Hawa walikua mapandikizi tu...Ndo maana UKUTA ulikuwa na maana sana, baadhi ya watu walipoguswa na mkono wa chuma wa awamu ya 5 kwamba eti ni mafisadi tulikaa kimya maana sisi hatukuwa mafisadi, wakafunga ajira zote, tulikaa kimya maana sisi tuna ajira, sasa wanaminya Uhuru wa habari na mitandao ya kupata habari ndo tunajikuta hakuna mtu wa kutusemea tena zaid ya kuvumilia haya maumivu. Hebu tujikumbushe kwa pastor Martin Niemoller.
Martin Niemöller (1892–1984) was a prominent
Protestant pastor who emerged as an outspoken public foe of Adolf Hitler and spent the last seven years of Nazi rule in concentration camps.
Niemöller is perhaps best remembered for the quotation:
First they came for the Socialists, and I did not speak out—
Because I was not a Socialist.
Then they came for the Trade Unionists, and I did not speak out—
Because I was not a Trade Unionist.
Then they came for the Jews, and I did not speak out—
Because I was not a Jew.
Then they came for me—and there was no one left to speak for me.
The quotation stems from Niemöller's lectures during the early postwar period. Different versions of the quotation exist. These can be attributed to the fact that Niemöller spoke extemporaneously and in a number of settings. Much controversy surrounds the content of the poem as it has been printed in varying forms, referring to diverse groups such as Catholics, Jehovah's Witnesses, Jews, Trade Unionists, or Communists depending upon the version. Nonetheless his point was that Germans—in particular, he believed, the leaders of the Protestant churches—had been complicit through their silence in the Nazi imprisonment, persecution, and murder of millions of people.
Only in 1963, in a West German television interview, did Niemöller acknowledge and make a statement of regret about his own antisemitism (see Gerlach, 2000, p. 47). Nonetheless, Martin Niemöller was one of the earliest Germans to talk publicly about broader complicity in the Holocaust and guilt for what had happened to the Jews. In his book Über die deutsche Schuld, Not und Hoffnung (published in English as Of Guilt and Hope)—which appeared in January 1946—Niemöller wrote: "Thus, whenever I chance to meet a Jew known to me before, then, as a Christian, I cannot but tell him: 'Dear Friend, I stand in front of you, but we can not get together, for there is guilt between us. I have sinned and my people has sinned against thy people.
JPM ndiyo chaguo letu kama hukumpigia kura isikuume kaa kimyaaaa, umeandika povu jingi as if wewe ni MUNGU kumbe huna lolote hujui chochote! unachonganisha watu tu humu ndani, kwa taarifa yako tumeweka pamba masikioni, kama inakuuma yeye kuwa Rais wa Tanzania kunywa SUMU ufe upotee kabisaaa usionekane humu JF. Just simple kanywe sumu ufe tuachie RAIS WETU, Hata kama humpendi huyo ndiyo RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, hakuna mwingine.Miezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tumekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali.
Baadhi yetu tuliyachukulia maneno hayo kama ishara ya mambo yajayo kuhusu uminywaji wa hii mitandao na haki ya watu kuitumia kwa kujieleza, kutoa maoni, na kuikosoa serikali.
Sasa kitendo kilichotokea jana cha kukamatwa kwa Max kimethibitisha kuwa huu utawala wa Magufuli umeazimia kutuziba midomo kwa kutumia mabavu ya dola.
Kwa hilo mimi nataka huyo Magufuli ashindwe na alegee kabisa. Sitaki kabisa afanikiwe hata kidogo na watu wote wenye akili zao timamu hawana budi kumpinga na kuifanya hiyo azma yake iwe muhali.
Kupinga udhalimu ni jambo la adhama. Na huyu mtu tayari keshaonyesha dalili zote za udikteta. Hivyo tumpinge kwa pumzi na nguvu zetu zote. Kwanza ni mtumishi wetu na si vinginevyo.
Hizi siyo zama za kupelekeshana kwa vitisho. Haogopwi mtu zama hizi.
Akichemka tutamkosoa tu. Akichapia Kiingereza tutamcheka tu. Kama hana ngozi nene ya kuweza kumudu na kuvumilia kuongelewa kwa namna yoyote ile basi aondoke. Aachie ngazi.
Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha.
Sikuwahi hata siku moja kudhani kuna mtu angekuja kumpiku JK kwenye ubomu lakini ndani ya mwaka tu huyu jamaa keshamuacha mbali mno JK. Pata picha hiyo miaka minne iliyobaki hali itakuwaje.
Huyu mtu tumdindie. Tukinywea atavimba kichwa na kujiona ana nguvu nyingi ilhali hana. Hana nguvu za kuweza kuzidi nguvu ya umma.
Kwa hiyo mimi nataka ashindwe. Tena ashindwe vibaya. Je wewe mdau wasemaje?
Wewe ni Duterte wa Ufilipino?Vijana wa Kitanzania mnaongoza kwa UNAFIKI ulimwenguni. Unatumia Fake ID humu JF wakati huo huo unahoji Uhalali na Utendaji wa Rais wa Jamhuri ya Muungano! Ama kweli wapiga Dili mmeshikwa pabaya.
nimechelewa kuona post yako ndugu. kwanza kabisa nimelelewa na mama pekee kwa maisha ya kifukara sana, hivyo kati ya watu wanaofahamu na waliokulia maisha magumu basi mimi.Mkuu uta nisamehe kama nitatumia Kauli mbaya.
Kwanza kabisa naamini hujui shida za watanzania , hujui maisha ya watanzania ndio maana unaongea kirahisi kama ungejua watanzania wana umasikini kiasi gani usinge ongea.
Pili naamini umekulia katika mikono salama ktk familia iliyojaa kwa kunufaika na lasilimali za wanyonge pasina kujua hujui shida ninini Lakini ni mfumo uliokukuza na kukuathiri ila ipo siku utajua Mungu aendelee kukupa maisha.
Tatu niambie ktk inchi isiyo kuwa na miundo mbinu ya kilimo kama sikimu za umwagiliaji na kilimo bora kwa ujumla na ina 88% ya wakulima inawwzaje kuendelea?
Mwisho naomba kufahamu Elimu yako inahusiana na nini?
Nesi au daktar wa mifugo au watu, elimu ya siasa, mhandis nikifahamu nitajua kwa nini unachukulia mambo kirahisi.
JPM ndiyo chaguo letu kama hukumpigia kura isikuume kaa kimyaaaa, umeandika povu jingi as if wewe ni MUNGU kumbe huna lolote hujui chochote! unachonganisha watu tu humu ndani, kwa taarifa yako tumeweka pamba masikioni, kama inakuuma yeye kuwa Rais wa Tanzania kunywa SUMU ufe upotee kabisaaa usionekane humu JF. Just simple kanywe sumu ufe tuachie RAIS WETU, Hata kama humpendi huyo ndiyo RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, hakuna mwingine.
Kwan ukigonga like unaitwa mchochezi? Inabidi niishie kwenye like kwa sababu nilikuwa na mchango ila mengi yamefanana na yangu
Na kwa swali lako la pili, nina degree ya miamba ambayo nimepata kwa tabu mwaka huu. elimu yote ni kwa msaada wa mama na ndugu. sijaajiriwa ila nimejiajiri kwa kilimo na nitatoka.Mkuu uta nisamehe kama nitatumia Kauli mbaya.
Kwanza kabisa naamini hujui shida za watanzania , hujui maisha ya watanzania ndio maana unaongea kirahisi kama ungejua watanzania wana umasikini kiasi gani usinge ongea.
Pili naamini umekulia katika mikono salama ktk familia iliyojaa kwa kunufaika na lasilimali za wanyonge pasina kujua hujui shida ninini Lakini ni mfumo uliokukuza na kukuathiri ila ipo siku utajua Mungu aendelee kukupa maisha.
Tatu niambie ktk inchi isiyo kuwa na miundo mbinu ya kilimo kama sikimu za umwagiliaji na kilimo bora kwa ujumla na ina 88% ya wakulima inawwzaje kuendelea?
Mwisho naomba kufahamu Elimu yako inahusiana na nini?
Nesi au daktar wa mifugo au watu, elimu ya siasa, mhandis nikifahamu nitajua kwa nini unachukulia mambo kirahisi.
JPM ndiyo chaguo letu kama hukumpigia kura isikuume kaa kimyaaaa, umeandika povu jingi as if wewe ni MUNGU kumbe huna lolote hujui chochote! unachonganisha watu tu humu ndani, kwa taarifa yako tumeweka pamba masikioni, kama inakuuma yeye kuwa Rais wa Tanzania kunywa SUMU ufe upotee kabisaaa usionekane humu JF. Just simple kanywe sumu ufe tuachie RAIS WETU, Hata kama humpendi huyo ndiyo RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, hakuna mwingine.
Miezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tumekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali.