Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Wawekezaji wapi unaowazungumzia? Maana kampuni zote kubwa ni wageni wapo na hawana mpango wa kuondoka kutokana na mikataba ya kinyonyaji walio saini... anzia kwenye madini Ashanti, Acacia, Williamson , Mantra nenda vitalu vya uwindaji, mahotel ya kitalii, Gesi, uvuvi na usindikaji, viwanda kama polyplastic, viwanda vyote vya cement nani kaondoka? Unapoongelea , kushirikiana lazima ujue unakataa kipi! Na ndio kinachopimwa na jumuiya , kimataifa
 
Nadhani watawala wetu hawajajua vizuri ni wapi tumekwama na vitu gani vipewe kipaumbele. Vita ya ufisadi haikuwahi kuwa agenda ya ccm, ni wapinzani walipiga kelele na kufumua kashfa nzito nzito zilizofanyika. Inashangaza kuona kuwa awamu hii wale waliosaidia kuibua kashfa nzito za uhujumu uchumi ndio wanaonekana adui namba moja na wanafungwa midomo. Mfumo uliolea ufisadi ni ule ule na wakubwa hawataki kuubadilisha kwa kisingizio cha kusafisha nchi. Nchi haisafishiki kwa nguvu za mtu mmoja tu, tunataka katiba mpya ili iweka mfumo madhubuti wa kujitawala na sii kutegemea utashi wa kiongozi aliyeko madarakani.
 
Simpendi huyo jamaa basi tu, dua zangu za kufeli mpaka sasa naamini mungu kazipokea, kishafeli katika Kila mipango yake, tunamuhesabia miaka 3 tu ijayo tukammalize kwenye sanduku,
 

Maneno yote bila mfano ni upuuzi.
 
Kwahiyo una amini kua kwakua wapi hao basi hatuitaji wawekezaji wengine
 
Kama unatoa mchango mzuri na wabusara kwanini Usalama wahitaji taarifa zako?
Usalama wanataka nini hasa kwako?
 

kukamatwa kwa Melo hakutakiwi kuhusishwa na Magufuli labda kuhusishwe na CYBER CRIME ACT amabayo inawapa mamlaka polisi kupata taarifa za watu fulani kutoka taasisi yeyote ile na polisi walipokataliwa na Melo ndiyo maana walifungua case na jana walimshikilia lakini bado kuna case ya msingi mahakamani ya kupinga vipengele vya cyber crime act vinavyo kinzana na katiba mama.....hivyo ni lazima wamuachie huru leo.

Kwa hiyo kukamatwa kwa Melo hakuna uhusiano na Magufuli kabisa sema hamtaki kutafuta taarifa.
 
mkuu hili jukwaa tunakoelekea na hii serikali yetuu itafikia hatua inapita muswada wa kufungiwa, maana ukiskia huko juuu wanataka kuzima mitandao ya kijamii huwezi amini 99% ni jf na kama kweli tutatafutana mchawi ni nani

*bado tutaendelea kukumbuka past tense*
 
Namaindi kinoma ingekuwa Maisha yanafaa ku forward ningepeleka mpaka 2025 ili mtoto wa
malkia apite aende zake na balaa lake .
 
Ameshashindwa kitamboo mbona mkuu remix unataka he is a specialist in failure
 
Usijidanganye kua Mungu hausiki kwa kuegemea kwenye ushabiki.
Acha unazi na pia acha kufanya vitu kwa mihemko "Siku zote Mungu hapatani na uchafu ,acha kumchafua Mungu kwenye vitu vya aibu " kama unazungumzia yule Mungu wa mzizima uko sawa.

Unaweza kuthibithisha vitu vinne vinavyoonesha yeye ni chaguo la Mungu?
 
Unaongea mambo ya ajabu.
wale mawaziri waliokuwa wkiongelea sakata la Dangote na makaa ya mawe, gesi na dizeli ulisikia wakisema nini?
By the way, kupata kesi hapa si lazima uongee matusi. Ukiikosoa serikali kwa namna yoyote ya wazi jamaa analala na wewe mbele.

Ukitaka kusalimika, isifie serikali, kisha mimina mitusi mikubwa, mizito na minene kuelekea upande wa "wale wenzetu" halafu uone kama utaguswa. Sheria ina macho bwana, inaangalia rangi na sura.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…