comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,951
Umewaza mbali sana hahahahah daah
Chana verse Nyani Ngabu, achana na Nyumbu, ni ng'ombe tuHivi hushangai kuona hawa nyumbu wanapiga vigeregere kuhusu jambo ambalo linajulikana siku nyingi?
Yaani wamefurahi kana kwamba sijui wamegundua boooonge la siri!
Mimi niliamua kwa makusudi kabisa kutokuwa na upande ili niwe huru kimaoni.
Na ndo maana sioni shida kumchana Magufuli nikiona kakosea na sipatwi na kigugumizi kuwachana CHADEMA nikiona wamekosea.
Kwani suala la watu kutokuwa na chama hapa Tanzania ni dhana iliyo foreign au?
Hahahaaa jinga wewe.
Leo umetaga mayai mangapi?Hivi hushangai kuona hawa nyumbu wanapiga vigeregere kuhusu jambo ambalo linajulikana siku nyingi?
Yaani wamefurahi kana kwamba sijui wamegundua boooonge la siri!
Mimi niliamua kwa makusudi kabisa kutokuwa na upande ili niwe huru kimaoni.
Na ndo maana sioni shida kumchana Magufuli nikiona kakosea na sipatwi na kigugumizi kuwachana CHADEMA nikiona wamekosea.
Kwani suala la watu kutokuwa na chama hapa Tanzania ni dhana iliyo foreign au?
Tuendelee kumchana kila mara... Anaboa hajui nini afanye na kwa wkt gani. Halafu anaamini ktk mawazo yake tu.Mbona majuzi tu hapa nilimchana kuhusu msimamo wake wa kuwanyima fursa ya kuendelea na elimu wasichana wasomao shule za msingi.
Hukuona?
Last time naucheki huu uzi ulikuwa na likes 209 mwaka 2017! Hadi leo kuna wanaoupenda huu uzi kasoro Nyani Ngabu anatamani malaika washuke waufute.
ashindwe kweliMiezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tumekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali.
Baadhi yetu tuliyachukulia maneno hayo kama ishara ya mambo yajayo kuhusu uminywaji wa hii mitandao na haki ya watu kuitumia kwa kujieleza, kutoa maoni, na kuikosoa serikali.
Sasa kitendo kilichotokea jana cha kukamatwa kwa Max kimethibitisha kuwa huu utawala wa Magufuli umeazimia kutuziba midomo kwa kutumia mabavu ya dola.
Kwa hilo mimi nataka huyo Magufuli ashindwe na alegee kabisa. Sitaki kabisa afanikiwe hata kidogo na watu wote wenye akili zao timamu hawana budi kumpinga na kuifanya hiyo azma yake iwe muhali.
Kupinga udhalimu ni jambo la adhama. Na huyu mtu tayari keshaonyesha dalili zote za udikteta. Hivyo tumpinge kwa pumzi na nguvu zetu zote. Kwanza ni mtumishi wetu na si vinginevyo.
Hizi siyo zama za kupelekeshana kwa vitisho. Haogopwi mtu zama hizi.
Akichemka tutamkosoa tu. Akichapia Kiingereza tutamcheka tu. Kama hana ngozi nene ya kuweza kumudu na kuvumilia kuongelewa kwa namna yoyote ile basi aondoke. Aachie ngazi.
Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha.
Sikuwahi hata siku moja kudhani kuna mtu angekuja kumpiku JK kwenye ubomu lakini ndani ya mwaka tu huyu jamaa keshamuacha mbali mno JK. Pata picha hiyo miaka minne iliyobaki hali itakuwaje.
Huyu mtu tumdindie. Tukinywea atavimba kichwa na kujiona ana nguvu nyingi ilhali hana. Hana nguvu za kuweza kuzidi nguvu ya umma.
Kwa hiyo mimi nataka ashindwe. Tena ashindwe vibaya. Je wewe mdau wasemaje?
Jamaa amekuwa mkali kama Simba aliyeshikwa makalio!Wewe na nyumbu wenzako hamna uwezo wa kugundua chochote ndo maana mnajichekesha hapa kana kwamba mmegundua jambo jipya wakati hakuna kipya.
Akili zenu ndogo zinawatuma mdhani kila mtu ni lazima ama awe CHADEMA au CCM.
Hamna kabisa uwezo wa kutambua na kung’amua kuwa si kila mtu yupo hivyo.
Nimeshamchana sana Magufuli hapa na ukweli huo wala siyo siri.
Nimeshawachana sana CHADEMA na wengine wa upinzania. Na ukweli huo wala siyo siri.
Sasa hivi vigelegele mnavyopiga hapa ni vya nini? Mmegundua jambo jipya ama?
Mlikuwa wapi siku zote nilizowahi kumpinga Magufuli humu?
Mbona ni suala lililo wazi kabisa!
Nawachana CHADEMA, namchana Magufuli, naichana CCM, naichana ACT, nawachana wote nisiokubaliana nao.
Au wewe na wenzako katika akili zenu mnadhani huwezi ukakubaliana na mtu katika suala moja na ukatofautiana naye katika jambo jingine?
Majuha kabisa nyie. Eti mmefukua makaburi!
Makaburi gani hayo?
Nina nyuzi mia kidogo humu zinazoichana CCM, Kikwete, Magufuli, Mkapa, Mbowe, Lissu, Zitto, na wengineo wengi tu.
Siku zote mlikuwa wapi msiyajue hayo?
Pumbavu kabisa. Na ndo maana nasema hamna akili na hilo bandiko mmelisoma lakini hamjalielewa.
**** kama jiwe.
Miezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tumekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali.
Baadhi yetu tuliyachukulia maneno hayo kama ishara ya mambo yajayo kuhusu uminywaji wa hii mitandao na haki ya watu kuitumia kwa kujieleza, kutoa maoni, na kuikosoa serikali.
Sasa kitendo kilichotokea jana cha kukamatwa kwa Max kimethibitisha kuwa huu utawala wa Magufuli umeazimia kutuziba midomo kwa kutumia mabavu ya dola.
Kwa hilo mimi nataka huyo Magufuli ashindwe na alegee kabisa. Sitaki kabisa afanikiwe hata kidogo na watu wote wenye akili zao timamu hawana budi kumpinga na kuifanya hiyo azma yake iwe muhali.
Kupinga udhalimu ni jambo la adhama. Na huyu mtu tayari keshaonyesha dalili zote za udikteta. Hivyo tumpinge kwa pumzi na nguvu zetu zote. Kwanza ni mtumishi wetu na si vinginevyo.
Hizi siyo zama za kupelekeshana kwa vitisho. Haogopwi mtu zama hizi.
Akichemka tutamkosoa tu. Akichapia Kiingereza tutamcheka tu. Kama hana ngozi nene ya kuweza kumudu na kuvumilia kuongelewa kwa namna yoyote ile basi aondoke. Aachie ngazi.
Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha.
Sikuwahi hata siku moja kudhani kuna mtu angekuja kumpiku JK kwenye ubomu lakini ndani ya mwaka tu huyu jamaa keshamuacha mbali mno JK. Pata picha hiyo miaka minne iliyobaki hali itakuwaje.
Huyu mtu tumdindie. Tukinywea atavimba kichwa na kujiona ana nguvu nyingi ilhali hana. Hana nguvu za kuweza kuzidi nguvu ya umma.
Kwa hiyo mimi nataka ashindwe. Tena ashindwe vibaya. Je wewe mdau wasemaje?
Jibu nilichokuuliza.Unaona sasa!
Kumbe hata hujaelewa ulichokisoma!
Pitiful!!!!
Na ameshashindwa tayari. Maombi ya Nyani yamesikilizwa kila sector...
Akikujibu nitag mkuuJibu nilichokuuliza.
Bado unataka Rais wetu Ashindwe?
HahaaaJamaa amekuwa mkali kama Simba aliyeshikwa makalio!
Hongera mkuu kwa kusimamia unachokiamini. Wewe sio mnafki mwingine angebadili maneno auHaiba hana. Hajawahi kuwa nayo na hatokuwa nayo. Lakini kwa sasa ndiye rais halali wa nchi, hata kama wengine ukweli huo unawauma.
Anafaa kuwa rais? Kwa mtazamo wangu hafai. Lakini hilo si hoja maana yeye ndiye rais kwa sasa.
Nimejibu maswali yako?
Amesema anasimama na alichoongea na hajabadilikaAkikujibu nitag mkuu
Mkuu, mleta uzi hajabadili msimamo juu ya alichoongea. Tusimuite majina mabayaChangudoa sio lazima atege wanaume tu wengine ni wale wasiokuwa na msimamo kama wewe (kahaba wa JF). Tunamshukuru mfukua kaburi hili inaonyesha jinsi gani usivyo na msimamo
Kwa nini unasema anatumikaUnatumika wewe huna lolote...una nyuzi nyingi za kusifia ujinga humu..