jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Umwambie unampenda!! Kimapenz sasa kama kuangaliana si hata wanawake nao huangalianaKuna siku moja hivi nilikuwa sina hili wala lile. Nimekaa tu nyumbani naangalia dari, kuta, na sakafu za marumaru.
Basi nikampigia simu mshkaji kuona ana mpango gani kwa jioni ile.
Akasema 'Ngabu kwa nini tusiende Ramada tukajivinjari hapo?'. Nikasema poa. Nikaenda nikamkuta tayari keshafika yuko na wachuchu wawili.
Nikaagiza Pinot Grigio halafu nikajichanganya naye. Sasa nikawa nimevutiwa na yule binti mwingine, Janeth.
Nikaanza kupiga naye stori na mambo mambo. Sasa huhitaji kuwa mwanasayansi wa roketi za anga kung'amua kama nilikuwa nimemtamani. Hata yeye aliliona hilo lakini akawa anajishebedua tu.
Baadaye ndo akaniambia eti anataka nimtongoze. Nikapigwa na butwaa. Ina maana wakati wote huo nilikuwa simtongozi?
Kutongoza ndo kukoje kwani? Ni lazima useme maneno gani? Maana huenda hiyo sehemu ya mchezo mi bado sijaijua.
Hahahahahahahah.... Umenikumbusha Mbali sana .... You made my day
Ngosha tulia bana wakubwa zako tuongeeMweh...yaani unajitahidi kweli. Ila ulivyo 'mzuri' utafanikiwa tu Mngoni weye. Na huo utamu wenu ni definite plus.
Namjua sana Matola mkuu ,huyu jamaa yupo kama mbogo aliyejeruhiwa muda wote ,ngoja atakuja utamwona atakavyo bwabwaja ,hehehehehehehe mkuu unapoteza muda na huyo mtu?? Kwani wewe humjui kwa vituko na vibweka vyake humu..
Bitch acting like he knows everything...
Dah hapa umekuwa humble sana vipi nini kimekusibu ?? Sasa nilitaka nikufundishe njia nyingine ya kufanya tracking ila kwa sababu umeweka nondo za geology meza hizo kwanza siku nyingine nikupe darasaBy the way i have nothing to hide, na nina good friends humu tunaomingo kivyetu out of JF business.
Juzi nilijfunza Tor browser leo nilikuwa na wataalamu wa geology na nimejifunza mengi pia, how do you think JF ilivyo useful kwangu instead of Attention seeking?
Ngosha tulia bana wakubwa zako tuongee
hehehehehehe Tor Browser.. Hivi mtu akijua wewe ulipo kuna ubaya gani??Namjua sana Matola mkuu ,huyu jamaa yupo kama mbogo aliyejeruhiwa muda wote ,ngoja atakuja utamwona atakavyo bwabwaja ,
View attachment 371583 View attachment 371584
View attachment 371585
Ndio ya upande huu wa mjini au ile ingine?
Yalaaaaaaaaaa...natumaini sio wewe mleta mada ha hahaaaaaa sababu nilikuona...😉😀
hahahahahahahahaha daaahDah hapa umekuwa humble sana vipi nini kimekusibu ?? Sasa nilitaka nikufundishe njia nyingine ya kufanya tracking ila kwa sababu umeweka nondo za geology meza hizo kwanza siku nyingine nikupe darasa
We nae uliniona wapi mimi?
HUYO MWANAMKE ATAKUWA MCHAGA TENA MMERU HATA MIE ISHANIKUTAGA NAMTONGOZA ANANIAMBIA BADO HAUJANITONGOZA VIZURI
Hahahaha halafu average person atakayetumia IP address kufanya tracing sana sana atakacho ona ni region au City uliyopo ,hawezi kujua majina yako wala chochote sasa mbaya zaidi ukute unatumia Wi-Fi ndio kabisa hawakupati ,vingine wataenda tu kwa ISP kupata majina na adress ya mtumiaji ,ambavyo kukupata pia ni kazi nyingine kwa sababu anayelipia internet anaweza akawa sie ndie aliyetumia ,basi Matola na Tor browser yake kaikomalia kweli kweli wakati ina VPN tuhehehehehehe Tor Browser.. Hivi mtu akijua wewe ulipo kuna ubaya gani??
Au ndio wale wa kudanganya wako sehemu fulani angali hawako huko.. Yaani unaanza kutumia mabrowser kibao ili tu uhide sehemu ulipo?? Kwani humu JF kuna uhalifu unafanya mpaka upate shida zote hizo..
Nimeka picha hizo nilipiga ulipopataja siku tofauti, hivyo ikanijia habari yako ka moja niliyoishuhudia...hilo tu...
Mbona hata sikuelewi....nimepataja wapi mimi?
Ramada...ila unavyomdharauga mzurimie mtoto wa uswazi duh!!!!...haya napita.
Mi huwa nakudharau wewe? Unanisingizia....