananiambia Niamue mimi mwanangu anamiaka 2 .alivyozaliwa nilikataa asifanyiwe circumcision niliogopa infection na maumivu.sina raha ushauri Wenu utanisaidia

Maumivu ni kipimo cha uanaume, tena huyo mdogo atapona haraka, vidonda vya watoto havichukui hata mwezi vimepona.Mi nilifanyiwa nina miaka miwili na nusu. Tena ukiiacha ni mbaya sana rumous has it kua ina tendency ya kunyonya akili.
Kwenye makabila yetu ni aibu kwenye boma aisee, mpeleke haraka. . .Sawa mama govinda?
 
Watoto wangu wote baba Yao mmoja .ila swala la wanangu Mimi ndio mama Yao na na walea kiafrika wanangu.

Kwanza we ni kabila gani asee? Unataka kuwafanya wanetu WAHEHE? (coz hawa ndo mabingwa wa kuning'inia na sweater hand. . .)
 
Natalia wanao wamechukua akili za nani?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mbuta nanga.. yewoomi! Em nenda kamkate bana, atapona mapema sana.
Nb. Natalia unavituko!
 
kamtahiri aisee,maumivu mbn kawaida tu,mimi juzi nimetoka kutairi mdogo wangu ana 12 years of age n baada ya 3 days yuko poa kabisa,japo aliumia sana,kampeleke mtoto,usiwe mburula km mumeo
 
Lazima umtahiri lakini ngoja akue kidogo coz kwa uzoefu wanaume walio tahiriwa angali wadogo huwa wanakuwa na uume mdogo; kama unapenda mwanao awe na uume mdogo ili baadae ahangaike kuuongeza kwa dawa za kichina mtahiri sasa kama hupendi ngoja ngoja
 
mtoto awe kama baba yake
baba yake si hajatahiriwa?
why umlazimishe mtoto?
Yaani baba wa huyo Mtoto ana Govi? Mkuu The Boss umenifurahisha leo kwakwakwa....................siku nzuri nimeianza ninakupa like Elfu moja. Turudi kwenye Topic Bibie.@Natalia Nenda hospitali kamkate Mwanao hilo govi lake mimi mwenyewe nilivyozaliwa baada ya siku 40 nilikatwa Govi langu hakuna cha madhara wala Side effect nenda kesho kamkate mwanao govi lake upesi.
 
Maamuzi ya mtoto ni muhimu. Nimeona hapa Europe ndo trend. Mtoto aamue mwenyewe kama anatahiri au la. Infection kutokana na kutahiri ni unlikely kama huduma za kihospitali ziko ok. Sioni tatizo kufanya sasa au mbeleni ikiwa mtoto hatakuwa na tatizo la phimosis.
Mkuu hovyohovyo Usilete mambo ya Ulaya na utamaduni wa kwetu Afrika ulaya wengi wao huwa hawakati Magovi yao wachafu mimi ninawaona mimi nipo na hao watu wanashangaa eti kukuona wewe umekata govi lako wakati wanasema wao ni Wakristo wakati Bwana YESU Mwenyewe alikata Govi lake.
 
Sasa nawe unayaona vipi magovi ya wenzio? Ama wewe ni urologist? Ungeacha tujibu sie tuliolala na fuso ya wazungu tukiwinda ndoa baba. Manake sample size imekamilika,lol

Bibie King'asti unamuuliza Doctor anayaona vipi Magovi ahhhhh wewe mbona upo bado usingizini mimi nipo huku kuwatia suna Wazungu kazi kwako.
 
Last edited by a moderator:
Seriously yaani madaktari wa Huku wananiambia it's my choice . Please nisaidieni .mume wangu ananiambia Niamue mimi mwanangu anamiaka 2 .alivyozaliwa nilikataa asifanyiwe circumcision niliogopa infection na maumivu.sina raha ushauri Wenu utanisaidia

Mwache akue nalo atakuja tolewa ukubwani kwa msaada wa walipa kodi wa marekani dondosha mkono sweta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom