Hahahahaha....Hakuna kilichogeuka katika msimamo wangu!
Tatizo ni akili yako. Una akili ndogo sana.
Wewe mwenye akili yako kubwa hebu tueleze sasa. Ulikuwa unamaanisha nini kwenye uzi wako huu?
Tupo tunakusikiliza
Hahahahaha....Hakuna kilichogeuka katika msimamo wangu!
Tatizo ni akili yako. Una akili ndogo sana.
Hahahahaha....
Wewe mwenye akili yako kubwa hebu tueleze sasa. Ulikuwa unamaanisha nini kwenye uzi wako huu?
Tupo tunakusikiliza
Sasa hivi wewe unaweza kumkosoa?Nilikuwa namaanisha hapendwi mtu.
Yeyote yule anakosolewa.
Siyo kama nyie manyumbu ambao hamuwezi kumkosoa mfalme wenu.
Sasa hivi wewe unaweza kumkosoa?
Nikikupa nafasi ya kumkosoa kwenye jambo lolote lile SASA HIVI unaweza?
Mkuu DOUGLAS jamaa ni yupi hapo?
Sioni tofauti ya nyani ngabu na wema!
Au Fred Mpendazoe. Wote ni watu wa aina moja. Wanatafuna maneno yao wenyewe bila hata aibu.Sioni tofauti ya nyani ngabu na wema!
Wewe ni Popo hujui usimamie lipi, Naona kamanda ngabu umekamatwaNdiyo.
Naweza sana tu, much to your chagrin!
Labda kapata uteuzi mkuu maana sio kwa sifa anazompaEti alikuwa anabana pua "nataka raisi Magufuli ashindwe" kwenda huko! Leo ndio anasema hakuna kama yeye katika nchi hii na misifa chungu nzima. Sijui kalipiwa bili ya nini huyu! Kuna wakati nilisema au Nyani Ngabu ka rest in peace na mrithi wake kachukua nywila yake anaendelea kuandika JF?
Au tumpime kwa kiingereza tujue kama Ngabu wa sasa huyu fake au OG..Eti alikuwa anabana pua "nataka raisi Magufuli ashindwe" kwenda huko! Leo ndio anasema hakuna kama yeye katika nchi hii na misifa chungu nzima. Sijui kalipiwa bili ya nini huyu! Kuna wakati nilisema au Nyani Ngabu ka rest in peace na mrithi wake kachukua nywila yake anaendelea kuandika JF?

kweli hiyo!mkabira huyu! kule kwao huyu ni mchawi tiyali hafaii!alikuja kujua baadaye Sizonje Ni msukuma mwenzake
Huyo mwenye kofia na miwani.Mkuu DOUGLAS jamaa ni yupi hapo?
Hebu kosoa jambo moja tu tusikie.Ndiyo.
Naweza sana tu, much to your chagrin!
Mbana pua. Keishapewa kitu si bure.Eti alikuwa anabana pua "nataka raisi Magufuli ashindwe" kwenda huko! Leo ndio anasema hakuna kama yeye katika nchi hii na misifa chungu nzima. Sijui kalipiwa bili ya nini huyu! Kuna wakati nilisema au Nyani Ngabu ka rest in peace na mrithi wake kachukua nywila yake anaendelea kuandika JF?
Kwani mtu ukitoa maoni yako pasipo kutoa matusi au ukianzisha uzi wenye uhalisia na usio wa kichochezi unakuwa na hofu ya nini?
Tatizo lililopo kuna baadhi yetu tumekuwa maarufu kutunga stori za uongo na kuzijengea hoja then tunataka jamii iamini kama ni kweli kumbe ni upotoshaji
Mtu kama umeanzisha mada yako na ushahidi unao kwa nini uogope? Endapo utahitajika polisi si unapeleka ushahidi?
Fikiria mtu anayeanzisha uzi hapa eti Dangote anahamishia kiwanda Kenya na hizo habari zinasambaa dunia nzima kumbe ni uonge pasipo kufikiria negative impacts kwa wawekezeji walioko huko nje. Mtu kama huyu leo hawezi fanywa kitu sababu tu anatumia ID feki sishangai kesho akaibuka na jambo jingine
Watu wa namna hii lazima washughulikiwe hakuna kulea ujinga. Watanzania tumekuwa maarufu sana wa kupika majungu
Ninakubaliana na wewe kabisa uhuru wa kutoa maoni lazima uheshimiwe na watawala kwani ni takwa la kikatiba lakini uhuru huo lazima uzingatie utu na nidhamu.
Leo mtu akimchukia mtu flani sababu za kiitikadi za vyama au jambo lolote, kesho anamtungia tuhuma na kusambaza kwenye mitandao. Vitu vya namna hiyo siyo vya kulea