nataka niwe no 4 nifanyeje?

nataka niwe no 4 nifanyeje?

hapo nilipobold ndio nini?

Jestina na wewe bana, si hata uki-google tu ungepata jibu?

Anyway, siku hizi kukata uzito si lazima saaana kwenda Gym ingawa umuhimu wake na mazoezi bado uko pale pale.

Iko hivi, "High Thermic Food" ni vile vyakula ambavyo ukivila kwanza havina wanga au vina wanga kidogo sana. lakinin pia ukivila, mwili unatumia calories nyingi sana kuvibadilisha ili viweze kutumika mwili. matokeo ya kutumia calories nyingi toka mwilini ni kupunguza mafuta au unene na hivyo kuondoa nyama uzembe, kitambi nk nk.

Upo hapo?

bado kuna juice/drinks therapy ambayo ukitumia hizo lazima kilo 2 hadi 3 zikatike kama uko serious.
Madame B na Smile: ni kweli au uongo?
 
Last edited by a moderator:
Demu akiwa namba 3 mzuka sana aisee
 
Kaka Superman naheshimu mchango wako juu yangu.
Ila "ni Kweli',nakujibu wewe kwa kuwa umeniuliza.
Ila huyo shetani-mwitu tunayemjibu atabaki na namba 1 yake milele.
Smile shost....turingie shepu zetu mjini hapa mwaegooooooo.
 
Last edited by a moderator:
Madam B sijui yupo wapi akupeleke zile zinaoshwa na ugoro

Nipo hapa shostitooooooooooo Smile .........
Ugoro ndo khabari ya mjini kwa sasa.
Watu na mishepu yetu tuliyozaliwa nayo,......... eti nae anataka aonekane wa mjini.
Hebu mie......
 
Last edited by a moderator:
Kaka Superman naheshimu mchango wako juu yangu.
Ila "ni Kweli',nakujibu wewe kwa kuwa umeniuliza.
Ila huyo shetani-mwitu tunayemjibu atabaki na namba 1 yake milele.
Smile shost....turingie shepu zetu mjini hapa mwaegooooooo.
eheheee best yangu ukishakunywa ndovu sikuwezagi tena ahahaaaa
 
Ndo nampasha huyo Shwetani-mtu,....., Eti nae anauliza atapataje Ji-shepu.
Sie hiki ni kitu originale from Allah...
Kaka Superman...... Dozi yako naendelea nayo, usinione kimya.

We Smile, n'take radhi shogayo fasta........ Ndovu mie nshaacha kitambo, Shahidi Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Kaka Superman naheshimu mchango wako juu yangu.
Ila "ni Kweli',nakujibu wewe kwa kuwa umeniuliza.
Ila huyo shetani-mwitu tunayemjibu atabaki na namba 1 yake milele.
Smile shost....turingie shepu zetu mjini hapa mwaegooooooo.

Khaaa! Yaani Jestina ndo Shetani-Mwitu?
Why?
Na shetani mwitu wakoje?
Na shetani wasio mwitu wakoje!

jamani au Joto Hasira tu? Jay Dee
 
Last edited by a moderator:
Ndo nampasha huyo Shwetani-mtu,....., Eti nae anauliza atapataje Ji-shepu.
Sie hiki ni kitu originale from Allah...
Kaka Superman...... Dozi yako naendelea nayo, usinione kimya.

We Smile, n'take radhi shogayo fasta........ Ndovu mie nshaacha kitambo, Shahidi Bishanga

Una bifu naye nini?

Ila kweli Madame B wewe na Smile shape mnazo, najua vitambi vikkisha tu ita kuwa Big Talk in town, I mean itakuwa habari kubwa ya mujini.
 
Last edited by a moderator:
am sory for her my dear...si unajua viroba?

Ngoja niwachonganishe na nye! Tunaita uchochezi aka FITNA kama ifuatavyo🙁Kama Mtwara walivyochopchewa tu)

Khaaaaaaaaaaaaaaa! Madame B umesikia? Jamani jamani nyie, haaaa! Anakutukana hivin hivi mchana na kila mtu amesoma. eti Smile anakwambia "Si unajua viroba?". yaani ningekuwa mimi sikubali. nampiga hadi awe no. 1 kwenye post yake.

Atakutukana vipi bana na wewe unaangalia tu? Aisee, usikubali labda kama wewe si Madame B ninayekujua. Khaaa! Mamaaaaaaaaaaaa . . . . . yaani usipo m-RIP nitashangaa sana sana. Mweeeeh!

cc: Jestina nishakaanga mbuyu ngoja watafune sasa . . .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom