Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Hii comment safi sana!
Mulemule
 
Mzima? Uwa nashindwa kukuelewa.
 
Julius Maghembe nakumbuka wakati tunasoma, ulikuwa mjinga sana darasani, kamasi mpaka mdomoni, kumbe bado una ujinga ule ule. Jana ulimpinga ashindwe leo unamuunga mkono ashinde kwa yale yale matendo uliyopinga awali kama sio ujinga ni nini??
 
Mimi natamani January makamba, nape nnauye na wote walioshadadia sheria ya mitandao wafe tuwazike tumalize shida. By the way nna maono watakufa soon

Na jela siendi na nisharopoka maono ya Lema
Mmoja alinusurika kupigwa risasi,vp bado dua yako inaendelea?
 
Hajanusirika kupigwa risasi bali alinyooshewa bastola. Kunusurika maana yake risasi imefyatuliwa ila ikakukosa
kushindwa kufanyika ndiyo kunusurika kwenyewe . Kwani bastola ni kitu ni kitu cha kawaida kuonyeshewa.
 
Tatizo lako Nyani Ngabu ni kubadilika badilika kwako kama kinyonga.Leo umesema vyema kabisa kwamba huyu jamaa apingwe.Lakini muda si mrefu utakuja kumsifia tena!!
 
Tatizo lako Nyani Ngabu ni kubadilika badilika kwako kama kinyonga.Leo umesema vyema kabisa kwamba huyu jamaa apingwe.Lakini muda si mrefu utakuja kumsifia tena!!
Kubadilika ni kitu cha kawaida kwa binadamu. Wapo waliokuwa wanamsema vibaya Mh. Lowassa kwamba eti ni fisadi; sasa hivi wamebadilika na wanamsifia baada ya kumfahamu vizuri! Hadi wanatamani awe presida wao!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…