MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,444
- 69,265
hahahahaha will be waiting hommie..
Just make sure u holla when that grenade is thrown in..
If it happened that jamii forum was a Sicilian Mafia mob then Kahtaan could be the only one with the title Capo dei CapiSpeaking about kahtaan The Celebro Assassin i choose to remain silent and just laugh out loud.
teh teh teh teh teh teeeeeeeeeeh. JF raha sana.
Mimi ananichekeshaga sana wakiwa kwenye ligi zao za dini dah jamaa anaweza pambana na ID hata mia mwenyeweAlafu ile ID huwa inatokeaga kwa machale tu... Kuna siku alikuja na ID nyingine akamkomesha kweli swahiba Ngabu hahahaha
Kwa Dar kutongoza lzm uombe namba yake ya simu na kuanza kumtumia MIAMALAYaani hata kama si mzuri we mwambie ni bonge la mrembo, siyo?
Ama kweli uongo ni sehemu muhimu sana ya mahaba.
Wewe dogo acha kuweweseka na Matola, mimi nilifunguwa thread ya King Kiba Fans na siyo Ally Kiba na Diamond.Huwa ananifurahisha sana anavyovamia vitu visivyomuhusu...
Yeye mwenyewe ni mpenda ligi mpaka alifungua uzi wa ligi ya Ali Kiba na Diamond, leo anakuja kusema hapendi kufatilia ya watu JF zaidi ya kujifunza hehehehehe.. Alafu ana mentality moja ya kushambulia tu hata ambako hapaswi kushambulia..
If it happens that jamii forum was a Sicilian Mafia mob then Kahtaan could be the only one with the title Capo dei Capi
hehehehehe I'm here man... Nyani kasema hujui chochote eti..
Maan I've no worries... Huwa najua Nyani akishikwa anavyo behave..
Leo umepiga kwenyewe... Ndio maana huoni zile stunts zake..
Mkuu US baby tongoza mtoto huyo au una domo la zegeKutongoza ndo kukoje sasa?
Unasema nini?
Mkuu hukutaka kutumia AK 47, naona umeamuwa kushusha B52 bomber na umemaliza kazi.Yaani kutoka kidogo kwenda kui murder mall ndo mnatangaza ushindi?
Siwezi kaa kwenye laptop muda wote nakimbizana na wala vumbi bana.
But I know you are not that stupid...but then again what do I know...I could be wrong. You could very well be that breathtakingly stupid.
Now take that...take that.
So nilianzia hapo Saks....nimechukua pair mbili za Balmain jeans na shati moja la Belstaff.
View attachment 371594
Then nikaenda hapo kuangalia timepieces....
View attachment 371595
Sijakaa sawa kumbe bi mdogo keshafika huko basi ikabidi nimfuate. Nikamchukulia pair mbili za diamond-platinum studs. Versace baby...Medusa baby.
View attachment 371596
Hapo tunarudi nyumbani....Peachtree Road hiyo...
View attachment 371597
Now I'm back at the crib. Unaona bendera hiyo inaning'inia hapo? USA baby...ππ.
View attachment 371598
Vipi sasa....niongeze?
Btw, R.I.P. to the mall coz we murdered it.
Yaani kutoka kidogo kwenda kui murder mall ndo mnatangaza ushindi?
Siwezi kaa kwenye laptop muda wote nakimbizana na wala vumbi bana.
But I know you are not that stupid...but then again what do I know...I could be wrong. You could very well be that breathtakingly stupid.
Now take that...take that.
So nilianzia hapo Saks....nimechukua pair mbili za Balmain jeans na shati moja la Belstaff.
View attachment 371594
Then nikaenda hapo kuangalia timepieces....
View attachment 371595
Sijakaa sawa kumbe bi mdogo keshafika huko basi ikabidi nimfuate. Nikamchukulia pair mbili za diamond-platinum studs. Versace baby...Medusa baby.
View attachment 371596
Hapo tunarudi nyumbani....Peachtree Road hiyo...
View attachment 371597
Now I'm back at the crib. Unaona bendera hiyo inaning'inia hapo? USA baby...ππ.
View attachment 371598
Vipi sasa....niongeze?
Btw, R.I.P. to the mall coz we murdered it.
Mkuu hukutaka kutumia AK 47, naona umeamuwa kushusha B52 bomber na umemaliza kazi.
Kwa mla vumbi na viza refusal victim hapo umemaliza mchezo watabaki warukaruka tu kama mabata bukini.
Yap ma niggar, aminia mbelez ni mbelez buana, watu wana stress za Magufuli wanataka kuzipunguzia kwa watu wengine.Hawa wala vumbi wanadhani muda wote tu mtu umekaa kulumbana nao humu.
Natoka tena...ngoja nikale sirloin steak Fogo de Chao.
Nikirudi ni mapicha tu.
Yap ma niggar, aminia mbelez ni mbelez buana, watu wana stress za Magufuli wanataka kuzipunguzia kwa watu wengine.
Watu Bongo wanakaribia kupandwa na vichaa kwa stress za maisha.
Picha pls tunazisubiri kwa hamu, zimwage za kutosha tu.
Usitalajie kupendwa na losers kwa style hii, mitanzania ilivyo na roho mbaya inapenda kila mtu mfanane shida.Nimepitia kwanza supermarket maana nimeishiwa lemonade nyumbani....
View attachment 371601
Then nampitia Monique [ totoz] hapo kwenye townhome yake....
View attachment 371602
Tuko njiani sasa tukielekea Fogo de Chao.....
View attachment 371603
Tumekaribia kufika...tumebakiza kama nusu maili hivi....
View attachment 371604
Mmh, Hebu mwaga mchele MkuuWana dizaini yao na wenyewe yaani unapita nae fasta bin vuu!Yaani najihisi nilishakubuhu kwenye hizi papuchi
Uncle Ben, Good to see you bro!
Sasa nacheka jinsi huyo jamaa MATOLA na baadhi ya watu wanavyonitukana hata mambo hayawahusu.
FisadiKuu bruh mchukulie poa huyu jamaa kwasababu our game begins now. More is yet to come.
πππππππ
Belinda hiyo lip shine inadondoka.. Be careful
Well well well.
Look who we have here.
Hicho ki-Pinocchio Gri nini sijui ni chakula au ni aina ya usafiri?
Sikuweziiiiiiihahahahahaha nilifikiri unapita kimya kimya... Pitia nondo hizo huko juu