Nataka Unitongoze

Status
Not open for further replies.
hahahahahahahaha mkuu mbona unacharaza hivi... Ina maana mpaka kwenye pages zake za mitandaoni unazijua..

hahahaha aiseee, ngoja niende nikasake data nikishindwa nitarudi hapa.. Lakini kabla sijaenda, huyu jamaa amesomea wapi na wapi??
 
Isee kumbe watu majinga huwa hamuishi humu? Unajuwa hakuna ujinga uliopindukia huku duniani kama kumfuatilia mtu ambaye yeye hakufuatilii wala hatambuwi kama una exist.

Nikupe tu siri ndogo wajanja wote wa kitambo hapa hata IP zao ni untraceable, unaujuwa tor browser?

Ujinga huu ndio unanikumbusha kuna wajinga wanaofanana ujinga na wewe walitaka kutuaminisha JF kwamba Kiranga ndio John Mashaka kitu ambacho si kweli hata chembe.
 

Teh teh teh teh !
Kwa hiyo na wewe ni mjanja siku hizi?
Bwahaaaa bwaahaaaaaa.
Hivi mimi nifiche IP address hata ukinijua utanifanya nini???
Huwezi nifanya kitu zaidi zaidi utaishia kujua IP kama mods pamoja na kujua ID zangu tatu kubwa ambazo zimo humu.
Na hata ukinijua huwezi nisogelea wala kunifanya chochote wewe MATOLA.

Swali langu ni hili tu!
MBONA UNAHANGAIKA SANA KUMTETEA MWANAUME MWENZAKO AMBAYE AMENYAMAZA KIMYA?
 
Nyerere aliwadanganya sana. Mi mzee wangu alisomeshwa Uganda na babu yangu, kuanzia secondary hadi university kwa kutumia biashara ya ng'ombe na almasi..

Listen Amigo,
Babu yako kusoma toka kipindi hicho Uganda ni jambo jema sana.
Lakini wa kusoma Marekani miaka ya 60's and 70's chuo kikuu kwa hela ya Ngombe au migomba ya kwetu huku Uhayani hayupo mzee.
Mimi babu yangu alikuwa chifu na anafanya biashara kweli huku Uhayani lakini wazee wangu walisoma kupitia THE ROCKEFELLER FOUNDATION.

Halafu mbona hii mada inawaumiza sana mazeee?
Vipi kunani tena?
 
Achana na huyo jamaa... Huwa ana tabia ya kudandia vitu visivyomuhusu..
 
Hahahah nimekaa pembeni nafuatilia mambo yako na Fisadi ,halafu nikakumbuka wakati fulani nyuma ulitoa ahadi hii

Respeck kwako Mali
 
Eish.... Umemtaja Kiranga wangu moyo ukadunda kama kitenesi
 
Aisee Matola tokea ujue hili la Tor browser juzi tu hapa kwenye uzi ule wa Dark web basi kila mahali ni Tor browser ......besides kum track mtu sio lazima utumie IP Adress
 
Vp na ww huna mkia kama wale wenzako
 
Aisee Matola tokea ujue hili la Tor browser juzi tu hapa kwenye uzi ule wa Dark web basi kila mahali ni Tor browser ......besides kum track mtu sio lazima utumie IP Adress
hehehehehehehe mkuu unapoteza muda na huyo mtu?? Kwani wewe humjui kwa vituko na vibweka vyake humu..

Bitch acting like he knows everything...
 
Sasa umekaa n mwanamke muda wote unaongea bout uaself hlf baadae useme mwanamke hajakuelewa kua unataka nn kwake jmn. Mm naona kua mwanamke ambaye hauko naye karibu ni lzm umtongoze "approaching" kumsogeza na atambue unataka nn coz anataka kusikia moyo wako ukisema naye kupitia mdomo. N ambayo unaweza pewa time ya kungojea majibu au ukajibiwa apo apo. Teh
Lkn kwa mwanamke ambaye mko karibu na ni frnds hakuna haja ya kutongozana feelings znapokuja mnashangaa mmekua wapenz 2 out of nowhere.
 
Aisee Matola tokea ujue hili la Tor browser juzi tu hapa kwenye uzi ule wa Dark web basi kila mahali ni Tor browser ......besides kum track mtu sio lazima utumie IP Adress
By the way i have nothing to hide, na nina good friends humu tunaomingo kivyetu out of JF business.

Juzi nilijfunza Tor browser leo nilikuwa na wataalamu wa geology na nimejifunza mengi pia, how do you think JF ilivyo useful kwangu instead of Attention seeking?
 
Kuna mda alikuwepo,myb atakua bze.... Yuko poa sana huyu mtu hanaga makuu

Mweh...yaani unajitahidi kweli. Ila ulivyo 'mzuri' utafanikiwa tu Mngoni weye. Na huo utamu wenu ni definite plus.
 
Kiranga is Great man of all time, naipenda style yake, leo sijapishana naye humu kwenye corridor.

So nilikaa pembeni nione kama kuna jipya lakini wapi.

Ni tirarira zilezile tu.

Wahshi kabisa hao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…