mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,710
- 7,219
Mkuu mbona yeye hukosoa mara nyingi tuKuna kila dalili mshiko wa phase two umecheleweshwa hivyo hii ni njia ya kuwakumbusha
Mkuu mbona yeye hukosoa mara nyingi tuKuna kila dalili mshiko wa phase two umecheleweshwa hivyo hii ni njia ya kuwakumbusha
He needs to keep his cool. Actually sijawahi kumuona akiwa hiviPunguza povu nyani
Sana.Umewaza mbali sana hahahahah daah
Dah kweli watu wameamua.Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo.
Kuunga juhudi sio mbaya ilimradi bado anaendelea kukosoa pale anapoona inastahiliJamaa kashaunga juhudi za mkuu kitambo....
Mwenyewe anasema bado anasimama na alichoamdika, hajabadilikaUfukuaji huu unaweza kuua mtu.
TDah kweli watu wameamua.
Anasema tu,lakini leo kila atakaebisha hodi lazima presha ipande.Mwenyewe anasema bado anasimama na alichoamdika, hajabadilika
Tusaidiane kuyafukua aisee. Makaburi ni mengi..Ufukuaji huu unaweza kuua mtu.
Ni kweli hakuna jinsi,ukiwa mnafiki jaribu kuwa na kumbukumbu.Tusaidiane kuyafukua aisee. Makaburi ni mengi..
Ni kama Mpendazoe hapo Zamani. Ila Leo hata ubaya zaidi ya wakale wanasifia. Chezea mshiko!Mkuu mbona yeye hukosoa mara nyingi tu
DuhNi kama Mpendazoe hapo Zamani. Ila Leo hata ubaya zaidi ya wakale wanasifia. Chezea mshiko!
Hatari sanaAnasema tu,lakini leo kila atakaebisha hodi lazima presha ipande.
Hahaaa.. Nyani bhana ana mambo.Miafrika ndivyo tulivyo, tuvumiliane
Siku hizi ukiandika hivi unaenda jela miezi 6 bila dhamana wala rufaa, japo wishes zangu zilezile Mungu ampende zaidi tuchague mwinginecc mng'oa kucha
😀Hahaaa.. Nyani bhana ana mambo.