Cybercrime Act Imepitishwa na Bunge Tarehe 1 April 2015..By the time hao shonza na Bashe hawakuwa bungeni...Othrwise unaongelea mswaada wa sheria ya vyombo vya habari,2016Kwahiyo Juliana Shonza na Bashe walivyosema bungeni kwamba ule muswada haugusi mitandao ya jamii walikuwa ni waongo/walilidanganya bunge?
Nimekupata mkuu nilichanganya mambo hapoCybercrime Act Imepitishwa na Bunge Tarehe 1 April 2015..By the time hao shonza na Bashe hawakuwa bungeni...Othrwise unaongelea mswaada wa sheria ya vyombo vya habari,2016
Dada nakuona umejipinda kweli kutumia cm yako.Unadhani hata anapoua kama kule mto Ruvu anatoa taarifa,wewe ni kichaa kama yeye.
Tulia huko jikoni umpikie mzeeHuwa mm nasema kila siku wakosoaji wa Magufuli hawana hoja kabisa, wanajifanya ma griti thinka kumbe ni ujinga mtupu.
Hoja zao mara nyingi zinaegemea kwenye kumkejeli rais na kumbatiza majina ya dhihaka. Na ona mleta mada yeye amajikita kwenye hekima mara kukosea kingereza, sasa nikuulize wewe mleta mada huo ustaarabu ni upi unaotaka?
Kama ni viongozi wastaarabu alikuwepo JK na tulitokwa mapovu hivihivi.
Tujifunze sisi kwanza kuwa na heshima. Haiwezekani unachukua tu kisimu chako unaorodhesha jejeli kibao kwa rais wa nchi alafu unasema eti huo ndio ukosoaji!
HahahahahahahahahahahahaHahahaaaa....
Hahahahaaaaa[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu punguza hasira, haya ni mambo ya dunia kila mtu atapita.Mimi natamani January makamba, nape nnauye na wote walioshadadia sheria ya mitandao wafe tuwazike tumalize shida. By the way nna maono watakufa soon
Na jela siendi na nisharopoka maono ya Lema
Mkuu punguza hasira kidogo, sisi ni binadamu tunapaswa kusamehana.Kwanza huyu Magufuli hakushinda kihalali uchaguzi, nilimpinga sana na naomba sana pia ashindwe na alegee kuliongoza hili taifa, huyu jamaa tangu awekwe pale Ikulu na tume ya Lubuva amekuwa jeuri, kiburi na amejifanya kuwa mungu mtu asiyetaka kukosolewa pindi pale anapofanya makosa. Anaiongoza nchi kama anaongoza familia yake, ajue hii ni nchi sio familia na hii nchi inaitwa Tanzania ina zaidi ya watu millioni 50 kwa hiyo asijifanye ana akili kuliko watu 50m.
Naunga mkono Magufuli ashindwe na alegee, ni worst president ever
Na akijifanya kiburi zaidi tuaanza kumuandika kwa Kiingereza ili malaika (Wasaidizi) wake wamdanganye wanapomtafsiria.
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] mi sipo[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mbona mnatishatisha watu, ili iww nini? Kwani mmezuiwa kujenga hivyo viwanda? Au ndio mnatafuta sababu ya kujitetea. Na hamtajenga hata kiwanda cha toothstick kwa woga huu mliouanza mapema hivi.Dada nakuona umejipinda kweli kutumia cm yako.
Watu kama ninyi ndio mmemponza Max.
Sasa kama hiki ulichoandika hapa ukikamatwa utatoa ushahidi?
Alafu kumuita rais kichaa nayo ni ukosoaji,? Ukikamatwa utasema unazibwa mdomo kweli,?
Jpm wewe sio Mungu na kumbuka kuna maisha baada ya kufa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Baada ya hayo, watu wote wakasema "Amina, na ahimidiwe Bwana Mungu wetu".
Hahahaaaa....
embu jaribu kufikiria hili,wewe unasingiziwa au unazushiwa jambo ambalo halipo,mfano unaambiwa jambo baya ambayo litakuchukia na hata kukukoseshea stasha mbele ya jamii,utachukuliaje? na wakati huo jamii tayar nimeshaanza kuamini juu ya hilo jambo na kuanza kuwa na mihemko nalo,si utachukia siyo? au utafurahi na kuona ni jambo la kawaida? tafakari kwanza usione kawaida wakifanyiwa wenzako ,wewe je?Hivi kwani uzush ukipotezewa shida iko wapi si muwaache watu watoe madukuduku yao jamani maana hatufanani .Mangapi yamepotezewa?Maana hata uzushi nao unaeza ukawa na ka ukweli kakifanyiwa kazi.Kusingiziana kupo ktk maisha ya kawaida na hii inatufanya tuish tukiwa makini.Hayo ya machafuko waachieni wenyewe huko.