Nataka watoto wawili, sitaki mke

Nataka watoto wawili, sitaki mke

Gogle

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,495
Reaction score
871
Habari wakuu

Wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25, nimefanya maamuzi magumu nimeamua kwamba sitaki kuwa na mke kwa maisha yangu yote, ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na mwengine wa kike kutoka kwa wanawake tofauti, hivyo natoa tangazo hapa kwamba natafuta wanawake wawili niwatie mimba kila mmoja anizalie mtoto mmoja.
Kwa ambae yuko tayari naomba tuwasiliane kwa gogle@gmail.com ili tuweze kukaa na mwanasheria wangu kwa ajili ya makubaliano ya kisheria na malipo, mwanamke hatokuwa na mamlaka yoyote kwa mtoto

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
 
Nenda kituo cha yatima. Unafikiri mimba zinatiwa tu kama unavyowaza, embu jitie wenyewe basi

Sitaki ku-adopt, nataka watoto kwa damu yangu mwenyewe, ni makubaliano tu Mkuu, punguza munkari
 
wewe wazazi wako wangekuzaa kwa staili hii ungekuwa chokoraa embu ona thamani ya mama na usiwanyime watoto haki ya kuwa na wazazi wote wawili bila sabab ya msingi na kama ipo inakuhusu wewe na sio watoto
 
Ivi hata huyo mwanasheria wako ulimshirikisha ili akusaidie mawazo?
 
Nani wa kutiwa mimba kijinga bila mipango ya maisha hiyo mimba kaweke kwenye mmea upandikize ili upate hao watoto.
 
Subiri ukue tena Kidogo,kisha utafakali upya maamuzi yako hayo
 
Back
Top Bottom