nataka niwe no 4 nifanyeje?

Cha msingi mashine iwe poa na haitemi,kwan unaweza ukawa 4 lkn kila anayegusa harudi.
tatizo lako nilishakuambia sijui unakulaga k za wapi unalishwa viporo mjini hapa...mwanamke anaejitambua k ndo mpango mzima ...hapa mjini hadi zinaungwa siku hizi.acha kumega mabek 3 wewe
 
Jikubali ulivyo kwani now uko no ngapi?
 
tatizo lako nilishakuambia sijui unakulaga k za wapi unalishwa viporo mjini hapa...mwanamke anaejitambua k ndo mpango mzima ...hapa mjini hadi zinaungwa siku hizi.acha kumega mabek 3 wewe

Smile plz naomba tuongee vzr. Kiukweli mi sjawai onja unazosemaga.
 
hapo nilipobold ndio nini?
 
La haulaaaaa minilijuwa namba 4 term hii kwenye Mock kumbe hizo,,,, Kweli kistaajabu ya Musa....
 
toa Aljazeera aka jamaa wenye osfisi jirani na KAMATA tu utakuwa kama no 4
 
Namba 3 is cool.....4 kwendea mbele ni mizigo na maradhi tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Aisee mshikyi mbona kwenye avatar yako unaonekana namba 4 tayari bhana!!, au wataka kupunguza bell kidogo! Nina series nyingi nzuri (indoor) za kushape mwili (mazoezi). kuongeza sina wala sijui, ila mwili through mazoezi waweza kuushape utakavyo.

Naomba ututajie hizo series za kupunguza mwili, Please!.
 
Unataka hips? kwanini usitake kuwa namba 3 petit and sexy ?
 
Poor me,

Kwetu ni namba 10, na nie nataka kuwa 8, sijui nitafanyaje kwanza ili niziunge afu zikae kama 8

tatizo lako nilishakuambia sijui unakulaga k za wapi unalishwa viporo mjini hapa...mwanamke anaejitambua k ndo mpango mzima ...hapa mjini hadi zinaungwa siku hizi.acha kumega mabek 3 wewe

Duuh!

Utofauti wa "K" moja na nyingine unategemea na nini?

Hebu tunaomba majibu ya Kitaaluma. Ikiwezekena fungua thread mpya.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…