Nataka ya peke yangu mie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka ya peke yangu mie

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NATA, Apr 20, 2011.

 1. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nataka jiko la peke yangu mie si kila mja anachakachua!

  Wapi ntapata aina hii?
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Acha uchoyo wewe!
  Kwanini utumie peke yako duh,...watanzania tuna share kila kitu!!!
   
 3. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ndio maana natamani urudi jukwaa la siasa!!!!!!!
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Jukwaa la Wakubwa kwishney
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  [SIZE=+0]mchezaji mzuri ni yule anayepata mechi nying za kirafki...................................[/SIZE]
   
 6. RR

  RR JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Unatafuta jiko sio.......lemme think....
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  susyyyyyy,...
  kwani uongo jamani?
  kama jirani yako hana jiko haruhusiwi kupikia jiko lako?
  basi mtaani kwenu wachoyo kweli,...
  sisi kwetu kama hauna jiko,tumia la jirani hadi utakapo nunua lako,..
  la kwako liki haribika pia,nenda kwa jirani maisha yanaenda kwa style hiyo
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Mchezaji mzuri ni yule anayepata mechi nying za kirafki.
   
 9. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Labda uwe na tembocard mastercard ndo waweza pata la peke yako!!!!!!!!!!!
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaha,wanalia hao,...
  angalieni pongezi zangu kwa mods.
  Asanteni sana mods
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Apr 20, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Habari yako mtu mzima?
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Si rahisi kupata kwa dunia ya leo,lazima mle na wenzio.
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  halafu kaka, mechi za ugenini si unajua kuwa kila gol utakaloscore,
  lina advantage, wenyewe wanasema'' away goal'',
  Ukirudi mechi ya nyumbani hata ukidraw tu,
  unapita round ya pili!!!!!!!
   
 14. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nipo mkubwa wangu,
  natafakari hapa jiko la peke yangu!!!!!!!
   
 15. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwakuwa unadhani majiko ni sawa na vyama vya siasa? leo upo NCCR Manunuzi kesho upo CCM???????????

  aaaaaaaaaaahhhhhhhh nakuja huko huko kuku PM naona leo hauko sawa ww!!!!!!!!
   
 16. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red upo sahihi, iwapo ni zile mechi za 'sports'
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  JIKO LAKO PEKE YAKO SI INSHU. Kama serikali (Tanzania), ilijaribu mfumo wa chama kimoja ikashndwa w utaweza 1-1?...... Mpango mzma n many to many
   
 18. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Nataka YA peke yangu = Nataka .. LA peke yangu?
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Apr 20, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Mzuka mwanawane...
   
 20. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  zote si michezo??????. More practise make perfect!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
  Pia jiko lako peke yako litakuongezea majukumu. Ila ikiwa mpo wengi mnagawana majukumu.
   
Loading...